Home
Unlabelled
tumetoka mbali
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
yaah, naikumbuka hii ni timu iliyoshinda kombe la castle Arusha october ya mwaka 2000. baadhi ya wachezaji waliokuwepo ni kama Pawasa, Ntezi, Manyika, Saidi Maulidi, Emmanuel Gabriel, Yussuf Macho, Dua Saidi, Edibily Lunyamila,Salvatory Edward (ambaye kwenye final alifunga goli moja makini sana) wengine waliokuwepo ni Mtwa Kihwelo na Joseph Kaniki. hao ni baadhi tu in random order.
ReplyDeleteJOHN Mwansasu naye alikuwepo.
ReplyDeletejuu namwona coach mziray, mwansasu,mecky maxime,bonny pawasa,nteze john lungu,waziri mahadhi,anayefuata sijui ni kocha wa makipa au lah!then mkwasa.
ReplyDeletechini namwona peter manyika,said maulidi,renatus njohole,salvatory edward,joseph kaniki na yusuph macho aka muso.
nimefurahi kukumbuka hiyo list. nafikiri hapo walikuwa kirumba mwanza
ReplyDeleteOndoa takataka hao, hawana historia yoyote bongo kumamazao funza wajubwa hao. Tuwekee kina Peter Tino hapo.
ReplyDeletekutoka kushoto waliosimama.. mziray(KOCHA)john mwansasu(6),mecky maxime(10),boniface pawasa(baba ubaya)(7),nteze john(LUNGU)(15),waziri mahadhi(MANDIETA),...mkwasa(MASTER)
ReplyDeletewaliochuchumaa kutoka kushoto
peter manyika(1),said maulid(SMG),alphonce modest(12),salvatory edward(MTAALAMU),joseph kaniki(golota)(8)yusuf macho rwenda(MUSSO)(5)