nagongana na mzee wa sumo (shoto) dada wa beautiful tanzanie modelling and casting agency kule bwagamoyo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 22, 2006

    Mpoki duh! noma babu utafikiri unashindia burger!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 22, 2006

    kaka tumbo hilo litaua mgongo...

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 23, 2006

    kaka mpoki tumbo hilo lipe extra time baba, bado kijana mdogo usilendekeze

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 23, 2006

    michuzi mpe mwenzio siri ya urembo

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 23, 2006

    huyo dada anaitwa nani

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 23, 2006

    HUYO DADA NI MTANZANIA? SITAKI KUSEMA VIBAYA LAKINI MSEMA KWELI MPENZI WA MOLA. ANATILIA VIWALO POA LAKINI SHE IS UGLY. HALAFU NDO ANAWAONGOZA WAREMBO? HELLOOO! SAMAHANI DADA LAKINI NI UKWELI.

    ReplyDelete
  7. AnonymousJuly 24, 2006

    Ahaaa umesema ni mbaya that isnt any issue kwani kibaya kwako ndugu yangu kwa wengine ni mambo bab kubwa that is why we have this thing called "choice , taste"....
    i belive kwa wengine analipa...

    Na swala la yeye kuwaongoza warembo ni profession yake. au unataka kuniambia mzazi hawezi kuhudumia na mkunga asiye na kizazi?
    au huwezi kumtumia fundi muhunzi siye na nyumba?

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 24, 2006

    Counsellor, you have the right to your own opinion like everyone else, hii ndio maana ya bulogu hii, unaingia humu kutoa maoni yako. Naheshimu maoni yako. Lakini sibadili niliyosema binafsi kwani ni ukweli. Asante sana.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 25, 2006

    hata mimi siojapinga maoni yako ndugu yangu nilikuwa nimeonyesha tu upande wa pili yanavyo unekana. kama tunavyo elewa kila jambo lina pande mbili.karibu sana

    ReplyDelete
  10. AnonymousJuly 25, 2006

    anony mbona umechukuaaoni ya counsellor personal, kama alivyosema mwenye hakupinga yako ila ametoa yake kwa kuangalia upande wa pili wa yako kama alivyokujibu hapo juu na kama wewe mwenyewe ulivyosema kwenye blog hii kila mtu anahaki ya kutoa maoni yake.
    basi nae alifanya hivyo hivyo usishikwe na jaziba ni katika kutoa maoni tuu.
    au hayo maswali alio uliza ulihisi amekulenga no hiyo ni njia tu ya kutoa ufafanuzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...