mwalimu na mawakili wake wakielekea mahakama ya kivukoni aliposhtakiwa kwa kosa la maandiko mabaya kwa dc wa kikoloni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mzee wetu alitoka mbali. Alipata misukosuko ili tuwe huru. Jamani tumuenzi JK Nyerere. Alijitolea kweli kweli.

    ReplyDelete
  2. Nyerere alikuwa ananiua sana na kifimbo chake.Naona hakuna mwanasiasa mwingine ambaye kaamua kubeba kifimbo.

    ReplyDelete
  3. umewasahau wazee wa africa wenyewe according to them...na manguo yao makubwa ndani wameficha uchawi tuuuuu!!!NIGERIA

    ReplyDelete
  4. Samora na mavazi ya kijeshi!!

    ReplyDelete
  5. MICHUZI HUYU PEDEDJEE WA KIZUNGU ALIKUWA ANAITWA WAKILI NANI?

    MAANA HIYO MUNDENDE KWA FASI YA TUMBO SI MCHEZO.

    HALAFU HUYU JAMAA ANATWAMBIA HABARI ZA BANZA MCHAFU HAPA SIO MAHALA PAKE. KAA CHONJO.

    ReplyDelete
  6. Rattansey (wakili wa Kihindi - Tanganyika), Pratt (wakili kutoka Uingereza kwa ukarimu wa Labour na Liberal Party- Uingereza) Nyeyere, na Jahveri (wakili wa Kihindi - Tanganyika).

    ReplyDelete
  7. Michuzi,
    Ukiweza kutupatia habari au picha za huyu Mwinjuma Omari itakuwa tutafurahi sana.

    Kuhusu marais wa Afrika: Kaunda alikuwa na leso nyeupe aliyokuwa akiifunga kwenye kidole cha kati (kama sijakosea ni kidole cha kati).

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...