Home
Unlabelled
kichaka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I Like the personality of our president nadhani mtakubaliana na mimi kwamba he looks like sum one who knows what he's doin all the time, i hope in his time ataifanya nchi iendane na muangaliko wake kwa sababu tumechoka na kusikia tu story kila nikirudi home hamna kubwa ninalo liona zaidi ya magari, majengo na mabaa tu wakati watu bado apeche halolo
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeleteTafadhali tupatie kwa muhtasari tu rais JK alilonga nini na Bw. Bush.
Na huo mguu unaoonekana hapo kushoto umevaa kiatu cha kike ni Dr. Asha Rose au Dr. Condoleezza Rice?
Wakatabahu.
Ukizingatia kwamba hakuna watu wamesimama karibu na marais hawa wawili na pia huoni mtu yeyote akiwa na note book akichukua dondoo za mazungumzo, nadhani hii ilikuwa ni "photo op" peke yake. Nothing serious was descussed nor was there need for that!
ReplyDeleteAu nimekosea ndugu Michuzi?
Wakatabahu.
It doesnt matter waliongea nini kwangu i am just happy 2 c kwamba atleast tuna mtu wa kutupa picha kinachoendelea na rais wetu alipo, na nakubaliana na ndugu yangu hapo juu rais wetu looks like he should b the one givin Bush some aid coz I know in reality he is smarter, mzee michuzi kula nchi na taxes za wabongo mzee ahhhh
ReplyDeleteukicheki vizuri kwenye picha chini kushoto... kuna mguu (nadhani ni wa mwanamke) asa sijui kama huyo m/ke ni wa mmoja wao hao jamaa .. au mtu anafanya kazi yake eg ku-take note (anony wa 10:04)
ReplyDeletewalisalimiana hivi
ReplyDeleteKichaka: Yoo Kikwete
JK: yeah Bush.. kidumu chama cha mapinduzi
UKWELI NI KWAMBA VIONGOZI WOTE WA MATAIFA MAKUBWA NA YALIYO ENDELEA WANAWAONA VIONGOZI TOKA NCHI MASIKINI HASA HASA AFRIKA NI WAJINGA SANA TENA SANA NA WAPUMBAVU WA KUBWA, NINA MAANA YA KWAMBA MATAIFA MAKUBWA KAMA HAYO YANAJUA NI JINSI GANI VIONGOZI WETU WALIVYO WEZI, WALA RUSHWA NA WAPUUZI NA SIKU ZOTE HAWAPO KTK KULETA MAENDELEO YA WANANCHI NA MATAIFA YAO. KWA MFANO KABLA NA BAADA YA CHAGUZI ZA KUCHAGUA MARAISI WA AFRIKA CHOMBO KAMA CIA, MI6, MOSSAD, N.K WAMESHAJUA HISTORIA ZA VIONGOZI WETU KWAMBA NI WEZI NA WANANUKA RUSHWA KABISA.
ReplyDeleteMI NAKWAMBIA VIONGOZI WOTE WA MATAIFA YALIYO ENDELEA WANALILIA KWAMBA MATAIFA YOTE YA AFRIKA NDIO YANGEKUWA NCHI ZAO KWA UTAJIRI TULIO NAO. SIKU ZOTE TUNARUDISHWA NYUMA NA WEZI KAMA VIONGOZI WA CCM NA VIONGOZI WOTE WA KIAFRIKA AMBAO SIKU ZOTE HAWAONI HAIBU KWENDA KUKAA NA VIONGOZI WA MATAIFA YALIYO ENDELEA NA KUOMBA MISAADA NA KUTOA SHIDA ZETU.
WE UNADHANI KIKWETE ANA MWAMBIA NINI BUSH HAPO? ANA MWAMBIA KWAMBA BABA TUSAIDIE SISI WATOTO WAKO TUNA NJAA BILA YA KUONA HATA HAIBU ALAFU BAADA YA KUPEWA HIZO PESA WANAKUJA AFRIKA NA KUZITUMIA WAO NA WAKE ZAO NA WAPAMBE WAO KWA KUSAFIRI NA WATU KIBAO AMBAO WENGINE HAWANA LOLOTE LA KUFANYA HUKO BILA YA KUWA NA HURUMA NA WANANCHI WAO.
MIMI NAONA KWAMBA KWA UTAJIRI TULIO NAO TANZANIA HAINA SABABU ZA KWENDA NJE NA KUOMBA MISAADA KILA SIKU!!! KILA SIKU WANA PEWA HIZO PESA LAKINI BADO TUPO MASIKINI, HAKUNA UMEME, NCHI MASIKINI, WANANCHI WENGI HAWANA KAZI, ELIMU, UJAMBAZI UNA ONGEZEKA BASI NI KALAA KABISA.
TANZANIA SASA HIVI TUNA GAS, NA UWEZEKANO WA MAFUTA TUNAYO LAKINI NI KWAMBA HAMTAKUJA KUONA MAFANIKIO YA KUWA NA HIVYO VITU HATA SIKU MOJA MPAKA HIKI KIZAZI KITAKUFA NA KIZAZI CHENU KUFA KUTOKANA NA UZEMBE, WIZI, WALA RUSHWA WA VIONGOZI WENU WOTE WAKIONGOZWA NA RAIS WENU JAKAYA KIKWETE. MFANO HUU UPO TOKA KTK MIGODI NA MADINI TULIYO NAYO NDANI YA NCHI AMBAPO HAKUNA LOLOTE LINALO FANYIKA KUTOKANA NA UTAJIRI TULIO NALO BALI LINALOTOKEA NI KWAMBA WATU WACHACHE, VIONGOZI WENU, WAKE ZAO NA WATOTOT ZAO KUWA MATAJIRI SANA TENA SANA.
HII LEO ULIZA VIONGOZI WOTE NDANI YA TANZANIA HASA HASA CMM NA WALIO WAHI KUWA MAWAZIRI, MARAIS, AU NDANI YA SERIKALI NA WAULIZENI ACCOUNT ZAO ZINA SHILIMGI NGAPI NA WAMEZITOA WAPI? JIBU WANA MABILIONI YA SHILINGI YA WIZI NA HUU NI UKWELI AMBAO HUPO. KAMA IGP WA POLISI ALIYE PITA ANA BILIONI ZAIDI YA MOJA KTK ACCOUNT YAKE UNADHANI MTU KAMA MKAPA, KIKWETE, MSUYA, LOWASA, SUMAYE NA WENGI WAO WANA SHILINGI NGAPI KTK ACCOUNT ZAO ZILIPO NDANI YA TANZANIA NA NJE YA TANZANIA? JIBU NI MABILIONI YA SHILINGI.
IPO SIKU ITAFIKA AMBAPO KILA MLA RUSHWA, WEZI, NA VIONGOZI WOTE WANAO TUMIA MADARAKA KWA MANUFAA YAO, VIONGOZI WANAO ENDESHA NCHI VIBAYA TUTA WAFIKISHA MAHAKAMNI NA KUWATUPA MAHAKAMANI. ATA KAMA WAKIWA WAMEKUFA TUTACHUKUA MALI ZAO ZILI BAKI. MFANO HUU UPO NA UMETOKEA KWA VIONGOZI WENGI DUNIANI WALIO ZANI KWAMBA WATAENDELEA SIKU ZOTE KUBAKI MADARAKANI NA KULINDWA SASA TUNA WAAMBIA KWAMBA MTAONDOKA MADARAKANI NA TUTAWAWEKA MAHAKAMANI NA KUWATUPA JELA MFANO HUPO KWA AUGUSTO PINOCHET KIONGOZI WA ZAMANI WA CHILE.
WATANZANIA TUNA MATATIZO MENGI NA NI MASIKINI KUTOKANA NA VIONGOZI WETU AMBAO NI WEZI NA WALA RUSHWA KAMA WANGEKUWA WANAJITOLEA MAISHA YAO KUTULETEA MAENDELEO HAKUNA MTU ANGELALA NA NJAA, HAKUNA MTU HASINGE SHINDWA KUPELEKA MTOTO WAKE HOSPITALINI, HAKUNA KIJANA ANGEKUWA HANA KAZI, N.K
ULIZA NI MSULULU WA WATU WANGAPI WAMEENDA HAPO KWA BUSH UTA AMBIWA ZAIDI YA 30 AMBAPO NI KIASI GANI KTK GHARAMA NI MABILIONI!! WANAFANYA NINI HUKO? WANAPOTEZA MUDA TU NA KULA PESA ZA MTANZANIA ALIYE MASIKINI!!! KIKWETE NA VIONGOZI WENGINE WATAKAO KUJA WATAENDELEA KWENDA HUKO NA KUOMBA MISAADA KILA SIKU MPAKA WAACHE KULA NA KUPOKEA RUSWA.
JE KWA MAMBO HAYA TUTAFIKA???
LETENI MAJIBU.
Wewe ananonimous umejaa chuki unachozungumza hapa huna data tulia utafakari kisha ndo uandike acha kuandika pumba bwana.
ReplyDeletePUMBA KUTOKANA YA KWAMBA UMEZOEA KUBAKI MASIKINI WA MAWAZO NA KIPESA SI NDIVYO HIVYO?
ReplyDeleteWewe anony wa 12:38 unayejifanya kuelezea umasikini wa Watanzania nadhani umekurupuka usingizini, nani kakuambia Watanzania ni masikini kama unavyofikiria, nadhani wewe ndio masikini na mpaka comment zako zinaonyesha jinsi ulivyo masikini wa mawazo hadi rohoni mwako. Nchi nyingi za Kiafrika zinapiga hatua kuondokana na umasikini yaani kuinua uchumi wa nchi zao, very few countries that are flanked by civil wars such as Sudai, DRC, Ivory Coast, Somali etc are strugling toward ecomic revolutionary, hizo nchi za Ulaya na America unazoziona zimeendelea walipambana zaidi miaka 200 iliyopita kuweza kufika mahali walipo. Sisi Waafrika/Watanzania tunaona vita iliyopo ya mageuzi ya kiuchumi na tumeridhika na hatua zilizochukuliwa na viongozi wetu kuimarisha elimu, afya, ajira na miundombinu kwa ujumla. Kutokana na hatua dhabiti wanazochukua viongozi hawa ndiyo maana wapo madarakani kwa ridhaa ya wananchi. Roma haikujengwa siku moja brother!!.
ReplyDeleteMZEE MKIRIKITWA WA NCHI JAPOKUWA UNACHOSEMA KINA UKWELI KWA MBALI LAKINI UKWELI NI KWAMBA TZ TUNAFANYA A LIL BIT BETTER THAN OTHER POOR COUNTRY IN CORRUPTION WILL U EVER GET RID OF IT? NEVER, BUT UKWELI NI KWAMBA HATA UFANYE NINI NCHI MASKINI KAMA TZ HAIWEZI KUWAFANYA WANANCHI WAO WOTE WAISHI VIZURI KWA KUSEMA TUSIOMBE MISAADA TENA KAMA KWELI UMEENDA SHULE U KNOW THATS NOT A REALITY JAPO WATU WANAKULA SERIKALINI BADO MISAADA INAITAJIKA NCHINI, NOW RAIS KAMA JK TAYARI MAISHA YAKE YAKO POA KABLA HAJAJA UONGOZINI LAKINI HAUTEGEMEI AKUFANYE WEWE UISHI VIZURI KWA KUKUPA HELA ZA SEREKALINI HATA HUKU UGHAIBUNI KUNA WATU WAKO MITAANI WANAOMBA MITAANI WAKATI NCHI YAO INATUMIA BILIONI MOJA KUPIGANA VITA KILA SIKU, NA ITS NOT TRUE THAT KILA RAIS ANAPOKUJA KUONGEA NA NCHI MATAJIRI NI KUOMBA MISAADA TU KAMA HUJUI NCHI HIZI ZINAITAJI USHIRIKIANIO WA NCHI KAMA ZETU KWENYE VITU VINGI TU IN ADDITION TO USALAMA, SO MZEE WAKATI WATU KAMA NYIE MLIOZOE KULALAMIKA TU KWA AJILI MNAPIGWA NA JUA NA MNACHOJUA NI KULIA MKIONA WATU WANAJENGA MAJUMBA NA KUENDESHA MAGARI MAZURI UKWELI NI KWAMBA THE FIRST DAY UKIWEKWA KWENYE MADARAKA UTAWACHUKUA NDUGU ZAKO WOTE NA KUWASAIDIA, SO B QUIET NA KUOMBA SIKU MOJA UPATE NAFASI YA KUKUPATIA NAFASI YA KULA NA WEWE IN A MEANTIME KACHUKUE SAMAKI WAKO FERI UKAPIKE
ReplyDeleteWe anony wa juu yangu na Covert, mnadhihirisha jinsi Tanzania tulivyo na safari ndefu. Yaani kwenu maendeleo ni mtu mmoja? Sawa magari wanayo tena ya bei mbaya, barabara zi wapi za kuyaendeshea? Majumba wanayo umeme uko wapi? Huko katikati ya mji ni noise pollution tu kwa sababu ya majenereta. Kwenye majumba hayo wanapikia mkaa halafu ninyi mnaleta zenu eti tumeendelea. Ama kweli mwenye kengeza ni mfalme kati ya wenye chongo. Sababu kama eti ulaya na marekani imewachukua miaka 200 ni zakijinga mno. Hiyo miaka mia mbili teknolojia ilikuwa duni sana, kwani sasa hivi tusihamishe teknolojia? Wakati mnasema miaka mia mbili mbona hamsemi nchi za Asia zilizokuwa sawa na sisi miaka 45 iliyopita? Jibu ni kuwa watawala wenu wanajua wakiwaambia Roma haikujengwa kwa siku moja mtaanza kuimba kama kasuku bila kuhoji.
ReplyDeleteThis afternoon, President Bush met with President Kikwete of Tanzania. The focus of the meeting was on economic development, regional security, and democratization. They focused primarily on the Millennium Challenge Account, which Tanzania is one of the recipients and is in the process of securing a compact which we hope will come shortly.
ReplyDeleteThey also focused on the Democratic Republic of the Congo and the political situation there, and elections. President Kikwete reiterated that he thought the process was moving well, that regional leaders were taking a firm role, and also talked about the successes of Burundi and getting the final rebel leaders to come to the forefront and sign on an agreement.
Also they spoke about Kenya and the dynamics of democracy there, and expressed concerns to make sure that democracy is moving forward, and discussed some of the issues of political instability that were taking place.
Quoted from http://www.whitehouse.gov/news/releases/2006/09/20060918-12.html
WEWE ANONY. WA 3:50PM KWA TAHARIFA YAKO HAKUNA MTU ANAE PIGWA JUA HAPA SIO MIMI NA KIZAZI CHANGU BALI TOKA KIZAZI CHANGU KILICHOPITA NA HILO MUNGU ASHUKULIWE, NINALO LIONGELEA MIMI HAPA NI KWAMBA SIO WATU WACHACHE WAWE NA UWEZO WA KIMAISHA BALI KILA MWANANCHI HAWE NA UWEZO WA KUWA NA MAISHA MAZURI. NIMETOKEA KUWAONA HAWA WATU TOKA HAPO ZAMANI NA SASA NIPO NJE YA NCHI NA KUTOA HILI DUKUDUKU KWA KUWA NAJUA GAMES WANAZO CHEZA KWA UNDANI ZAIDI!!
ReplyDeleteATAKAE WEZA KUTETEA HAWA WEZI NA WALA RUSHWA BASI ALICHO FANYIWA NI KITU KINACHO ITWA BRAIN WASHED AU KUNA KITU ANA PATA TOKA KWAO!! HUO NI UKWELI.
HAUWEZI KUNIAMBIA ETI WATU WACHACHE WAKIWA WANA MILIKI MAGARI NA VI-BIASHARA BASI MAISHA SAFI KWA KILA MTANZANIA HUO UTAKUWA NI UONGO WA WAZI KABISA.
NAJUA SIKU ZOTE NI KITU GANI WANACHO ONGELEA WAKIENDA HUKO WATACHUKUA SABABU ZA BURUNDI, CONGO, KENYA NA SABABU KIBAO BILA KUSAHAU ULINZI AMBAPO UKIANGALIA VYOTE NI UZEMBE PIA WA VIONGOZI WETU WA KIAFRIKA NA HAO WA NCHI ZILIZO ENDELEA NDIO MAANA KUNA MATATIZO YOTE HAYO INA MAANA KWAMBA WANGE-ACT MAPEMA KTK BURUNDI, CONGO NA DEMOKRASIA YA KENYA YASINGETOKEA YOTE YALIYO TOKEA. NA SASA KUNA SUDAN!!!!! BAADA KUONGEA YOTE HAYO WANAOMBA MISAADA BILA HATA YA HAIBU.
USITAKE KUTULETEA SERA ZA CCM KUSEMA KWAMBA HALI YA NCHI NI NZURI BAADA YA MIAKA YOTE 45 ILIYO PITA, UMEENDA NDANI KABISA YA TANZANIA NA KUONA KANA KWAMBA HALI YA MAISHA YA MTANZANIA NI NZURI? USIONE KUWA WEWE UNA PESA YA KUWEZA KULA UGALI NA BIA AU KWENDA KUSTAREHE NDIO UKADHANI KWAMBA NDIVYO ITAKAVYO KUWA KWA WATOTO WAKO HAPO BAADA YA KUACHA KAZI AU KUFA UTAKUWA UNAJIDANGANYA KABISA!!
UTAKUWA NI MJINGA UKIJA KUMUELEZA MTOTO WAKO KWAMBA ETI HALI YA MAISHA YA KIMASIKINI YA MTANZANIA NI SAWA TU ETI KWAKUWA ROMA HAIKUJENGWA SIKU MOJA BASI NA SISI TUVUMILIE TU, TANZANIA INABIDI TUPAMBANE NA HADUI WA MAENDELEO YETU AMBAO NI WEZI NA WALA RUSHWA WA CCM NA VIONGOZI WOTE WA SERIKALI.
NASEMA YOTE SIO KWA KUWA NINA JAZIBA NA WATU WACHACHE BALI NINA UCHUNGU NA MAISHA YA WATU ZAIDI YA MILIONI 33 WA WATANZANIA KWAKUWA NINAJUA WANACHO FANYA HAWA WEZI NA WALA RUSHWA.
WE MBUMBUMBU WA 7.22 SASA UNALETA STORY SAWA MUNGU (ASHUKULIWE) U DONT EVEN SOUND THAT UR DOIN ALRIGHT, BUT ANYWAY LET ME TRYIN 2 HELP U IF U WANT 2 B. KWANZA NILICHOSEMA KWAMBA NCHI YETU HAIFANYI VIBAYA SANA UKILINGANISHA NA NCHI ZETU JIRANI ITS TRUE KAMA SIO UONGOZI TULIOPATA TOKEA KWA MZEE JKT NCHI YETU INGEWEZA KUISHIA KWENYE MGOGORO KAMA WA MAJIRANI ZETU KWA AJILI YA WAJINGA KAMA NYIE MNAOKAA NA KULALAMIKA KWAMBA SERIKALI HAIFANYI KITU NA HIVYO TUPIGANE, NOW HOW DO U JUDGE MAENDLEO JAMANI KAMA MMEENDA SHULE, U HAVE TO START WITH THE INFRASTRUCTURE, CANT U REALLY C THAT WE ARE BETTER NOW THAN THE WAY WE WAS 40YRS AGO, OPEN UP THE ECONOMICAL OPPORTUNITY FOR A FREE MARKET CANT U DUMB PEOPLE C THAT, RAISE UR EDUCATIONAL LEVEL OF UR PEOPLE CANT YALL C THAT, ANYWAY I CAN GO ON AND ON AND ON, BUT THE TRUTH IS THAT NCHI YETU INAENDA MBELE, NOW THE QUESTION LILIANZA KWAMBA HAWA VIONGOZI WANAENDA NJE YA NCHI KUOMBA MISAADA NA HAWAFANYI NAYO KITU, KWANZA WE MBUMBUMBU( TRUST ME I AM CONTROLING MY SELF NOT TO CALL U WORSE NAMES)HUU MSAFARA KAMA HAUANGALII HATA TV NI WA MIKUTANO AMBAYO NCHI ZOTE ZENYE MUELEKEO WA TZ UMEFANYA KUANZIA CUBA, NA SASA UN AU LABDA UKO NJE BILA HATA TV CABLE, NA UKWELI NI KWAMBA SERIKALI ZINA GHARAMA NYINGI SANA IKIWEMO ZA VIONGOZI KUSAFIRI AND THEY ARE VITAL KUENDELEZA UHUSIANO, I DONT KNOW WHERE U AT BUT HUKU US SERIKALI INATUMIA ALMOST A BILION IRAQ, BUSH AKISAFIRI NI GHARAMA YA AJABU IN MILLIONS BUT KUNA WATU WANAOISHI KWA MATATIZO AND STILL THEY UNDERSTAND THAT THESE THINGS ARE LAZIMA, KAMA HAUJUI KAJIMA HAWATOKI TZ NA WAMEJENGA BARABARA MIA KIDOGO YOTE NI MISAADA SO KAMA WEWE UNADAI UNA UCHUNGU NA NCHI MAYB WAT U NEED NOW IS 2 EDUCATE URSELF JUU YA SHUGHULI ZA SERIKALI AND MAYB UTAELEWA KWAMBA NCHI YAKO INAENDELEA JAPO TARATIBU BUT WE ARE AND I HOPE VIONGOZI WETU HAWAVUNJWI NGUVU NA MBUMBUMBU KAMA NYIE MNAOLIA AS IF MNATAKA SERIKALI IWEKE HELA KWENYE ACCOUNT ZENU DAMN ITS HARD TO TALK WITH POOR PEOPLE
ReplyDeleteKWANZA KABISA HAKUNA MTU ALIYE SEMA ETI KUTOKANA NA MAISHA YA MTANZANIA YALIVYO MAGUMU NA MASIKINI WATU TUPIGANE!!!
ReplyDeleteSIKU ZOTE KATIKA MAISHA UKIWEZA KUJILINGANISHA NA MTU ASIYE ENDELEA BASI UTABAKI KUWA MWISHO DAIMA NA HII NI MIFANO YAKO YA KULINGANISHA TANZANIA NA NCHI NYINGINE ZA AFRIKA AMBAZO PIA NI MASIKINI KUTOKANA NA VIONGOZI WA AFRIKA AMBAO NI WEZI NA WALA RUSHWA!!! UKIWEZA KUWA NA UCHUNGU NA MAISHA AMBAYO NI MAZURI SIKU ZOTE UTAWEZA KUFANYA KAZI KWA BIDII NA KUFIKA UNAPO TAKA KUFIKA!!
KWA MIAKA 45 ILIYO PITA HIZO BARABARA ZA MAANA UNAZO SEMA ZINGEKUWAPO TOKA ENZI HIZO NA SIO SASA!!! HAYO MAENDELEO MADOGO TULIYO NAYO SASA TUNGEKUWA NAYO TANGU ENZI HIZO NA SASA TUNGEKUWAPO KTK HATUA NYINGINE AMBAYO NI MBALI SANA.
KWA TAHARIFA YAKO NI KWAMBA NAFAHAMU FIKA KULIKUWA NA CUBA SUMMIT AMBAO ULISHIRIKISHA NCHI ZINAZO ENDELEA 116.
TANGU MIAKA 45 ILIYO PITA NA SAFARI ZOTE AMBAZO ZIMEFANYIKA KTK NDANI YA MIAKA HIYO INGEWEZA KULETA MAENDELEO NDANI YA NCHI NA WANANCHI KWA KIWANGO KIKUBWA NA SIO KWENDA KUPIGA SAINI MIKATABA AMBAYO INA MKANDAMIZA MTANZANIA ALIYE MASIKINI. HUO MFANO WA KAJIMA NI MOJA YA MIKATABA AMBAYO NI YA KIJINGA, SERIKALI INAPEWA MKOPO WA KUTENGENEZA BARABARA NA TUNA CHAGULIWA KAMPUNI TOKA NCHI ILIYO TOA MKOPO KUJA KUTENGENEZA BARABARA NA PESA INARUDI KWAO.
NAFAHAMU KANA KWAMBA SERIKALI YA US INATUMIA PESA NYINGI SANA NA MPAKA KUFIKIA MWISHO WA MWEZI WA SEPTEMBER 2006 ITAKUWA IMETUMIA ZAIDI YA $318.5 BILLION HII KUTOKANA NA NINI? KUTOKANA NA UONGOZI MBAYA ULIO FANYA KWA WAO KUINGIA KTK HII VITA KUTOKANA NA FAKE INTELLIGENCE REPORTS ILI KUWEZA KUFIKIA MATAKWA YAO KUWEZA KUMTOA MADARAKANI SADAM.
HAKUNA MTU ANAYE TAKA SERIKALI IWEKE PESA KTK ACCOUNT ZETU BALI SERIKALI IWEZE KULETA MAENDELEO YA KWELI NA KUONDOA UMASIKINI KWA KILA MTANZANIA KWA KUONDOA KERO NA SHIDA MBALI MBALI NDANI ZA NCHI NA KUDUMISHA HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII KTK KILA PEMBE YA TANZANIA NA KUTENGENEZA AJIRA KWA KILA MTANZANIA, MIKATABA YOTE IWE INA MLINDA MTANZANIA.
USIONE WEWE UNA PESA YA KULA NA KUWEZA KUSAHAHU RAIA ZAIDI YA MILIONI 33 AMBAO WOTE NI NDUGU ZETU, TUNACHOTAKA KWA SERIKALI HII NA SERIKALI NYINGI ZA AFRIKA KUWEZA KULETA MAENDELEO YA KWELI KTK NCHI ZAO NA WANANCHI WAO NA WAO KUACHA WIZI NA KULA RUSHWA. TUNAJUA KILA KITU WANACHO FANYA KTK KILA SIKU ZA MAISHA YAO.
U ARE ALMOST THERE BUT BADO UNASISITIZA NINI SASA, OKAY MOJA NCHI YETU NI MASIKINI NA MIAKA NENDA RUDI TUMEKUWA KUKIJUA HILO BUT KUSEMA MARAIS WETU WANAONEKANA WAJINGA NA WAOMBA MISAADA TU ILI WAJE KUZILA KWAO NDIO NILICHOANZIA KUKATAA MWANZONI NA KAMA UMESHAONA HIYO PICHA HAPO JUU JK AKIWA KWENYE NY UNIVERSITY THEN UTAKUBALI KWAMBA SIO KWELI KILA MTU HUKU ANAFIKIRIA KWAMBA SISI WOTE NI WAJINGA NA KAMA UNAJUA KUWA MARAIS WETU WANAHANGAIKA KWA AJILI YA NCHI YENYE UMASIKINI MKUBWA KAMA TZ THEN UTAELEWA KWAMBA MISAADA NI MOJA YA NJIA YA KUTUFIKISHA TUNAPOTAKA KWENDA, KAMA NI JUU YA UMEME NA MATATIZO YAKE THE REALITY IS THAT ALTERNATIVE ZA KUPATA UMEME WA UHAKIKA KWA MUDA WOTE KAMA NCHI ZA HUKU ITS NOT CHEAP AND UR GOVERNMENT KNOWS THAT THATS WHY HAWAZICHUKUI HIZO OPTION, KWA MFANO IF U REALLY HAVE BEEN LIVING OUT U KNOW THAT THE AVERAGE MONTHLY BILL YA UMEME HUKU IS ALMOST $100 WHY ITS BECAUSE OF THE COST OF OPERATION KUUPATA HUO UMEME, SASA NIAMBIE HIO GHARAMA NI WANGAPI WATAWEZA KULIPA BONGO, SO IF U DIDNT KNOW SABABU YA KUWA NA MATATIZO YA UMEME BONGO SIO KWAMBA SERIKALI HAITAKI MAENDELEO YA UMEME BUT HYDRO POWER PRODUCTION IS THE CHEAPEST OPTION KWA WABONGO FOR NOW WHILE WAKIANGAIKA KUTAFUTA MBINU NYINGINE BUT ITAKUWA NI KUPOTEZA MUDA KULETA TECH KUBWA YA UMEME AMBAYO NI WATU WACHACHE WATA AFFORD THEN MTAANZA KULIA NA HAYO MAMBO, BUT ANYWAY I FEEL KAMA MWALIMU NOW AND I AM ONLY 25, BUT IF U REALLY OPEN MIDNED U WILL UNDERSTAND KWAMBA KUWA RAIS WA NCHI MASKINI KAMA TZ NI NGUMU KULIKO NCHI TAJIRI NA NI KWA SABABU YA WATU KAMA NYIE MNAOKIMBILIA KULIA BILA FACTS ZOZOTE WAKATI WATU WANAHANGAIKA KWA AJILI YENYU
ReplyDeletepEACE
mimi huwa nasoma kidogo na nachambua mchele kidogo. Mtaniwia radhi waeshimiwa kwanza kwa kuwaingilia. Nimesoma vizuri sana majibizano yenu kuanzia jana nimegundua suala moja. Nyote mna point sana inawezekana ni watu wako juu sana.
ReplyDeleteBila challenge lazima tukubaliane hakuna maendeleo. Ukikaa tu watu wanakwambia 100% unafanya vizuri usifurahi sana kwa sababu mwisho wake unaweza kukuta unafanya 20%.
Cha kwanza pokea challenge fanyia kazi baada ya kuifanyia kazi utakuta umepiga hatua kubwa sana.
Nakumbuka mimi nilienda Jeshi la kujenga taifa, wakati huo waliniambia, ukitaka amani jiandae kwa vita-samahani kwa msemo huu.maana yake ni nini, kuleta maendeleo ni vita. ukitaka maendeleo huna budi kujitoa kukubali challenge na kuzifanyia kazi.
Nchi za ulaya/Amerika na nyinginezo zilizoendelea zimeendelea kwa sababu moja tu. Kazi ya wanasiasa ni kutoa maamuzi and manupulation of things. Kuna watu wengine hawa ni professionals(real things)hawa kazi yao ni kutoa ukweli wa mambo.
Professionals investments inahitaji kuangalia ten years and beyond, na hawa ndio wanaproject maendeleo ya nchi husika. Ndio maana utaona ulaya/na nchi nyingine kuwe winter, whatever conditions wanaweza kuendelea tu bila matatizo. Nchi nyingi za Kiafrika haziwezi kuendelea kabisa(samahani kwa sentensi hii). Sababu tunaamini sana katika manupulations and decissions without proffessionals.
Ule msemo wa JKT, kama unataka amani jiandae kwa vita tunausema tu, hatuutekelezi kwa vitendo. Ndio maana utasikia mpaka inafikia kipindi hatuna umeme, elimu mgogolo, na matatizo lukuki ambayo usuluishi wake unakuwa zima moto.
Ukitaka kujua nasema nini hapa, kama wewe ni baba mwenye nyumba unataka maendeleo lakini unasubiri mpaka kila kitu ndani kinaisha ndio ukurupuke kutafuta pesa ya kununua kingine hujue huwezi kufika mbali na utakufa masikini.
Jamaa mmoja alisema nasikia huyo ukimwi ukimwi, ukimwi, je akifika itakuwaje? Naomba niwe anony.
DUH UMENIACHA MBALI MNO NILIANZA KUKUELEWA BUT BTWEEN JKT NA UKIMWI UKIMWI NA BABA WA NYUMBA NIMEBAKI KWENYE MATAA IN A VERY GOOD WAY I DIDNT UNDERSTAND ULICHOTAKA KUSUPPORT AU KUONGEZEA
ReplyDeleteAnony wa 10:06AM nimeamua kukujibu haraka sana unajua huo ndio utamu wa blog.sikutaka nikujibu wakati nafunga computer nikafikiri hata wengine wanaweza kupata tatizo hilo.
ReplyDeleteBaba mwenye nyumba:Ni serikali inapoona tayari hakuna umeme ndipo inakimbia kuangalia jinsi ya kupata majenerator na alternative nyingine, Au maswala ya wanafunzi tayari wamegoma ndio inaangalia kupata soln. hii ni baadhi ya mifano ya matatizo ambayo kwa njia moja au nyingine yanatukuta nchi zinazo endelea kwa sababu ya kutoangalia upande mwingine wa professionals. Kwa mfano,Baadhi ya nchi zilizoendelea huwa kuna makampuni yako stand bye kama unavyoona vyama vya siasa vinapiga domo/kampeni kuingia madarakani kwa mfano suala la umeme. Nina uhakika hata maamuzi yanayochukuliwa huwa hayalengi ktk kutoa soln ya kudumu. Hila nimekubaliana na mmojawapo kuwa ni mzigo kuongoza nchi masikini.
Ukimwi ukimwi ukimwi: unasikia huwa kuna giza, unaona umeme unakatikakatika, sasa Giza kabisa: Hilo linamaanisha kukabiliana na matatizo halisi sasa. Ambapo nchi zilizo endelea huwa zinapredict hili miaka kibao ijayo. Hii huwa ni hatari sana, kusikia mpaka uone ukimwi.samahani hii ni katika sisi waumini huwa wanakwambia usisubiri siku ya mwisho ndo usali ndio JKT wanasema.
Nafikiri sasa unaweza kuona maana yake. samahani sikutaka na mara nyingi huwa sitaki kufafanua maneno haya naamini katika tasifida zaidi.
Anony wa 7:22 na 12:08.
ReplyDeletePole sana kwa kulia lia kama mtoto, tumeshakuelewa atii, sawa amii!! nadhani wewe ni mmojawapo wa wale waliokimbilia Mombasa na baadae kudai haki ya ukimbizi huko Ulaya/America. Yakhe utabaki kulia tu lakini siye twaijenga nchi yetu kama kawaida, siku utakapomaliza kulia na siye tutakuwa mbali sana kiuchumi...Dont die trying Brother!!.
Duh shekhe mwenzangu wa 11.05 naona umejitahidi kuelezea hoja zako but I can tell kufafanua kitu sio fani yako coz still sijakupata but nashukuru kwa kuelezea but this is the truth,
ReplyDeleteKama ulivyosema ulianza kusoma toka mwanzo the only problem niliyo nayo mimi ni kwamba ndugu yangu alirukia tu kwamba Bush anamuona rais wetu ni mjinga na anachotaka ni kuomba msaada na hafanyi kitu zaidi ya kula hizo hela thats where we started but kwa kukujibu mzee mwenzangu OK kwa kutumia mifano yako tell me how serikali ingeweza kukaa standby kungojea matatizo ya umeme, what did u want kama wangekuwa na umeme wa kuweka benki sawa but thats not a reality na kama ulinielewa mwanzoni ni kwamba serikali inajua hiyo Hydro tech ni ya zamani but alternative nyingine ni za gharama ambazo watanzania hawataweza kuzilipa na mambo ya umeme sio madogo hata kwa nchi tajiri, I dont know ulipo na kama unafatilia news but couple yrs huku US kulikuwa na tatizo la Umeme for almost 3 days hiyo New York unayoiona kwenye picha za michuzi ilikuwa giza for 3 days from Michigan to Ohio to New York just to give an example kwamba mambo ya umeme yana complication na solution zake sio ndogo, and atleast utasema hilo ni la muda mmoja tu, California which has all the Hollywood and all the big stars living there kila summer wana mgao kama huo wa bongo umeme unakatwa mchana mpaka usiku tatizo lao japo ni kwa sababu ya kutumia umeme mwingi zaidi ya wanavyoweza kuproduce its still the same thing hamna umeme wa kutosha and this is from last year to this year but atleast wananchi wao wanaelewa kwamba it is complicated and its gonna take sum times to solve that sasa nyie mnakimbilia tu kwamba JK hafanyi kitu and for the same token ni matatizo mengi tu unayoyaona its more complicated than yall think it takes time na kama ulivyosema tunahitaji wananchi wanaoona mbele na kujua serikali iko kuwawekea njia tu kazi ni yao kujiboresha sasa kama mnataka kukaa chini na kulalamika ohhh wanaendesha magari mazuri wezi hawa sawa kesho watu wanaamka na wewe uko unalia tu palepale get up and use all the opportunity unazoziona mbele kwako TZ hamna vita wala fujo as long as u have sumthing to bring to the table una chance ya kufanikiwa bongo but sio kwa kulia
Peace
Thanks shekhe kwa ujumbe wako kama umenielewa mwenzangu nimesema kitu kimoja mwanzoni na hili ndilo tatizo linalotukumba sina tatizo hata kidogo na rais wetu mimi ninavyojua is doing fine kabisa.
ReplyDeleteNilichosema kama ulivyosoma vizuri ni kwamba let us see challenge ahead and accept it first, then let us find the soln.
Wahindi/wachina kuna siku moja walisema ukiona wanapigana(wanafanya kazi) mpaka kwenye nchi zilizo endelea zinawaogopa ni kwa sababu waliona challenge wakaaccept halafu wakazifanyia kazi sasa hivi duniani kote hata huje tanzania mhindi akikaa ulipo kesho ana milioni kwa sababu they accepted challenge na wakazifanyia kazi ndugu yangu.
katika kufanya hili nafikiri nchi kama marekani hili tatizo likitokea huwa ndio inakuwa agenda tosha ya kuhakikisha kuwa halitatokea tena. na kufanya hivi siyo tu kuangalia walipo, wanaangalia kusolve hilo tatizo ten years and beyond na kuliwekea mkakati wa kila wakati(real monitoring). na kusolve sina uhakika kampuni kama tanesco huwa wana jinsi ya kuweza kujua matatizo yanayokabili kampuni technically. nakumbuka hata ukiunguliwa vifaa wanaona hiyo ni sawa tu huo ni mfano mdogo sana bila kujua kuna mbinu za kuzuia.anyway kama ulinielewa mwanzo utajua kuwa maendeleo yanaletwa na fikra tofauti.
I believe tanzania bado tunahitaji misaada kabisa vile vile let us accept challenge na tuzifanyie kazi. Ukiona leo kuna simu za kila aina hujue kuna watu wanafanya kazi ili hiyo mpya ipatikane. Labda mimi wito wangu let us also invest in finding different alternatives ya kutatua matatizo yetu(professionals).
Let us empower wale wenye uwezo wa kututatulia matatizo yetu wafanye hivyo(technically na hili ndio nchi kama marekani na wengine wa ulaya nk wanafanya).tutaendelea kabisa. Kweli mimi sijui kuelezea vizuri siyo fani yangu. Sina uhakika mzee kama kuna haja ya kulia especially kama mtu ulipewa mikono, elimu, nk. Kinachohitajika ni kufanya kazi.
WATANZANIA WENZANGU MSIWE KAMA MPO BRAIN WASHED NA HAWA WEZI! KATIKA KODI TUNAYO PATA KAMA PATO LA TAIFA PAMOJA NA MISAADA AMBAYE WATU KAMA JK WANA OMBA OMBA NJE ILO TATIZO LA UMEME TUSINGEKUWA NALO KILA SIKU!!!
ReplyDeleteKODI TUNAYO IPATA KUBWA SANA NA HAPO HAPO BADO WASHENZI, WEZI NA WALA RUSHWA WANA TUANGUSHA HAPO TRA NA KUSHINDWA KUKUSANYA KODI 100% VILE VILE PESA TUNAYO IPATA HATUPANGI MIKAKATI YA MAANA KTK KULETA MAENDELEO YA NCHI.MFANO BAADA YA KUTUMIA ZILE ZAIDI YA BILIONI 30 ZILIZO TUMIKA KUJENGEA BUNGE JIPYA KTK MASWALA MENGINE MUHIMU SISI TUNABAKI KUFANYIA MASWALI AMBAYO SIO YA LAZIMA.
MIMI NADHANI HAYA MATATIZO TULIYO NAYO KAMA UMEME NI BIASHARA KWA VIGOGO SERIKALINI ILI WAWEZE KUSAINI MIKATABA ISIYO YA KUDUMU NA KUPATA 10%
NARUDIA TENA MSITAKE KUNIAMBIA KWAMBA TANZANIA HATUNA UWEZO WA KUPATA SULUHISHO LA KUDUMU KTK KUONDOA MATATIZO TULIYO NAYO KAMA UMEME!!! MKUMBUKE TUPO KARNE YA 21 AMBAYO TUNAISHI KAMA KARNE YA 19
SIKU ZOTE TUPO WAJINGA NA KULIZIKA NA MAISHA YA CHINI SANA, LIZIKA MAISHA HAYO KAMA HAUNA UWEZO LAKINI KAMA UWEZO UNAO HAKUNA SABABU YA WATANZANIA MILIONI 33 WAWEZE KUISHI MAISHA YA KIMASIKINI WAKATI TUNAJUA KWAMBA KUNA WEZI NA WALA RUSHWA NDANI YA SERIKALI WAKITURUDISHA NYUMA.
MIMI NAKWAMBIA HAYA MATATIZO TULIYO NAYO YATAWEZA KUWEPO ATA BAADA YA MIAKA 30 IJAYO NA MTAZIDI KUPEWA SABABU ZILE ZILE NA MTARIDHIKA NAYO NA TUTABAKI KUWA MASIKINI NA KILA RAIA KUWA CHINI YA DOLA MOJA KTK MATUMIZI YA KILA SIKU. MNABIDI MUWAONESHE VIONGOZI WA NCHI HII KWAMBA MNA UCHUNGU WA MAENDELEO YA KWELI NA WAACHE WIZI, KURA RUSHWA NA MATUMIZI YASIYO KUWA NA LAZIMA!!
NASEMA TENA KWAMBA KAMA UKIKUBALI KWAMBA TANZANIA HAIWEZI KUISHI KTK KARNE YA 21 KUTOKANA NA SABABU MNAZOTOA ZISIZO NA MAANA BASI UNABIDI UWEZE KUMUONEA HURUMA MTOTO WAKO NA KIZAZI CHAKO MAANA KITAKUJA KUKUULIZA ULIFANYA NINI KAMA RAIA WA NCHI HII KTK KUISHINIKIZA VIONGOZI WENU KULETA MAENDELEO YA KUDUMU.
WEWE UNADHANI ATA HUO UCHUMI WENU UTAKUA KAMA HAKUNA UMEME? KAMA MNAOMBA MISAADA KUTOKANA NA UZEMEBE KTK UONGOZI WENU KWA NINI MSIOMBE MISAADA KTK SEKTA MUHIMU ILI KUONDOA MATATIZO MAKUBWA YA NCHI HII. SIJUI KTK MADENI TULIYO FUTIWA TULIKOPA KTK NINI HASA NA HAPO NDIO UTAJUA HIZO PESA WALIKUA HAWA WAZEE AMBAO NAWAONA KAMA UKOMA NA ADUI WA MAENDELEO YA AFRIKA.
JAMANI JAMANI MSIONE NAPIGA KELE KELE SANA BALI NAWATETEA NDUGU ZANGU WENGINE MILIONI 33, HIVI JAMANI MMEYAONA MAISHA YA NDANI YA TANZANIA? HIVI UNARIDHIKA NA MAISHA YA HAPO NYUMBANI? HIVI UNARIDHIKA UNAZAA MTOTO ANAYE LISI UMASIKINI TOKA KWAKO? AMBAYE HANA KAZI? AMBAYE NA YEYE ANA KUJA MTOTO NA KUPOKEZA YALE YALE MATATIZO? KAMA HAMTAKUJA KUJIULIZA MASWALI MENGI KAMWE HAYA MATATIZO NA UMASIKINI YATAENDELEA KUWEPO NDANI YA TAIFA NA JAMII ZETU DAIMA NA HAO VIONGOZI WEZI NA WALA RUSHWA KUENDELEA WANACHO FANYA NA WAO NA FAMILIA ZAO KUWA NA UTAJIRI WA KUTESHA MAANA WANAFANYA KUWA MADC, WABUNGE, MAWAZIRI, URAIS KAMA BIASHARA ITAKAYO LETA FAIDA KWAO.
ENDELEA KUWASUPPORT ILI UENDELEE KUWA MASIKINI PAMOJA NA KIZAZI CHAKO, KUWA NA UCHUNGU UJIKOMBOE WEWE NA KIZAZI CHAKO KTK JANGA LA UMASIKINI NA MATATIZO KIBAO TULIYO NAYO.
SIKU ITAFIKA EIDHA KWA AMANI AU VYOVYOTE VILE HAKI ZA KILA MTANZANIA ITAPATIKANA NA MTANZANIA ATAKUWA HURU KTK UMASIKINI UNAO LETWA NA UZEMBE WA VIONGOZI WA TAIFA HILI. WEZI WA KUBWA.
mzee anony wa sep. 20, 2006,1:29PM inatakiwa wakati unatoa lawama pia utoe solution, halafu ujipange vizuri kwa sababu tukisoma maelezo yote inonekana unalia.
ReplyDeleteSasa jitahidi acha kulia halafu ujenge hoja vizuri. Mbona hapo juu naona watu wanajenga hoja zinaeleweka? Acha jaziba wewe jitahidi kujenga hoja yako hili tuweze kuchangia na sisi.Jitahidi kidogo kama una linalokusibu tueleze wenzako tukusaidie.
wewe wa mwisho nadhani una jidanganya na maisha uliyo nayo hapo ulipo. unamwambia bw/bibi hapo juu analia wakati ana sema ukweli ulio mtupu. au wewe ndio wale wanaridhika na pesa za serikali na vya bure wanao kula kodi za mbongo?hacha ufala wewe au kichwa chako hakifanyi kazi na kuona umasikini wa wabongo?
ReplyDeletemi naotea huyo anony. wa September 20, 2006 1:48 PM ni bwana michuzi ana itetea serikali yake inayo mpiga jeki kwenda majuu bila ya hao asinge kanyaga daima. endelea vya bure kutoka kwa watoa kodi wa nchi hii.
ReplyDeleteUnajua nyie wabongo sept. 20,2006, 2:12PM, na 2:20 tatizo lenu mnanishangaza kidogo na huyo jamaa yenu anayefoka nyie mnakosa cha kuchangia mnabadi kubebea migongoni mwa wengine ambao nao pia hawana hoja za msingi zaidi ya yale tuliyoyasia wakati wa uchaguzi wa mwaka 1995.
ReplyDeleteKwanza mimi siyo michuzi kabisa hila naomba mkiwa mnatoa hoja toeni mambo yanayoeleweka na yenye ushaidi unao weza kuwa practical.
nafikiri humu hakuna wamachinga pamoja na kwamba tu masikini lakini tuna huwezi wa kungamua mambo.
Nilichotaka nimesoma story ndefu sana point moja tu nimeiona ni umeme tu ambalo pia ukiangalia juu wamelizungumzia labda kama angelikuwa anaongezea lakini anarudia vile vile.
Mengine aliyozungumza kuwa tanzania sidhani kama ana ushahidi zaidi ya kujenga nyumba angani. Pole mzee kama ni nauli ya kurudi bongo watanzania huwa tunapendana mimi nitapiga alambee. Kama tunachangiana kuoa itashindikana kweli kumsaidia mtanzania mwenzetu kwenda nyumbani?.
Usipate stress mwanagu pole sana na yaliyokukuta ndio dunia.
Ansanteni sana watanzania wenzangu let us invest kwenye ubunifu wa kutatua matatizo yetu.
anony. wa mwisho sie ndio tupo mstari wa mbele ktk nchi yetu na swala la pesa mzee ipo ktk damu hivyo halina tatizo kwangu, kwa kizazi changu kilichopita, cha sasa na kijacho ila tatizo ni kwamba ni kwa nini kwa wachache? kwa nini isiwe kwa watanzania wote. usiwe mbinafsi wewe kwamba ukiwa na maisha mazuri usahau na wengine, mimi nina shida gani kwani mbona nipo hapa kuwatetea hao wasio kuwa nacho. narudia tena watanzania wote tunatakiwa kuwa na maisha mazuri na sio wachache nina uchungu mkubwa na siku zote nitajitahidi kuwasaidia na kuwatetea wasio kuwa nacho sito kaa kimya.
ReplyDeleteI feel like i am talkin to people ambao wana uchungu mpaka ukweli hawataki kuuona, mimi ndio niliotoa hoja na kukusaidia kutoa mifano ya jinsi ilivyo gharama kutumia njia nyingine ya kupata umeme zaidi ya maji sasa wewe kama wanavyosema ndugu zangu sawa unalalamika juu ya rushwa OK tumesikia what point do u have ya kutatua huo umeme kwa hiyo unachosema ni kwmba hela za kujenga bunge zingeleta umeme, duh kweli akili ni nywele, FOR THE LAST TIME TATIZO SIO KUPATA UMEME WEWE MBUMBUMBU TATIZO NI KUPATA UMEME UNAOWEZA KUUNUNUA HATA SERIKALI IKITATUA ILO TATIZO ALL ITS GOIN TO DO NI KULETA TECH YA KUPATA UMEME BADO ITABIDI WANANCHI WALIPE BILI YAO NA KAMA UNAFIKIRIA UMEME WA NJE WATU HUKU WANATUMIA NUCLEAR AND ALL THAT JUST TO SET UP HIYO TECHNOLOJIA ITACHUKUA URITHI WENU WOTE WA VIZAZI VYOTE VYA TANZANIA KULIPIA HIYO GHARAMA NA UKIMALIZA UTAUUZA UMEME KWA 100000 A MONTH AND NOW TELL ME WATU WANGAPI WATANUNUA SO PLEASE JUST LEAVE THIS UMEME ISSUE COZ U POOR PEOPLE DONT UNDERSTAND ITS NOT THAT EASY
ReplyDeleteKUNA KICHAA ALILALAMIKA JUU YA KAJIMA KULETWA NA KUTUMIA WATU WAO SASA WHAT ARE U LOSING THERE KAMA HELA IMETOKA NJE NA KULIPA WATU WAO WHATS THE PRONLEM STILL ANAYENUFAIKA NI TZ KUPATA BARABARA BILA KUTOA HATA SENTI MOJA AND THIS IS BAADA YA MECCO OR WHATEVER ILIKUWA INAITWA KUJENGA BARABARA YA JANGWANI KWA MIAKA NENDA RUDI NA KILA IKIFUNGULIWA ILIKUWA INAKUFA HAPOHAPO NOW TELL ME KUANZIA LINI UMEIONA BARABARA YA JANGWANI IKITENGENEZWA TENA, BARABARA YA ALI HASAN MWINYI KAMA MNAKUMBUKA ILIKUWA ONE WAY NA KUHARIBIKA KILA SIKU TOKEA TUMESAIDIWA NA KUJENGEWA UMEIONA IKIFA KAMA ZAMANI JAMANI MASIKINI KWELI HASAIDIKI JUST RELAX NA KUOMBA WATU WAENDELEE KUKUSAIDIA COZ WENYEWE HATUWEZI NA KAMA HAUNA KITU USIILAUMU SERIKALI NI KWA SABABU HAUNA CHA KU OFFER KWENYE UCHUMI KAMA UNACHO U WILL GET SUM BACK SIO KWA NGUVU NA KULIA KILA SIKU
pEACE
Lazima tukumbuke kwamba hakuna serikali yoyote duniani inayotoa msaada kwa nchi yoyote bure.Wakikujengea barabara ni kwamba wanaandaa masoko ya viwanda vyao kuanzia taa za barabarani,lami ya kukarabati na kila kitu.Wakishakutengezea barabara huwa wana masharti magumu tu likiwemo la kutoingiliana kwa tekinolojia za vifaa vilivyotumika.
ReplyDeleteKwa mfano siku za nyuma shirika la misaada la Dernmark-DANIDA lilijitolea kukarabati mashule chungu mbovu bongo.Lakini ukweli ni kwamba vifaa vyote walivyotengenezea vilitoka kwao.Na kisha vikiharibika huwezi ku-replace na vifaa kutoka nchi nyingine yoyote.You have to buy them from Denmark.And this time it is not "free" anymore.
We anony wa hapo juu na pia kwenye post yako ya 12:09 achakuleta uongo hapa na data zako feki. California ipi unayosema wanakatiwa umeme? Usije ukawa unasema California ya Bongo. Kwanza hivi wewe unalijua joto la california. Vitu kama, AC, friji ni mahitaji siyo anasa. Uwakatie umeme wa marekani wakikushitaki kwa hasara? Lakini pili wewe unalifahamu Hoover Dam kwenye mto Colorado? Unafahamu ni kilowatts ngapi zinazalishwa kwa saa siyo kwa mwaka? Na unajua umeme huo unatumika States zipi? Do your homework kabla hujaanza kuja na uongo wako ati California kuna mgao wa umeme. Tatu ni kujaribu kwako kutetea hoja yako kwa kutia chumvi kwenye mifano yako. Power outage iliyoikumba North Eastern US na parts za Canada 2003 haikuchukua siku tatu kama navyotaka umma uamini. Sehemu zingine ilichukua masaa matano na hadi kesho yake saa mbili asubuhi karibu sehemu zote zilikuwa zimerudishiwa umeme. Wachakuleta uongo humu huku ukijifanya kuwa na data nzito kumbe feki tu za kuokotezaokoteza
ReplyDeleteU dummy kifimbecheza huko wapi wewe ingia kwenye net ucheki basi kama hujui usibishe and where where u at I was livin in Detroit at the time na umeme haukurudi for three days u dummy times square didnt get theirs until couple days dont just jump into grown men's talk, and its true about Cali kama hujui cheki they do have mgao kila summer in areas kama hujui thats what Arnold got his kazi governor wa mwisho alifukuzwa koz ya vitu kama hivyo and thats what was the biggest issue sasa kama ulikuwa huna TV na Net thats the truth ingia california website na ucheki news kuihusu energy u dumb ass u aint even no ma level to discuss shit with me
ReplyDeleteWe mbumbumbu kifimbocheza kama unajua kusoma kingereza soma that information even though it was for 2001 the same pronlem still exists today na kama unataka sources just run "california energy crisis" at Google or AOL search engines if u even know what that is and next time watu wazima wakiongelea vitu usivyovijua just go to your room kajipikilize na vifuu, for now I will just brush u off ma shoulder and look pass u coz u dont even deserve ma energy kukujibu kitu mbumbulala we
ReplyDeletepEACE
Industry electric reliability organizations, the California Energy Commission, and the California Independent System Operator, expect California to be subject to rotating electricity outages in the summer of 2001 during the peak afternoon demand hours. These outages are expected to affect almost all sectors of the State's economy, including crude oil and natural gas producers, petroleum refineries, and pipelines.
Electricity
For the summer of 2001 in California, reliability assessments of the electricity supply and demand conditions likely to prevail have been made by industry reliability organizations, the California Energy Commission, and the California Independent System Operator. These sources agree that electricity demand will exceed supply capability within California this summer and rotating electrical outages will be required. The estimates of electricity outages in California during the summer of 2001 (June 1 through September 30) range from a low of 55 hours to a high of 700 hours. The estimates of involuntary peak demand reduction during electrical outages range from 1,825 megawatts (MW) to as high as 5,500 MW. One of the significant uncertainties in these projections of electricity outages is the amount of electricity demand reduction that is either voluntary or motivated by high electricity prices.
Kuna mtanzania mmoja amenifurahisha amekaa kwenye computer yake sijui USA, sijui ulaya sijui nchi gani ati anauchungu kweli!!!!!. Mimi nimemshangaa anarudia wakatia amekaaa kwenye computer yake kuwa anauchungu kweli!!!!!
ReplyDeleteWenzangu ukiwa na uchungu sana na unapesa nashauri. Mimi ni engineer professional, huwa sitaki maneno mengi ni kazi kazi tu.
Huwezi kuwa na uchungu na tanzania na maendeleo ukakaa kwenye computer unataipe kuwa una uchungu. Mimi nahitaji wenye uchungu wa kweli kimbia haraka sana be practical, kawaielekezeni watanzania jinsi ya kujikomboa kuanzaia vijijini.
Piga mzigo vijijini, tuma ulichonacho nunua trekta ipeleke mvomero, mfundi na njombe waitumie katika kilimo. Nunua vitabu vya shule za sekondari, nenda bodi ya mikopo karipie zile pesa ulizosomeshwa na serikali. Toa mawazo jinsi ya kubadilisha mambo fulani fulani lakini usikae kulaumu na kusema una uchungu wakati hata wewe hakuna unachochangia kuendeleza nchi yetu.Hata kama ukusainio kataba wa cost sharing lakini ulisoma kipindi cha baba wa taifa ambapo serikali ilikuwa haijaweka hili toa ulichonacho kama shukrani wadogo zako wasome hiyo ndo uchungu na nchi yako. Vinginevyo tutakuwa tunadanganyana. Unamaliza maziwa huku unasema unapenda kumugawia mwenzako.
Asante kwa kuelewa wenzangu, na naomba radhi kwa wale ambao nitawakwaza.
I know watu wana uchungu na nchi lakini hakuna wanalochangia zaidi ya kulalamikia serikali, anyway naona kila ninapoandika kitu nampata mtu mwingine asiye elewa kitu kingine but I wont stop kujaribu kuwaelemisha ndugu zangu hawa walalamishi wa serikali,
ReplyDeleteKwanza kwa ndugu yangu aliye toa mfano wa Danida na misaada yake, OK ulichosema ni moja ya njia ya kusaidiwa but this is why hizo serikali zinatoa hayo mashrti, Kwanza jua kwamba nchi kama Denmark wanapotoa misaada kama hiyo wanatumia pesa za taxpayers wao kukusaidia wewe maskini Afrika, but at the same time they are still responsible kwa watu wao na hela zao so basically wanakuwa na majukumu mawili at the same time, kwa hiyo wanachofanya wakati wanataka kukusaidia wewe masikini wa watu wanawapa makampuni yao hiyo tenda ili kuwasaidia hizo kampuni zao kukua na kutoa ajira kwa watu wao but the bottom line ni hela zao so what they are doin is killing two birds with one stone, but the bigger picture ni kwamba we mtanzania unapata huo msaada bila kutoa kitu, let simplify for u
Tuseme wewe mzalendo una familia yako na mna urithi wa milioni moja, kiongozi wa familia yenu ameamua kumsaidia jirani yenu njaa kali kujenga choo ili aache kwenda kijisaidia migombani, but katika familia yenu kuna mtu anakampuni ya kujenga vyoo kama mkimpa hiyo tenda mwana familia yenu kujenga hicho choo huyo jirani si bado kapata choo kwa bure na sasa haendi uchochoroni tena, unafikiri bado ana haki ya kulalamika kwa nini mlimpa ndugu yenu hiyo tenda the bottom line is that yeye hajatoa hata senti moja na choo kakipata thats how it is hata kwenye serikani ndugu yangu, so wakati unalalamika elewa kwanza facts za vitu na acha kusoma mhariri wa gazeti akisema hizo story ukafikiri ni ukweli hao jamaa wanakudhulumu ni hela zao na wananchi wao so stop cryin wakati unapewa misaada badala ya kuilalamikia serikali tafuta njia ya kukuboresha maisha yako wewe and like they say "Dont hate the player hommie hate the game"
pEACE
'Unamaliza maziwa.. wakati huohuo unasema unapenda kumgawia mwenzako'
ReplyDeletejamaa lina ka-point!
NINAO MOYO WA KUSAIDIA WATU KWA SABABU NAYAONA MACHUNGU YAO NA VILE VILE NINA WASAIDIA ILA MIMI SIO WALE WANAO JITANGAZA MAJINA BAADA YA KUTOA MSAADA, POINT NI KWAMBWA SISI KAMA RAIA NDIO TUKISAIDIA KUNA MAANA YAKE LAKINI CHA MSINGI NI KWA SERIKALI KUWEZA KUWEKA POLICIES NZURI ZOTE ZA NDANI NA NJE YA NCHI ILI WANANCHI WAZIFUATE NA KULETA MAENDELEO, WAWEZE KUINGIA MIKATABA ITAKAYO WATETEA WATANZANIA PIA KUWA NA MATUMIZI YA MAANA YENYE KULENGA KUONDOA UMASIKINI NA KULETA MAENDELEO, VIONGOZI WOTE WAACHE WIZI, KULA RUSHWA NA UKILITIMBA NDANI YA SERIKALI. MIMI NAKWAMBIA HAWA WATU NI WEZI WAKUBWA WANAO IBA MABILIONI YA PESA. MFANO MDOGO HUPO AMBAPO BAADHI YA WATU WADOGO KAMA IGP WA POLISI ALIYE PITA NA WENZAKE WALIKUWA WANAIBA PESA ZA MABENKI NA KUPOKEA RUSHWA, VIONGOZI WENGI NINA WAJUA WANAKULA RUSHWA NA KUIBA MABILIONI YA PESA MPAKA JAKAYA KIKWETE ANASEMA ANAWAJUA ILA ETI ANAWAPA MUDA HII NI KWASABABU NA YEYE NI MWIZI MKUBWA. PIA ATA PCB INA WAJUA VIONGOZI WOTE AMBAO NI WEZI NA WALA RUSHWA ILA NDIO WANALINDANA.
ReplyDeleteSASA UTAKUWA UMENIPATA, NI KWELI TUWEZE KUSAIDIANA WENYEWE KWA WENYEWE LAKINI KAMA SERIKALI INA JUKUMU KUBWA LA KUWEZA KUONDOA UMASIKINI WA WANANCHI NA KULETA MAENDELEO KATIKA TAIFA HILI NA KUFANYA HIVYO KUNAITAJI UONGOZI IMARA NA ULIOKOMAA NA KUWEZA KUSIMAMIA MASLAHI YA WATANZANIA WOTE.
WATANZANIA INABIDI KUAMKA NA KUWEZA KUONA KWAMBA KATIKA MIAKA YOTE 45 ILIYOPITA TULITAKIWA KUWEZA KUWA MBALI SANA KWA MAENDELEO NA KUONDOA SHIDA NA UMASIKINI WA WATANZANIA ILA NDIO WIZI WA VIONGOZI WALIOPITA NA WALIOPO MADARAKANI KUNAIFANYA NCHI KURUDI NYUMA NA KUTOKUWA NA MAENDELEO.
Wewe je rafiki yangu utatuhakikishiaje kuwa siyo mwizi make kuna msemo unasema mwizi umukamata mwizi mwenzake. Huwezi kumujua mwizi mpaka nawe huwe mwizi au uambiwe na wenzi wenzaa. Kama JK anaweza kujua make anapata taarifa mbali mbali. Je wewe tuhakishie kuwa siyo mwizi au huna chuki binafsi baada ya kunyimwa madarak fulani. Wewe si ndio nanii?
ReplyDeletesasa ina maana ukimuona mtu anaiba kuku kwa jirani yako basi na wewe tayari ni mwizi??? huo ni usemi wa nani! hakyanani kwenye blogu tutasoma mengi
ReplyDeleteHuku Scandinavia unashuhudia uhalifu na hautoi report kwa vyombo vinavyohusika, ujuwe na wewe usharecordiwa crime!
ReplyDeleteKwani kinachotufanya sisi, waarab, wasouth european na wanyamwezi wenyewe ni nini?
Huku huna kazi hauendi shule uko age 18 mpaka 67, unapata kila mwezi minimum 1,600us$ after taxi, ukienda shule au ikiwa na mtoto hela inaongezeka, na kadiri unavyokuwa na watoto zaidi na hela zako zinazidi.
Na wananchi wote sio kama usa au uk au sehemu nyingine medical FREE, education yeyote ile FREE.
Sababu government zao ni most straights in the world i guess.
Sio matajiri, hawajakuwa na koloni kama hao wengine wote, lakini TABIA ndio itakayawweza hata sisi kutufanya tukawa matajiri. Tanzania inabidi ijifunze maana ya MWANAMKE na MTOTO kwanza kabla ya yote! Sio wako au anayekuhusu tu, WOTE generally watoto na wanawake!
Hapo mtaona hata ukimwi utapungua, na tutaendelea na wengine tutarudi!
Kama ukisha expirience watu wengine wanavyojua na kutreat mtoto na mwanamama kama Mungu vile. Hauwezi ukahandle kuona mtoto wa Tanzania na mwanamke vile anavyoteseka!!! Never!
Bwana mzee yule wa umeme anayeona machungu mimi nimesema I am practical. Sasa nataka unipe solution ya matatizo yako. Kwa kifupi kipi kifanyike harakaharaka, (just in short).
ReplyDeletewatanzania wenzangu!!hakuna jipya lolote hapa tunalojadili jamani.tunayajadili haya siku baada ya siku.na tumekuwa mabingwa sana wa mijadala hii.tunapata misonge kwa mijadala ya aina hii vyuoni.hebu tutafute njia za kupambana na haya matatizo yetu jamani.tunaandika tu na kujadili mpaka lini jamani.tuambizane mikakati ya kujinusuru na ufukara jamani.
ReplyDeletena sasa huyu wa stokihumu noma kabisa sijamuelewa kabisa kabisa naomba arudie sijajua alitaka kutwambia nini.
ReplyDelete