aisee naini eee...niletee tisheti bwana. huku newala muda wa makoti bado bwana...najiona kama katuni, duh! noma!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nyuzi joto 20c kwa Michuzi ni winter

    ReplyDelete
  2. Michuzi, Karibu USA! Ucheki e-mail.

    ReplyDelete
  3. Mshikaji, naona una mimba au macho yangu! haaa haaa haaa!

    Ebbie Janson

    ReplyDelete
  4. KAKA NIPIGIE MAANA NAANDIKA EMAIL SIKUPATI....NAPATIKANA TOKA KWA BLAIR...SHABIKI WAKO NAMBA MOJA... SIMU NAMBA +44 78940 75975.

    NAFIKIRI UNANISOMA,

    YOU NEVER WALK ALONE...PAMOJA!

    ReplyDelete
  5. hacha kupoteza muda na pesa za wabongo fanya kilicho kuleta huku.umeridhika eeh

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...