Home
Unlabelled
bukina faso
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waungwana ni kulikoni mbona wachezaji wetu wa siku hizi mili ni midogodogo mno? na kama hawana afya? tizameni hawa? sina nia mbaya nauliza tu, maana zamani tulikuwa na vibonge vya watu, i.e Kapera, Zimbwe, Masimenti, Peter Tino na wengineo hata wale wafupi walikuwa na afya lakini wa leo vipi?
ReplyDeleteKaka hawa sio wachezaji wetu, ni wa burkina faso. Vilevile umbo siku hizi sio kigezo pekee cha kuuweza mpira. Ona wachezaji wengi wa timu ya taifa ya England wanaopapatikiwa bongo wana maumbo madogo (Wright-Philips, Defoe, Joe Cole, Aaron Lennon, Owen, na kadhalika)
ReplyDeleteHii kali kwa kweli, duh!!! Teh teh; mambo ya kukurupuka hayo, tunasema kila siku, msikurupuke jamani...haya anonymous wa kwanza umeumbuka:-)
ReplyDeletekwa kweli kama sisi wa Tanzania tumeze kuwafunga hawa Burkino faso basi ujue hakuna team itakayo weza kutuzuia hapo mbele. kwani sasa hivi naona ni zamu yetu,kutesa kwa zamu,oyaaa TAIFA STARS mungu ibariki Tanzania yetu
ReplyDeleteAnon wa kwanza hajakosea HAKUSEMA WACHEZAJI WETU WA TANZANIA BALI WACHEZAJI WETU WA SIKU HIZI.Haya kati yenu nani KAKURUPUKA!
ReplyDelete