Home
Unlabelled
jukwaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mrema naye alikuwepo babaangu
ReplyDeleteImagine this: Edward Sokoine(President),J Kikwete(Prime Minister), A. Mrema(Home Affairs). How would Tanzania be like under this team?
ReplyDeleteawsome:-)
ReplyDeleteMichuzi hii picha inaeleza kila sababu kwanini timu ya soka isiitwe "JK Eleven". Mrema,& Freeman Mbowe ! End of discussion! They are opposition leaders who on saturday came to Stadium to support the National Team.
ReplyDeletete he he he - Jamani Mbowe - vua hizo nguo sasa unatia aibu jamani nguo hiyo hiyo kila siku - Yaani hata Mrema kakupiku kavaa tshati ya Tanzania. Hao wamejipendekeza baada ya kusikia JK atakuwepo uwanjani hawana lolote
ReplyDeleteMichuzi twaomba picha za Ngurdoto wakati wa mkutano wa wakuu wa mikoa na ma dc plzzzzzzzzzzzzzzzzz
ReplyDeleteTANZANIA NI WOTE,TAIFA STARS NI YA WOTE!! MUNGU IBARIKI TANZANIA
ReplyDeleteHapo Lyatonga ndiye anyeonekana Rais na siyo vinginevyo ametulia na annavaa busara tupu katika muonekano wake na haigizi bali yupo mkweli,
ReplyDelete