barabara ya azikiwe anvenyuu jumapili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. michuzi hii naona ni ya leo leo maana siku za week end ndio huu mtaa unakuwa mtupu namna hii, ingekuwa katikati ya week lazima ungeona madaladala yamejaa na folezi za magari thanx for it

    ReplyDelete
  2. Picha kama hii ina prove kwamba Africa sio kila mahali utakuta simba wanazagaa ovyo. Maana hawa watu wa U.S., na Europe wanafikiri ukitua tu airport unapigana vikumbo na wanyama pori. Amini usiamini wengine wanafikiri sisi tulipofika huku tulijifunza kuvaa hapa. Wazungu ni washamba sana basi wanajifanya wajuaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...