jaki (kulia) na kali wakitanua ughaibuni uholanzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Michuzi bwana rekebisha kiswahili chako. Watu wa Amsterdam karibu na redlight, halafu unasema wanatanua badala ya kutanuliwa?

    ReplyDelete
  2. Michuzi vipi naona mambo hayo hivi braza hawa vimwana hukuwapiga miti kweli? Nina kujua sana braza kwa dogodogo wewe ni mwisho. unakumbuka ulipo kuja London last year? Shemeji yangu mpaka leo anaulizia, inaelekea ulipiga kwelikweli. Sasa braza Michuzi hii naona ni product yako mpya lazima umekula tena hawa nauhakika hata stockings hatukuvaa. wenyewe wanafurahia....Michuzi ninakuvulia kofia. Mimi nitakufa na Mama Tanzania wetu Wema akija hapa London kwenye majaribio.

    ReplyDelete
  3. MICHUZI NA WEWE UMEZIDI KUTUWEKEA VITU VYA AJABU AJABU SASA UYO JAKI NDIO NANI?TUWEKEE MA SUPERSTAR WATOTO BOMBA KAMA CYNTHIA HIZO SURA HAZINA HATA MVUTO

    ReplyDelete
  4. kweli mswahili ngozi ya p...hata ukiipiga pasi hainyooki. mliwekewa picha za Cynthia mkalalamika! sasa mmewekewa picha za warembo hamzitake mnamtaka tena Cynthia.Michuzi kazi unayo!

    ReplyDelete
  5. Sasa hayo madole ndio wanatiana nayo au?????

    ReplyDelete
  6. Ni wasagaji hawa naona, ehh? Masista duu aka lesbo-feminists. Wenyewe wanasema haya ndiyo mambo ya utandawazi.

    ReplyDelete
  7. Jamani jamani kuweni na adabu loh! kama mtu humjui si unyamazeee.. kwanini mnatoa maneno machafu na ya uongooo? sio vizuri jamanii... huyo ni Jackie na Wifi yake Cali, Jackie kaenda kuwatembelea ngudu na marafiki msiwaandike maneno ya uongo jamani na si vibaya mkiheshimiana... sio mpaka umjue mtu ndio umweshimu hata kama humjui mweshimu tuu... asanteni.

    ReplyDelete
  8. hee Jackie huyoo?? mamaaa yani mtoto kaondoka hata KUTUAGA LOH! ila nimemzoea huyoo ndio zake uzuri hatusahau akirudi atatushnivo!take care huko usizamie urudi; wasalimie kina Cali waambie waje nyumbani (Bongoooo)

    ReplyDelete
  9. wewe EvE,ngudu ndio nini?Au wewe ndio kiongozi wao,I mean sagaji kubwaaa? Kama unawajua si unawajua wewe sisi wanatusaidia nini zaidi ya kutuchefua tu hapo na marinda yao mashavuni????

    ReplyDelete
  10. Hii pichaaaa, Michuzi umetumia Camera yako kweli? Very poor quality picture!

    ReplyDelete
  11. Hivi nani anaweza kumalizia ule usemi wa the wider the mouth...

    ReplyDelete
  12. MICHUZI HAO MADEMU KAMA WANATAFUTA MABUZI UNGEWEKA PICHA YENYE QUALITY NZURI ILI WAONEKANE AU HATA WANGEPAKA PODA ILI SURA ZAO ZIONEKANE BASI.UYO MWENGINE NAMJUA ANAITWA JAKI NILISOMA NAE TAMBAZA AKAPATA DIVISION ZERO KWA KUPENDA WANAUME WENYE HERA UYO ADI AKASAU KUSOMA,UTAPATA NGOMA

    ReplyDelete
  13. hako kademu kaliko vaa top ya pink ni kahuni sana sana kanapenda sana hela lakini simshangai sana maana amelelewa kihasarahasara tu na mama yake.huyu mtoto kwa kupenda wanaume wenye pesa mh ni kiboko.tena asubiri kutongoza ni anajitongozesha.namsikitikia maana ukimwi unamnyemelea

    ReplyDelete
  14. ila wabongo hambadiliki jamani hamkai mkafikilia ya maana kazi matusi waacheni hawa mabinti wapate shida kidogo mnavyozidi kuwasema ndio wanazidi kufanikiwa kimaisha cali yuko juu jacky pia anajitaidi ninachowapendea dada zangu hawa hawakati tamaa mbona kina namikoa hamuwasemi? kwasababu wanawaachia! fanyeni kazi mjenge maisha yenu sio kukaa kusema watu vibaya. u luk nice galz. do not gv any1 ya pict. this blog sio nzuri watu wanatukana hadi rais wa nchi so msijali kip it up Cali wewe ndo demu wa 1 dunia nzima ulipasua! al de best gal hakuna demu aliyekufikia kwa kichwa mama. Nice Pict. c u december

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...