Picha hii nimeazima toka kwa jeff ambaye anatwambia kwamba hao wote uwaonao ni wanaume. na hapo walikuwa wanakutana toronto, kanada, kujadili maslahi yao hasa ya kutaka kujigeuza kuwa wanawake na kwamba eti muumba alikosea kuwaumba wanaume.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Mtu yeyote ikikwambia anajua halafu hajatembea, ni muongo Michuzi! Vitu kama hivyo na zaidi ya hivyo mbona kila siku tunapishana navyo barabarani huku na makanisani au bomani wakiwa wanafunga ndoa.
    Huku kuna hata wabongo mbona magays, lesbians, dragqueens,....
    Vituko juu ya vituko, lakini wana kazi zao na elimu yao ya maana kama kawaida, na family, kama wewe na mimi vile.

    ReplyDelete
  2. Michuzi unafikiri carnival ya Brazil wote ni wanawake wale?
    Muulize rafiki yako coach wa taifa huyo.

    ReplyDelete
  3. Michuzi, mbona hiyo link ya Jeff inanipeleka http://www.birlik.net/

    ReplyDelete
  4. Eee bwana eee..mtu unaweza kutongoza ukadhani ni demu kumbe njemba mwenzio.Kasheshe mkifika chumbani..loh!Mungu tusaidie.

    Link ya Jeff Msangi ni www.harakati.blogspot.com. Jeff kama unasoma hapa,blog yako imeenda shule kama hii ya brother Michuzi.Endeleeni kutupa vitu ndugu zetu.

    Msifu

    ReplyDelete
  5. Aisei huyo mzungu anaonekana kabisa ni dume. Hapa Boston napo kaa wako wengi sana! tunapishana nao kila siku. Na kuna akina dada wanajifanya wanaume.

    Bado nacheka nikikumbuka lakini nilishuhudia waBongo walivyoaibika wakidhania wanatongoza wanaume hapa Boston. Niliandika kwenye blogu yangu.

    http://swahilitime.blogspot.com/2006/07/minjemba-walikoma-boston.html

    ReplyDelete
  6. Mbona yeye Jeff haonekani alikaa upande gani?Au ndio alipiga picha wenzie?maana naskia na yeye chakula

    ReplyDelete
  7. anyony..naona sasa ushaanza kumchokoza waziri mkuu wa blogu(raisi ni Ndesanjo).

    ReplyDelete
  8. ahahah..msangi akiwa chakula basi wote tutakuwa vyakula.Msimamo mkali wa msangi juu ya masuala haya tunaujua.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...