jk akiwa na jkabila wa kongo alipomtembelea hotelini kwake leo hapa tofaa kubwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Ndugu Michuzi,
    Picha safi sana.
    Hapa naona Bw. Kabila amepumzika kidogo kabla hajarudi kwake Kongo kupambana katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais dhidi Makamu wake wa rais, Jean Pierre Bemba.
    Unaweza ukatupatia kwa muhtasari walizungumzi masuala gani? Au Bi. Maura Mwingira atatoa taarifa rasmi?
    Wakatabahu.

    ReplyDelete
  2. Uuuuuwiiii! Mie mgonjwa wa "mahandsome" jamani!! Sasa kati ya hawa wawili sijui nani zaidi??? Ooooh!!!

    ReplyDelete
  3. kabila zaidi Kikwete kalainika kikike tu(yaani beautiful) ,cheki kabila smile lake,a real man.

    ReplyDelete
  4. Brother Michuzi...I hope direct or indirect you are aware of this...Masikini kijana wa watu Joseph Kabila!! Huyu kijana ana uchungu sana na nchi yake, anatamani nchi yake iwe na uhuru kamili kama zilivyo nchi nyingine za Kiafrika. Lakini madini ya aina mbali mbali yaliyopo nchini mwake yamekuwa chanzo cha vita ya wenyewe kwa wenyewe (civil war)isiyokwisha tangu walipopata uhuru miaka ya 1960. Ukweli ulio wazi ni kwamba Ufaransa na Ubelgiji (France & Belgium) wanawatengeneza vikundi (rebal groups) wanavipatia silaha, fedha na military strategic then vinashikilia sehemu ya nchi yenye madini wanayohitaji zaidi wao wafaransa au wabelgiji, wanachofanya hawa rebel group au militia ni kuwatisha na kuwaua wananchi wa eneo hilo ili waweze kuchimba madini vizuri bila kikwazo chochote.Ubelgiji(Belgium) ni wezi wengine wakubwa kabisa wa madini eneo hili la maziwa makuu(Great lakes region)Belgium ni wasambazaji wakubwa wa silaha katika eneo hili la maziwa makuu kwa uchu wa kupata madini(Gold, diamonds etc) Belgium wanavipatia silaha, fedha, military strategic and inteligence back up vikundi( rebel groups) mbali mbali huko Burundi na Rwanda kwa malengo ya kuviwezesha kuyumbisha nchi ya Kongo ili waweze kujipatia madini ya bure yanayopatikana kwa kumwagika kwa damu za wanachi wasio na hatia.Naamini huu ni wakati muafaka kabisa kwa hawa viongozo wa maziwa makuu kuzungumzia hili suala la Belgium na France kuvifadhili vikundi(rebel groups) katika eneo hili.France and Belgium are main sponsours of trouble makers(rebel groups) in this region for nearly 5 decades now!!.It is time to act now!! wakati wa maneno ulishapita!!.Michuzi ukirudi kutoka Newala nitakutafuta tuchanganue haya masuala...

    ReplyDelete
  5. Michuzi,

    Once again this is another historical photo!

    Asante sana kwa kuiposti.

    ReplyDelete
  6. Covert, mtu akiyasoma maneno yako kw juu anaweza akamini unachokisema lakini kumbe ni blaa blaa tu hakuna ushahidi. Hao hao viongozi wa Kiafrika ndio wezi wakubwa hata kabla hamjaanza kusingizia Wabelgiji. Kwani kama wanataka nini kitawazuia kuchimba kwa amani hayo madini kama wafanyavyo hapa Tanzania? Mbona hapa kwetu hawahitaji kufadhili rebels ili kujichotea dhahabu, almasi na Tanzanite zetu?

    ReplyDelete
  7. Chemi what's historical behind that photo up there?

    ReplyDelete
  8. Wee Covert sikia....usitake kujifanya unajua sana historia hapa. Unatuboa na pumba zako ndeeeeefu huku ni vapour tu, completely nonsense! Ukitak akuchanganua kaandike makala Rai, ndo ujaze makurasa, unatuchosha kusoma kwanza!

    ReplyDelete
  9. Duh !Mzee Kabila kuwepo Marekani kipindi hiki cha uchaguzi!Iko kama inaashiria yeye ndiye anayepata msaada kutoka Marekani na sio Upinzani.Lakini Mobutu naye alikuwa kipenzi wa Marekani ingawa walimtenga mwishoni.

    ReplyDelete
  10. Anony wa 5:53 na 12:04 MBONA MNAKOHOWA MKIWA CHOONI,TOKENI NJE MJARIBU BASI KUCHANGANUA MIGOGORO YA NCHI ZA MAZIWA MAKUU,HILI SUALA LA BELGIUM NA FRANCE KUIBA MADINI KATIKA ENEO HILI KWA NJIA YA VITA LIKO WAZI,KWA KUTUMIA REBEL GROUPS WANAJIPATIA MADINI BILA MIKATABA YOYOTE NA HAWAZILIPI SERIKALI HIZO HATA SENTI MOJA WANACHOFANYA NI KUWAPATIA SILAHA NA FEDHA KIDOGO REBEL LEADERS,NADHANI COVERT ANA POINT NZURI TU NA UKITAKA USHAHIDI SASA UZIPELEKE SERIKALI ZA BELGIUM NA FRANCE KULE THE HAGUE NETHERLANDS THEN TUTAKULETEENI USHAHIDI KAMILI.I URGE YOU GUYS TO DIG DEEP IN GREAT LAKES REGION TROUBLES.

    ReplyDelete
  11. we covert acha usenge,kutujazia mjadala usio na mana hapo ndio nini?naungana na anony mwenzangu kama unataka mijadala kaandike kwenye Rai,ni kweli unatuchosha kusoma upupu wako kwanza hujui lolote fala tu wewe.

    ReplyDelete
  12. KABILA RUDI NYUMBANI UMESIKIA MOTO UMEWAKA HUKO?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...