kwa kina yakhe maduka kama haya ughaibuni twayaonea nje tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Mbona ni kawaida tu, kuvaa desidners closses huku? Tunavaa nguo na thamani kwanza, sio kupendeza tu. It has to be quality, and somebody u know, sio just fundicharahani fulani na material ya dukani tu bora duka bora kitambaa! Haya tukaneni maana nina miss kweli.

    ReplyDelete
  2. Una maana gani ukisema closses? Closses ni kitu gani haswa? Inabidi hizo hela unazotumia kununua nguo za thamani at least kidogo utumie kwendea shule pia.

    ReplyDelete
  3. duh!! Hiyo kali!! Eti closses, yaani huwezi kusingizia typo hapo...ESL jamani inasaidia nchi za wenyewe hizi......

    ReplyDelete
  4. Anoy 12.01AM please! Andika kiswahili ! "desidners" "closses"
    Tunajua unamaanisha nini hapo juu.

    ReplyDelete
  5. Am french.....ok, kiswahili nimefundishwa na mamam yangu tu ok?
    what is the **** is english for me?
    Mkosoe michuzi kwanza, kama wewe ni teacher ok!

    ReplyDelete
  6. Nani kasema umekosea kiswahili kwani?watu wanamind hiyo ngeli yako babu,kama hujui bora uache tuu sawa,maswala ya kuwa French hayo hayapo.

    ReplyDelete
  7. we anonymous no1 ni fala mkubwa,huna lolote tena ukute shopping zako red cross(maduka ya charity)alafu unajifanya babkubwa hapa kwenda zako huko.Tena fala haikutoshi wewe ni Elton John tu.

    ReplyDelete
  8. That's what i was waiting for!!!!!!
    Waisting your time.
    Hahahahaaaaaa watanzania mnapenda sana.

    ReplyDelete
  9. Haya watanzania mnajionesha wenyewe ujinga wenu.wewe wa hapo juu unayemtukana mwenzio kwamba ni fala na shopping zake za bei rahisi, huoni kwamba huo sio usitaarabu? jenga hoja sio matusi.Nyinyi ndio watu mliokuja kwa kubahatisha tu, si ajabu hata hujui uelekeo wa baadaye wa maisha yako zaidi ya kubeba boksi na kununua nguo na TV kubwa tu. Nenda shule ukajiendeleze!

    ReplyDelete
  10. "waisting" hahaha not to mention "closses" "desidners" mheshimiwa, you are too much! Tumia Lugha ya Taifa, au kilugha tuu, tutapata mkalimani lakini namna hii? ni hatari.

    ReplyDelete
  11. time is money jamani, inabidi labda watu waanze kuchajiwa maana I hope wajirani zetu hawasomi na kutuona tunachofanya huku

    ReplyDelete
  12. Mjomba kubali kushindwa coz hata ukijidai ulikuwa unafanya utani ukweli ni kwamba kichwa kiko zero na lugha huiwezi kama ulikuwa haujui now u know, and its not a crime 2 b dumb but atleast admit it coz the more u argue about it the more u a showing and opening ur umbumbumbu, kuwa mjinga sio ujinga bali kukataa ujinga ni ujinga wa uzuzu ahhhhh just havin fun

    ReplyDelete
  13. Duh! Nani kaenda shopping huko kwenye duka la VERSACE! Gauni moja dola $5,000 tena hiyo ndo sale price.

    ReplyDelete
  14. Anony 1:02 am Majirani gani hao wanaosoma? Unaweza kutuonyesha blog za kwao kama hizi nasi tiungie.

    ReplyDelete
  15. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete
  16. i read this blog and wonder..., why are we posting these comments? I know 4 sure we do not have time to do this. I saw constructive comments on other pictures and they make sense. y don't save our breaths and typing time for issues affecting our future and our jamii back home? Michuzi,you need to d something, you are not helping them people doing this..

    ReplyDelete
  17. Wewe Kitiro, umetokea wapi wewe? Hujui kama kuna kazi na Dawa? Au unadhani binaadamu ameumbwa kufanya kazi na kufikiria kazi masaa 24? Theres time to work and do some condtrucytivem and time to socialize.This is one place...get a grip!

    ReplyDelete
  18. my bad...time to work and time to work and do some'constructive or time to socialize.

    ReplyDelete
  19. Wewe wa Kwanza Hapo Juu...Siku: September 18, 2006 12:01 AM, Mtoa Maoni: Anonymous...kumbuka kuwa mengine huwa ni "fake"..... products!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...