warembo wa miss tanzania wakiwa na meneja wa kinywaji cha redds mpeli nsekela (shoto) na natalia noel balozi wa redds 2005. tarehe 28 mwezi huu watashindana moven pik hotel kumpata mrithi wa natalia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 23, 2006

    Duh! MPELI NSEKELA NAYE NI KATI YA WALE MOTO WA KUOTEA MBALI, ANAPENDA NGONO HUYU. HAPA NATABIRI LAZIMA AWATIE WAKINADADA KAZAA. KAKA YAKE YULE CHARLES NSEKELA PIA NI HIVI HIVI, ALIOA AKAWA ANAMTESA KWELI MKE WAKE.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 23, 2006

    Wee makame huyu Nsekela ni mtu mzima hawezi kutembea na watoto wadogo. Usirudie tena kutoa hisia hapa.

    Michuzi tunaomba picha ya Anatalia akiwa amesimama ili tufanye tathimini ya miguu pia.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 24, 2006

    KWA NINI TUNAENDEKEZA SANA MAMBO HAYA YA UREMBO NA MITINDO? WHAT BENEFITS ARE WE GETTING FROM THIS?
    THERES NO FUTURE ON MISS UREMBO! GETTING A FREE CAR IS NOT SUCCESS. LET'S FACE IT HUU NI USHAMBA, AND ULIMBUKENI AT ITS PEAK! ALL YOU SEE IN OUR LOCAL WEBSITES I.E IPPMEDIA, IT'S ADVERTISEMENTS ZA MISS ILALA, YOMBO, MANZESE AND SO FORTH. WITH ALL THE EFFORTS,MONEY WE (TANZANIANS)SPEND ON THIS CRAP WE CAN PUT MADAWATI IN THE CLASSROOM, AND SEND MANY GIRLS TO COLLEGE.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 24, 2006

    You know anony this things are intended kwa wakubwa, ni watu wenye matumbo makubwa ndio wanaendekeza is not professional and future is another type of bussiness. Haina tofauti kubwa sana na ile biashara ya mombasa kenya zamani hila hii imeruhusiwa kwa kutumia mgongo wa wakubwa. Wanawake hawawezi kukombolewa kupitia hapa. Ni professional tu ya shule ndo itawakomboa. Mtu akisha kuwa mkubwa(akaolewa) hakuna chochote, kama ndio tegemeo maskini ya mungu anabaki ombaomba tu.Halafu wanaume wanaowachukua maskini wengine wanaishia kuolewa na majambazi maana ndo wana pesa za kuchezea chezea. Baadae majambazi wakiona wamebadilika kidogo wanawadampu ni tabu tu, ndio maana yule baba wa kinondoni ame........

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 24, 2006

    Wewe Anonymous wa pili hapo juu. TOKA HAPA , nilizani ungeingia kumfagilia Nsekela kwa pointe ya maana kama vile unafahamiana nae. LAKINI kusema eti ni mtu mzima hawezi kutembea na watoto hawa wadogo WACHA WEWE, umri haidhuru bwana wewe upo hapa mjini kweli au unasikia hadisi as ABUNUWASI. mibaba watu wazima kibao WANAWATIA WATOTO WADOGO it is a shame hapa mjini imekuwa kama fashion, na ni aibu. Sasa unaongea nini bwana, kama Nsekela ni mshkaji wako na umeumia inabidi umfagilie, basi toa pointi za maana kama kweli unamfahamu kwa undani, lakini sio kama ulivyotoa maoni hapa. Huyo Makame bila shaka wanafahamiana, maana bwana kwa experience yangu bwana humu buloguni watu wanasema ukweli. Asannte.

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 25, 2006

    Shukurani, anonymous hapo juu, maana huyu sijui ni nani, na kimemuudhi kuongea ukweli wa mambo, nawafahamu sana Mpeli na kaka yake Charles, kwahiyo mwache tuu ajaribu kufagilia, ukweli tunaujua. na ndio maana hakuja na point ya maana. Shukurani ndugu.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 26, 2006

    Makame bado unarudia hisia zako? mpeli hapendi hawa watoto aliniambia (mimi rafiki yake) kuwa wanamtafuta kwa sababu zao hila yeye ni mtu poa hivyo anahuruma anawasaidia tu. Hivyo usimkashifu tena kuwa anapenda watoto wadogo. Yeye ni mtu mzima ati!

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 27, 2006

    ah! wapi mtu mzima bongo????? watu wazima ndio wachafuzi katika jamii.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...