Home
Unlabelled
kazi ni kazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
"tofaa kubwa" ndio wapi?
ReplyDeleteBig apple or new york
ReplyDeletehuyo babu aende akatafute kazi, mzembe kabisa!
ReplyDeleteKazi si ndio hiyo hapo anayofanya ya Arts baada ya kujiajiri mwenyewe kutokana na talent yake.
ReplyDeleteHii ni aina ya sanaa na si rahisi kama watu wafikiravyo.Mwili wa binadamu kutulia kama sanamu kwa muda mrefu sio kitu rahisi. Kuna watu wengi tu hufanya hii na asilimia 99 ni wazungu. Nahii ni kitu wafanyacho kama ziada baada ya kazi nyingine, wakati wa likizo au wikiendi
ReplyDeleteHarvard Square kina binti wa kizungu, anajipakaga rangi ya kijani na kuvaa kama Statue of Liberty! Naye anaganda kama sanamu! Ukiweka hela kwenye kikopo chake ndo ana move. Watalii wanafurahia sana.
ReplyDeleteMake Money!
Hii sanaa hata bongo ipo jamani. Mliofika maonyesho ya Sabasaba mwaka huu mtakubaliana na mimi. Ila wa huku kwetu wanajisiliba mkaa na kuganda.Unaweza dhani ni mtu wa kukaushwa manake mweusiiiii halafu kaganda!Ukimtupia hela ndo utaona kitu cheupe.....yani meno....maana atatabasamu! Kweli kazi ni kazi!
ReplyDeletehacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh
ReplyDeleteDawa ni kutompa pesa tuone kama ataganda hivyo hivyo milele,
ReplyDeletekweli anaiibia serekali maana huyo sidhani kama analipa kodi.ila kweli ni sanaa nzuri sana
ReplyDelete