hapa bei ya tisheti moja yenye picha ya shwazniga ni mshahara wangu wa miezi miwili bila chenji kubaki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ya kweli hayo Michuzi au unatuzuga tu??

    ReplyDelete
  2. jamani naomba kuuliza michizu hapo wapi? najua si newala tafadhalini nataka kujua kweli ni mji au sehemu gani

    ReplyDelete
  3. hapa ni New York, USA

    ReplyDelete
  4. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...