mdau wetu kanitumia picha hii leo kuonesha ni jinsi gani bongo na wabongo wanavyokubalika ugahibuni. hii ni katika uwanja mpya wa imarati wa aseno, ajentina ilipocheza na brazili wiki hii. asante abdul na nakuona hapo na wana-samba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Bw. Michuzi, hii mara ya pili napata kumwona ndugu yangu mwingine kwenye blogu yako (wa pili kulia kwa mtizamaji, na jersey yenye nembo ya Tz).

    Picha ya kwanza ilikuwa hii: http://issamichuzi.blogspot.com/2006/04/enzi-hizo.html

    Asante sana!

    ReplyDelete
  2. Hawa jamaa sura zao zimejaa matabasamu ya kufoji inaonesha walienda hapa uwanjani na hawakuwa na tiketi wanasubiria FUNGULIA MBWA hadi uwingereza kwa malkia!...it's ME

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...