Home
Unlabelled
maduka
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mbona ni kawaida tu, kuvaa desidners closses huku? Tunavaa nguo na thamani kwanza, sio kupendeza tu. It has to be quality, and somebody u know, sio just fundicharahani fulani na material ya dukani tu bora duka bora kitambaa! Haya tukaneni maana nina miss kweli.
ReplyDeleteUna maana gani ukisema closses? Closses ni kitu gani haswa? Inabidi hizo hela unazotumia kununua nguo za thamani at least kidogo utumie kwendea shule pia.
ReplyDeleteduh!! Hiyo kali!! Eti closses, yaani huwezi kusingizia typo hapo...ESL jamani inasaidia nchi za wenyewe hizi......
ReplyDeleteAnoy 12.01AM please! Andika kiswahili ! "desidners" "closses"
ReplyDeleteTunajua unamaanisha nini hapo juu.
Am french.....ok, kiswahili nimefundishwa na mamam yangu tu ok?
ReplyDeletewhat is the **** is english for me?
Mkosoe michuzi kwanza, kama wewe ni teacher ok!
Nani kasema umekosea kiswahili kwani?watu wanamind hiyo ngeli yako babu,kama hujui bora uache tuu sawa,maswala ya kuwa French hayo hayapo.
ReplyDeletewe anonymous no1 ni fala mkubwa,huna lolote tena ukute shopping zako red cross(maduka ya charity)alafu unajifanya babkubwa hapa kwenda zako huko.Tena fala haikutoshi wewe ni Elton John tu.
ReplyDeleteThat's what i was waiting for!!!!!!
ReplyDeleteWaisting your time.
Hahahahaaaaaa watanzania mnapenda sana.
Haya watanzania mnajionesha wenyewe ujinga wenu.wewe wa hapo juu unayemtukana mwenzio kwamba ni fala na shopping zake za bei rahisi, huoni kwamba huo sio usitaarabu? jenga hoja sio matusi.Nyinyi ndio watu mliokuja kwa kubahatisha tu, si ajabu hata hujui uelekeo wa baadaye wa maisha yako zaidi ya kubeba boksi na kununua nguo na TV kubwa tu. Nenda shule ukajiendeleze!
ReplyDelete"waisting" hahaha not to mention "closses" "desidners" mheshimiwa, you are too much! Tumia Lugha ya Taifa, au kilugha tuu, tutapata mkalimani lakini namna hii? ni hatari.
ReplyDeletetime is money jamani, inabidi labda watu waanze kuchajiwa maana I hope wajirani zetu hawasomi na kutuona tunachofanya huku
ReplyDeleteMjomba kubali kushindwa coz hata ukijidai ulikuwa unafanya utani ukweli ni kwamba kichwa kiko zero na lugha huiwezi kama ulikuwa haujui now u know, and its not a crime 2 b dumb but atleast admit it coz the more u argue about it the more u a showing and opening ur umbumbumbu, kuwa mjinga sio ujinga bali kukataa ujinga ni ujinga wa uzuzu ahhhhh just havin fun
ReplyDeleteDuh! Nani kaenda shopping huko kwenye duka la VERSACE! Gauni moja dola $5,000 tena hiyo ndo sale price.
ReplyDeleteAnony 1:02 am Majirani gani hao wanaosoma? Unaweza kutuonyesha blog za kwao kama hizi nasi tiungie.
ReplyDeletehacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh
ReplyDeletei read this blog and wonder..., why are we posting these comments? I know 4 sure we do not have time to do this. I saw constructive comments on other pictures and they make sense. y don't save our breaths and typing time for issues affecting our future and our jamii back home? Michuzi,you need to d something, you are not helping them people doing this..
ReplyDeleteWewe Kitiro, umetokea wapi wewe? Hujui kama kuna kazi na Dawa? Au unadhani binaadamu ameumbwa kufanya kazi na kufikiria kazi masaa 24? Theres time to work and do some condtrucytivem and time to socialize.This is one place...get a grip!
ReplyDeletemy bad...time to work and time to work and do some'constructive or time to socialize.
ReplyDeleteWewe wa Kwanza Hapo Juu...Siku: September 18, 2006 12:01 AM, Mtoa Maoni: Anonymous...kumbuka kuwa mengine huwa ni "fake"..... products!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDelete