Home
Unlabelled
liongo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nilisikia sauti ya charles hillary bbc, nikashindwa kuelewa imekuaje, kumbe keshaama
ReplyDeleteAbuu hongera sana!
ReplyDeleteMichuzi, thanks a lot for posting this picture on a timely fashin manner kwani nimeweza kumpigia simu Abuu na kumuaga...much love!!
hivi si raha kupata ajira hii ingawa waliofanya kazi huko wanadai malipo ni madogo sema kuna uhuru wa kwenda kubeba maboksi baada ya kazi...big up kwa watanzania wote walioko ugenini...bongo bado maisha si shwali ingawa tunazugwa.TANZANIA aka MAPANKI...it's Me
ReplyDeleteTunangojea kwa hamu kumsikia Kaka Liongo kwenye Duetshe Welle (sp)!
ReplyDeleteKati ya watangazaji ninao wazimia sana hapa Bongo basi ni Abuu!KIna mengi ya kumsikia
ReplyDeleteHongera Baba Badru "Mtoto wa Ilala".Tunangojea muungurumo huo toka Ujeremani.
ReplyDeleteKwa kweli huyu jamaa ni mtangazaji bomba kinoma, cha ajabu nikuwa alikuwa redio uhuru of all the radios in Bongo
ReplyDeleteBig up to you Abuu! hakuna anaetilia shaka kipaji chako kaka, wengi wetu umetufikisha hapa tulipo. Kila la heri ndani ya DW.
ReplyDeleteLiongo naona vitu vyako mzee. Naona mnatengeneza timu europe na macharanga
ReplyDeleteAbuu, ukiwa kwa mama Merkel, usisahau kutushushia vipande kama vya "Nalala kwa Tabu" wa Sikinde Ngoma ya Ukae.
ReplyDeleteBila shaka kaka Abuu utaendelea kutumia yale maneno yako yanayoleta burudani ktk lugha ya Kiswahili. 'kujivinjari', 'kujiwinda','mahasimu','mustakabali' n.k Tunashukuru sana ulimfundisha Kitenge hayo maneno wakati unaondoka Radio One. Big up Abuu, Mungu akujalie huko uendako.
ReplyDeleteGood luck Abuu, endeleza kazi nzuri huko na peperusha bendera ya nchi yako.
ReplyDeleteWe pimbi Jack Pemba umeona comments hizi hapa? Huyu jamaa ni maarufu kukushinda wewe lakini hakuna hata comment moja aliyoandikiwa matusi. Kaa chini na ufikiri ni kwanini badala ya kulialia eti Wabongo wanachuki na watu waliofanikiwa.
ReplyDeleteJamani kashfa za nini? It's a free world i'm sure Jack was exercising his rights!! There's no point of name calling!!
ReplyDeleteNb:its my first time to read this site, i'm surprise with the above comment.
ndugu, do you mean you are surprised?? kizungu si lazima.
ReplyDeletehongera kaka Liongo ninakukubali mzee turushie macharanga na vibande vyote vikali ulivyoondoka navyo, nakuaminia mzee hongerrraaaaa Huraaahhhhhh!!
ReplyDeleteDamn Michuzi u ugly.Kumbe huna mvuto hivyo daaaah lakini ndo hivyo bwana mitazamo tofauti lakini daaa nilikuona live juzi Rose Garden nikasema whaaaaaaaaaaaaaaaaaaat jitunze tunze una blog sasa kwa hiyo umaarufu uendane na appearance kidogo
ReplyDeletemishi!
ReplyDeletemai waifu wangu kafurahi kweli kusikia hayo maneno. hahahaha!!!