Home
Unlabelled
sama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hapo ni mpambano mkali kushoto ni za mchina na kulia ni za Bakhresa, wote hao wana kazi ya kutuchangisha mia mia zetu kwenye ice-cream zao (ashkrim) Michuzi we unapenda zipi za Mchina au za Baaresa? (BAKHRESA)
ReplyDeleteza baaresa. mbona ulipotea rhxosqa? au bize na maboksi huko ughaibuni? mwendo mdundo ndugu yangu, wache waseme; kazi ni kazi, mradi mkono uende kinywani...
ReplyDeleteYes, Mnazi Mmoja! Bado wanakuwa na open shows pale? Lakini kuna wakati ma homeless ombaomba walipavamia.
ReplyDelete