
jk akikabidhiwa jezi na jose angel sanchez mkurugenzi mtendaji real madrid majuzi alipotembelea uwanja maarufu wa benabue unaomilikiwa na timu hiyo. mkurugenzi huyo alimwahidi jk kuna uwezekano kina bekam wakafanya ziara bongo kati .ya mwezi desemba mwaka huu au Julai mwakani. Jk alikuwa njiani kuelekea nchini Cuba kuhudhuria mkutano wa 14 wa nchi zisizofungamana na upande wowote. Leo jk anaingia nyuu yoku kuhudhuria mkutano wa baraza la umoja wa mataifa kabla ya kuanza ziara ya wiki moja marekani ambapo atazuru bostoni, mineapolisi na lozi anjeli na kubonga na wabongo. kesho anakutana wa wabongo waishio nyuu yok
Du wenzetu naona wamepiga hatua yaani hilo ni wanja la timu moja tu...nashino stadiumu Dar itaisha lini?
ReplyDeleteSasa michuzi hiyo ni too much sasa.
ReplyDeleteHiyo mmiji unaichafua sasa hata haieleweki? Too bad bwana umezidisha.
Ukisikia hali mpya na nguvu mpya ndio hii.Hivi watanzania hii nchi inaelekea wapi? Kuleta Real Madrid,Manchester United au timu za NBA Tanzania ndio maendeleo kweli? Kinachoonekana hapa tuna Rais ambaye alikuwa hajui kuna upande wa pili wa dunia uliokuwa umeendelea sana.Nchi za kiafrika lazima zikazanie kujenga uchumi wa kweli sio viongozi kutafuta umaarufu kupitia vitu visivyokuwa na mpango.Sasa hivi mgawo wa umeme ni mwezi mzima,shilingi ya Tanzania inazidi kuporomoka kila siku.Uwezo wa nchi kujiendesha kwa fedha za kigeni umeshuka toka miezi nane mpaka miezi sita sasa hivi,na inategemewa utashuka zaidi.Dar es Salaam sasa hivi kuna tatizo la Trafiki jams.Magari ni mengi,barabara zimekuwa hazitoshi na kusababisha misusuru ya foleni kila mara.Hivi haya Kikwete hayajui? Hali iliyo Dar es Salaam sasa hivi ndio itakayotokea miji mingine kama Arusha na Mwanza baada ya miaka michache.Nchi inakwenda wapi? Inaonekana kama vile kuna mashindano ya matanuzi hapa. Wiki iliyopita alikuwa Waziri Mkuu Lowassa anatembelea nchi za Asia,sasa hivi bosi wake kaanzia Cuba na kumalizia kuizunguka Marekani yote kuonana na watanzania.Jamani haya mambo ya uongozi sio mambo ya kujaribu jaribu,Julius Nyerere alisema watu wanaokimbilia Ikulu muwaogope kama wagonjwa wa ukoma,John F Kennedy alisema mtu anayetaka kuwa Rais asitake nchi yake mfanyie kitu fulani,bali yeye afikirie ataifanyia nchi yake.Tunaendelea kushuhudia ambavyo hawa viongozi walio madarakani wanavyoendelea kujinufaisha na sasa hata kwenye chama chao CCM, ambayo sasa inavuta ruzuku ya kujiendesha kutoka serikalini zaidi ya Tsh Bilioni moja kwa mwezi! CCM sasa ni kampuni sijui kama imesajiliwa na msajili wa makampuni na kulipa kodi kama makampuni mengine ya wanyonge.
ReplyDeleteAhsante Bwana Michuzi,
ReplyDeletesasa JK kupewa jezi na Real madrid inatusaidia nini sisi wananchi wa kawaida?? Labda kuna sehemu ya story hatukuipata...je ameingia mkataba na Real madrid wa kuweza kutufundishia watoto wetu kabumbu??Au Real Madrid watasaidia kumalizia neshno?? Kwa sababu JK ni raisi wa nchi na sio, mmachinga wa kawaida...tunategemea kila tendo analofanya linagusa wananchi wote, la sivyo picha kama hii ni "cheap publicity".
JK kakataa kukutana na Wabongo in Minnesota. What a shame! They wanted $50 for the social event with the President, and I guess it was too much for many Wabongo here because the response was so poor. Kwahiyo watu wa Ubarozini called it off hiyo social event which was to take place this coming saturday.
ReplyDeleteGHARAMA ZA KUSAFIRI ZA VIONGOZI WA NCHI NI MAMILIONI ATA MABILIONI YA SHILINGI UKIZINGATIA NA MISULULU YA WATU WANAYO KWENDA NAYO NA MATUMIZI YAO NJE YA NCHI! NI UPUUZI KWA VIONGOZI WA NCHI NA WOTE WAENDAO NJE NA KUTUMIA PESA ZA MLALAHOI HUKU WAKIWA ACHA WATANZANIA WAKIWA HAWANA UMEME, MASIKINI, UCHUMI MBAYA, N.K BADALA YA KUTUMIA HIZO PESA WATUMIAZO KATIKA KUTATUA MATATIZO TULIYO NAYO WAO WANAKWENDA KUZITUMBUA HUKO NJE YA NCHI NA WAKE ZAO, NA WAPAMBE WAO WAKISAHAU WALIPOTOKA KAMA NI MASIKINI WA KUTUPWA.SIKU ITAFIKA TUTAWAWEKA MAHAKAMANI NA KUWATUPA JELA VIONGOZI WOTE WANAO TUMIA PESA ZA MTANZANIA VIBAYA BADALA YA KUTULETEA MAENDELEO. JK NA SERIKALI YAKO HACHENI SIFA, MANENO MATUPU, USHAMBA,NK NA TULETEENI MAENDELEO YA KWELI.TUMECHOSHWA NASEMA TUMECHOSHWA KWA YOTE MNAYO YAFANYA KWA MIAKA YOTE 45 ILIYO PITA.
ReplyDeleteKwa anon 7:00pm hapo juu.
ReplyDeleteWalitaka watu watyoe $50 kwa ajili ya kuhudhuria huo mkutano na watu wengi walikuwa tayari kutoa yaani ni wengi tu. Walio-cancel hiyo kitu ni ubalozi wenyewe labda wakishirikiana na Kikwete kuogopa maswali kibao ambao watu walipania kuuliza.
Huyu Kikwete inabidi atulie nyumbani kwa sasa maana mwaka umeshaisha lakini wezi kina Prof Mahalu bado wanatanua mjini na hakuna chochote kipya cha kuleta maendeleo ya nchi.
msiwe kama mko gizani. Hii inaitwa courtesy call.
ReplyDeletemdingi mwenye suti ya mikono mifupi hiyo noma
ReplyDeleteMimi naona hii ya KIKWETE ni poa ila nyie wote hapo juu ni washamba tu, nimemkalibisha mheshimiwa rais anakuja hapa London on the way back home tuta have dinner hapa nyumbani kwangu na nina mazungumzo naye mengi tu ya kibiashara na familia, sijui michuzi atakapo toa picha mtasemaje? maana mmetoa kashfa nyingi tuuu kuhusu mimi na nina mshukulu sana kaka MICHUZi aliwaelewesha kidogo, naona mmetulia kunisakama. Nitatoa pounds zingene nyingi kwa miss Tanzania wetu Wema Sepetu, natumaini Mheshimiwa Rais atazifikisha kwake atakapo tembelea nyumbani kwangu. Napenda kutumia fursa hii kuwashukuru Tenga na Rage kwa kuniomba radhi na tutaendelea kushirikiana kuendesha SOKA ya Tanzania na vijana stars chapeni soka nitaendelea kumwaga mamilioni kwa wote hapo nyumbani.jamani watanganyika tupendane kama alivyotamka MICHUZI!!
ReplyDeletebw michuzi nataka kumsahihisha mtoa mada hao juu aliposema fk kennedy alisema mtu anaegombea urais ajiulize aitaisaidia nini nchi yake, usahihi ni kwamba bw. kennedy alitoa kauli hiyo kuwaambia wamerekani baada ya kuchauguliwa rais kwamba wasitegemee miujiza kutoka kwake, bali wajiulize wenyewe kwa maana wamerkani wataisaidia nini nchi yao, kwa maana kikweteawaamie watanzania wataisaidia nini nchi yao badala ya kutegemea miujiza kwake.mkiwa mnatoa mifano muwe na kumbukumbu na siyo kukurupuka kwani ujue inapotosha wengi , kumbuka sehemu kama hizi zinasomwa na watu wengi na wanahifadhi vichawani
ReplyDeleteHATA MIMI NAFIKIRI WAKATI UMEFIKA WA JK KUTULIA OFISINI NA KUIPANGA MIKAKATI YA KUENDELEZA NCHI YETU,NA KUBUNI JINSI YA KUTATUA MATATIZO YANAYOIKABILI NCHI YETU KWA SASA.HIZI TRIP ZA NJE ZIMEKUWA NYINGI SANA HALAFU VIONGOZI WOTE WA JUU!MIMI NAONA HAPA LENGO NI WAO KUSPEND NA SIO MASLAHI YA NCHI.MAANA IMEKUA NI KAMA VILE "NITAKIPATA LINI".WAKATI SISI TUNAFUNGA MIKANDA WAO WANALEGEZA MATUMBO!!!!
ReplyDeleteMichuzi nina uhakika JK anachekigi blogg yako
ReplyDeleteWell done mate, soccer inauwezo wa kuiingizia pesa nyini TZ kuliko kahawa ,chai na mkonge put together !
Keep on knocking those doors J
On A SERIOUS NOTE hawa watu wanaoandika story ndeeeefu hawaamini tunasoma yoooote do they ?
ReplyDeleteKalagabaho kama wote wanajidhani ni Nyerere kwa sababu wanakaa NY ama Glasgow !
Abdul
That was a publicity stunt and of course it didint work kwa sababu habari hii hatuiona hata kwenye Madrid Tvs ,let alone Europe.
ReplyDeleteHowever it was worth a try wa Bongo tunaoishi abroad tumechoka kutambulisha kama "Tanzania ni ile nchi karibu na Kenya !"
ama tunakaa kwenye pori fulani ,let alone mlima ule . Seriously how good and how pleasant it would be siku Machupa akionyweshwa na jezi yake ya Madrid (namba 23 of course) badala ya luteni huyu mstaafu wa jeshi ?
Till then dream on brother
Kikwete nchi imeshamshinda anatapatapa hana kipaji chochote cha kuongozaanapenda tu kuchat si mtekelezaji,mimi naona bora hata Mkapa,hakuwa na ujinga ujinga sana,huyu kazi kutembelea masoko,ngoma,misiba ya rafiki zake,mkewe pia kwenda kwenye ndoa ya Mswati huko swaziland,kwa kweli naona wanaendesha nchi kizaramu zaramu tu huku nchi ikididimia kwa uchumi kushuka,mgao wa umeme wiki nzima,uharibifu wa mazingira,ujambazi na mambo mengi tu.
ReplyDeleteMiak 45 years baada ya Uhuru hatujajitosheleza na chakula? Umeme, or maji? and it is getting worse, with rushwa nje nje? poor schools?(hatuna madawati)few teachers? Let's put huu ushabiki wa soccer aside. What will Real Madrid tour do to our economy, (I'll bet you nothing! we have to pay them so much $ and get nothing in return).
ReplyDeleteRais anasafiri na kila mtu kwenda Ulaya,na USA, mwandishi wake wa habari, mpiga picha wa Ikuli, mpiga picha wa daily News(Michuzi)?, mawaziri/manaibu waziri sita? Why? Kila kitu huyu mbwana (JK) alicho ahidi wakati wa campaign is completely the opposite! He (JK) will go down as one of the worse President in History if things don't change very quick!
NI KWELI MAENDELEO YA NCHI ULETWA NA WANANCHI WENYEWE LAKINI HII LABDA KAMA KUNA POLICIES NZURI ZITAKAZO WEZESHA HAYO MAENDELEO KUWAPO. HIVYO BASI SIKU ZOTE MAENDELEO KATIKA NCHI YOYOTE ULETWA NA VIONGOZI WA NCHI KWA KUTENGENEZA POLICIES NZURI ZOTE ZA NDANI NA NJE YA NCHI NA HAPO WANANCHI WANAZIFUATA NA KUWEZA KULETA MAENDELEO BILA YA HIVYO BASI HAKUNA CHOCHOTE KITAKACHO FANYIKA NA KILA KITU KINAKUWA KUPOTEZA MUDA WENU WOTE.
ReplyDeleteTrio Kaka,
ReplyDeleteUnaunga mkono halafu pia unapinga mwenyewe tena! Vyovyote vile tatizo la Tanzania ni UONGOZI period. Hawatulionao ni watawala si viongozi. Kusema grass root ndio ilete mchakato ni sawa nakutanguliza mkokoteni mbele ya punda/farasi/maksai. Kwa elimu gani iliyopo huko kwenye grass root mpaka waweze kuona njia? Ukitaka kujua mwananchi wa Tanzania hana upepeo kabisa wala usiende mbali bali angalia tu kitendo cha huyu mchovu Kikwete kuchaguliwa kuwa Rais. Huyu jamaa hana sifa hata moja ya kumfanya awe Rais!
wewe trio kaka naona ni msenge tu nani kasema George hana sifa za urais? Tupe sifa ambazo hana? Usiongee pumba tu? baba yako anazo hizo sifa?
ReplyDeletehumu kwenye hii blog kuna watu wanatukana ili mradi tu wameandika, wewe kama maisha yamekushinda jinyonge na sio kutukana wenzio, sasa we Michael hapo juu unamtukana Trio kaka unaona sifa? kama wewe hukubaliani na mawazo yake, unaweza ukamkosea kwa lugha nzuri kuliko kutumia lugha chafu
ReplyDeletemimi nimemtukana huyi Trio kwa sababu kila kitu yeye anajua na kukosoa sasa unamaana gani kusema eti rais wetu huku hana sifa za uongozi lakini amepita urais mara mbili, Basi tupe hizo sifa ambazo hana? na utupe za baba yako tuzichambue na wewe mshamba hapo juu toa jina lako tuone kama mwanaume fanya kama mimi andika jina lako lote fara wewe...unaelekea unataka nikutandike na mpini wangu kwenye kikalio chako, Samahani Michuzi kwa lugha mbaya, hawa washamba wamezidi kuisakama marekani bila kutumia akili. Kwanza Dar wewe unakaa sehemu gani wewe Trio mbona sikujui? Kwa taarifa yako mimi nipo hapa kwa miaka 9 sasa kwa nina uchungu na hii nchi usiropoke ropoke tu kishamba, Unakaa mbagala nini?
ReplyDeleteMichael uko wapi babuuu? mbona unamwacha mjinga mjinga hapo juu anakuchafulia jina?? wengi tunajua sio wewe, lakini mhabarishe basi!!
ReplyDeleteHizi comments nzuri sana, inaonekana how watanzania tulivyo na uchungu wa nchi yetu, na each of us are giving different ideas of how to make our country a better place to live for both walionavyo na wasionavyo. Vijana endeleeni. This is how we can change the life of mtanzania Maskini, kwani anahitaji sana mawazo ya vijana walioelimika.
ReplyDeleteThese are very good comments. Vijana endeleeni, hii inaonekana how watanzania wana uchungu na nchi yao. Viongozi nao ni binadamu, wanahitaji kukoselewa. We need people like you to criticize each department in the goverment so the can do better job. We need to speak for mtanzania maskini kwani he/she need us to say what they are thinking. Especially in here kwani they don't have access in here, so then we should speak for them. Thanks Michuzi for the opportunity.
ReplyDeleteoyaa michuzi eeh, heshimu majina ya nchi za watu bwana, mambo ya nyu yoki,newala, anjelis, huko huko kibongo bongo,morogoro rodi striti, it is so ANNOYING!!!man, used to be funny before, but not anymore.
ReplyDeleteTrio kaka unachangia point, unajichanganya, unajipiga msumali vyote vyako. Bila sera nzuri, good policy, wananchi hata wafanye je no maendeleo.
ReplyDeleteHivi hivi ukienda nchi kama japani hivi, korea na nchi za Asia ukaona ni watu/watalii wangapi wanakuja kuangalia mbuga za wanyama, mlima kilimanjaro kenya kwa kweli utakasirika sana na kujua hama kweli hatutaendelea.
Huo ni mfano mdogo sana. Mimi nafikiri kasi ya Jk inabidi iongezeke kwa kuamasisha wananchi wake. Wakati kenya unaweza kupata mkopo kusoma masters,PhD. Uliza Tanzania mambo yako je?Maendeleo ya tanzania yanahitaji wabunifu wa mambo haraka sana wenye kutolala ukiona umelalala mpaka saaa tatu hujaingia ofisini hujue unaelekea pabaya. Kila siku lazima kuwe na evaluation ya kazi.Ikibidi watu wawe evaluated kila mwezi na kwa mwaka kama huwezi kazi kaa pembeni, mwingine achukue tutrafika lakini shoo-off itaktufikisha pabaya.
Michael ngula kabila gani??? Duh
ReplyDeleteebwana wadau huyu kikwete kaamua kupumzika spain njiani akielekea usa. karudi tz akaeleza wananchi jinsi amekula nchi na wadau madrid. tangu lini rais anamuda ya kongea/ kualika timu ya mpira?? isitoshe basi wakamyeyusha ooh hatuwezi kuja mwezi wa pili..ooh mara hata wa sita hatuwezi. how he handled the power crisis; since feb mpaka oct matata. he is such a disgrace!
ReplyDelete