mwendhenu kidhungu noti richebo, hivi wameandika nini hapo?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. That's agent with the baby......so....

    ReplyDelete
  2. Anamaanisha, Unaruhusiwa kulala wakati wowote.

    ReplyDelete
  3. KUMBE HATA WAO WANAVUNJA SHERIA DUU!

    ReplyDelete
  4. wewe michuzi sasa umeshaandika vitu vingi mpaka unanaanza kutudanganya sasa na imani kwako inaanza kufa sio wewe last month ulituambia kwamba umemaliza kozi ya kiingereza na hukuishia hapo ukaatuandikia king cha kuonyesha progress kubwa sasa iweje leo tena unatuambia is not richebo? unajua bwana hii blog yako imefika mbali sana sasa nadhani ni wakati muafaka kuhakikisha unakuwa consistency na kazi yako pia picha ziendane na maelezo achana na haya mambo ya mediocre bro plan to move forward watu wengi wanashindwa kuendelea mara wanapoanzisha vitu kwa sababu hizi hizi si lazima iwe kubwa kama ya kiuchumi la hasha,ila ni kulewa sifa za kijinga(samahani kama nimeongea lugha kali)sifa ambazo zinakuwa za muda mfupi sana sana kibinafsi Michuzi ninaipenda sana kazi yako na nimekuwa nawaeleza hata marafiki zangu wengi wa mataifa mengine sasa kila wakati wanafungua blog yako na pia wamekuwa wakifurahi kuona Tz na kushangaa vitu vingi kuanzia culture,maendeleo n.k na wengi wanatamani kutembelea fikiri kwa kufanya hivyo umeiletea nini Tz in long-run utakuja kujulikana wewe ndie uliyefanya yote haya ni sifa kwako na jamii nzima iliyokuzunguka....achana kabisa na mambo ya kijinga be serious with what you're doing man umeanza vizuri lazima ukithamini kitu chako na nasikitika kusema hili haya matusi mengi yanayoendelea kwenye hii blog you're the initiator,try to be a bit serious ni ushauri tu.

    ReplyDelete
  5. we anonymous juu yangu ni msenge nini wewe??Nina hakika utakuwa hivyo labda hujijui!!!We unadhani michuzi hajui kweli???Hii blog ni ya kubadilishana mawazo pia kuburudisha.Na mimi nakupa ushauri,blog haikufai nenda kagawe tako.Asante

    ReplyDelete
  6. kweli time is not an issue kwa watu wengine no matter what people ask some people just decide not to change, kama unadhani kitu hukipendi jay z alisema "If u dont like my lyrics press forward", kama unaona hii inakuwa ya utani sana kasome cnn ,peace

    ReplyDelete
  7. Nafikili lengo la msingi la post lilikuwa zuri tu, nahisi bwana michuzi alitaka kuprovoke discussion tu, nafikili ni approach nzuri tu kuwafanya watu wachangie, labda tu tunatofautiana jinsi tunavyochukulia mambo serious, lakini kwa watu wengi ambao ni rational wataona bwana michuzi alilenga mjadala, kuliko kutojua lugha.

    ReplyDelete
  8. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete
  9. kaka trio umenene kweli kabisa, ila tabu kubwa naona watu wanatatizwa na maisha ya ughaibuni ndo maana vinywa vimejaa mitusi kama nini, jamani kwani mlitumwa kuzamiaaaa ulaya rudini kwenu heee ,mnatuchosha na mitusi yenu mweee

    ReplyDelete
  10. Kumbe nilikua sijui watukanaji wakubwa ni wazamiaji eeehhhhh.Michuzi fanya kazi mkuu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...