msela anaganda hivi kutwa nzima, ukitia rupia bakulini anapiga saluti kukushukuru,
kisha anaendelea kukauka mtaani broadi wei avenyuu, tofaa kubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. "tofaa kubwa" ndio wapi?

    ReplyDelete
  2. Big apple or new york

    ReplyDelete
  3. huyo babu aende akatafute kazi, mzembe kabisa!

    ReplyDelete
  4. Kazi si ndio hiyo hapo anayofanya ya Arts baada ya kujiajiri mwenyewe kutokana na talent yake.

    ReplyDelete
  5. Hii ni aina ya sanaa na si rahisi kama watu wafikiravyo.Mwili wa binadamu kutulia kama sanamu kwa muda mrefu sio kitu rahisi. Kuna watu wengi tu hufanya hii na asilimia 99 ni wazungu. Nahii ni kitu wafanyacho kama ziada baada ya kazi nyingine, wakati wa likizo au wikiendi

    ReplyDelete
  6. Harvard Square kina binti wa kizungu, anajipakaga rangi ya kijani na kuvaa kama Statue of Liberty! Naye anaganda kama sanamu! Ukiweka hela kwenye kikopo chake ndo ana move. Watalii wanafurahia sana.

    Make Money!

    ReplyDelete
  7. Hii sanaa hata bongo ipo jamani. Mliofika maonyesho ya Sabasaba mwaka huu mtakubaliana na mimi. Ila wa huku kwetu wanajisiliba mkaa na kuganda.Unaweza dhani ni mtu wa kukaushwa manake mweusiiiii halafu kaganda!Ukimtupia hela ndo utaona kitu cheupe.....yani meno....maana atatabasamu! Kweli kazi ni kazi!

    ReplyDelete
  8. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete
  9. Dawa ni kutompa pesa tuone kama ataganda hivyo hivyo milele,

    ReplyDelete
  10. kweli anaiibia serekali maana huyo sidhani kama analipa kodi.ila kweli ni sanaa nzuri sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...