jukwaa kuu lilipendeza jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. mrema naye alikuwepo babaangu

    ReplyDelete
  2. Imagine this: Edward Sokoine(President),J Kikwete(Prime Minister), A. Mrema(Home Affairs). How would Tanzania be like under this team?

    ReplyDelete
  3. Michuzi hii picha inaeleza kila sababu kwanini timu ya soka isiitwe "JK Eleven". Mrema,& Freeman Mbowe ! End of discussion! They are opposition leaders who on saturday came to Stadium to support the National Team.

    ReplyDelete
  4. te he he he - Jamani Mbowe - vua hizo nguo sasa unatia aibu jamani nguo hiyo hiyo kila siku - Yaani hata Mrema kakupiku kavaa tshati ya Tanzania. Hao wamejipendekeza baada ya kusikia JK atakuwepo uwanjani hawana lolote

    ReplyDelete
  5. Michuzi twaomba picha za Ngurdoto wakati wa mkutano wa wakuu wa mikoa na ma dc plzzzzzzzzzzzzzzzzz

    ReplyDelete
  6. TANZANIA NI WOTE,TAIFA STARS NI YA WOTE!! MUNGU IBARIKI TANZANIA

    ReplyDelete
  7. Hapo Lyatonga ndiye anyeonekana Rais na siyo vinginevyo ametulia na annavaa busara tupu katika muonekano wake na haigizi bali yupo mkweli,

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...