nipo newala likizo jamani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Acha hizo this is summer time Michuzi, vua koti alilokushonea fundi Kilaza!

    ReplyDelete
  2. Michuzi intergrate, vua koti kwanza wanalisikia lina harufu ya fundi cherahani.

    ReplyDelete
  3. Hapo Manhattan ndo panaitwa THE BIG APPLE! Mimi napaita Concrete Jungle!

    Enjoy your stay!

    ReplyDelete
  4. mhhhhhh michuzi na wewe acha kutia aibu katika nchi za watu,ndio pozi gani hilo sasa?hahahaha!!!!!!!!!
    Enjoy baba!

    ReplyDelete
  5. jamani this is NY michuzi alivyo ni kitu cha kawaida watu na proffesional dressing is normal na kwa ndugu yangu hapo juu summer ni jina tu temp huku ziko 50 tayari if u know maana yake, Michuzi kama unataka kula raha acha contacts zako watu wakupe raha huku

    ReplyDelete
  6. Shenzi mkubwa,raha gani utampa michuzi wewe?Hiyo ela yako ya kupiga box si umtumie bibi yako aandae mazishi yake?fala weeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  7. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...