nimeletewa malalamiko toka kwa jack pemba ughaibuni kwamba kuna mtu/watu wanatumia jina lake kutaka kumharibia. anakanusha kabisa kwamba hajawahi kuchangia kitu kwenye hii blogu yetu, ila anashangaa kuona watu wanajiita jack pemba na kutukana hata mama zetu wapendwa.

kwanza anaomba radhi kwa niaba ya blogu hii kwa usumbufu wowote ambao watu wameupata wakidhania yeye wakati sio. pili anasema yeye akitaka kuchangia atapitisha maoni yake kwangu, hivyo maoni yoyoye yatayokuja chini ya jina lake ni batili. hii ni kuondoa uwezekano wa kuendelea kufanyiwa ufisadi.

kwa kweli namuunga mkono jack pemba kwa kulaani vikali watu wa aina hiyo wenye nia ya kuchafulia watu majina yao. hata mimi huko nyuma kuna watu hata wakafungua blogu na kujiita issamichuzi eti iwe blogu ya matusi. sijatembelea huko na nadhani imekufa sababu niliwastua watu mapema.

bila ya kuwa na nia mbaya/nzuri na jack pemba, huyu bwana namfahamu fika, kaka zake nimekuwa nao mtaa wa mazengo na sasa familia ya pemba inaishi kwenye jumba lao huko tegeta na jack si mtu wa matusi ama majigambo kama hao watu wanavyotaka ionekane. na pia ni kweli ana moyo wa kusaidia sana watanzania.

hivi sasa jack pemba anakwea pipa hithrow kuelekea nyuu yoki akiendelea na ziara ya kusaka vipaji. anasikitika sana kuona anasaidia watu wa nje na kukataliwa kufanya hivyo nyumbani. ama kweli nabii hatumkuzwi kwao

hapo juu ni picha alopiga jack pemba (shoto) akiwa na vijana toka mataifa mbalimbali walio kwenye majaribio na klabu cha totenham jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Maana ya kublog ni kuchambua mambo ya kila aina...Kama wzungu wanavyosema 'critics' hawakosekani kwenye kitu chochote sasa yeye kama halizania watu wataacha kuongea kwa vitu alivyofanya ni ameula wa chuya. Ndio maana hata leo umesikia Mrema anamshutumu Kikwete kwamba hajawahi kuwaalika Ikulu. Kwahiyo naomba huyu jamaa hajue kama critics will always be there...Mfano mimi bado naamini RAISI WA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA, BWANA KIKWETE NDIO CHANZO CHA BABU SEYA KUFUNGWA MAISHA.

    ReplyDelete
  2. Hivi hizo tetesi zilienea bongo ni za kweli jamani? na je wale watoto waliotoa ushahidi mahakama je? nao walifundishwa...mi kuna mtu yupo pale muhimbili alinithibitishia ni kweli wale watoto walibakwa na huku mtaani uvumi ni kuwa jamaa alikuwa anakula nyumba ndogo ya mzee, ukweli u wapi hapo?

    ReplyDelete
  3. Nani kamzuia huyu jamaa kupeleka vipaji UK? Na ameona huko New York ndio atapata?
    Aliahidi akashindwa.Afanye kweli watu waone.Tz vipaji vya soka kibao

    ReplyDelete
  4. Michuzi sawa tumekuelewa ila ujue kwamba hata Watz huwa wanapiga pichana akina Koffi Olomide hata Kabila still wao si wanamuziki ama wmarais, ninachotaka kusema Jack kupiga hiyo picha si swala la kwamba anakuza vipaji, picha inaweza ombwa kupigwa hata na Tony ama George hivyo hajaongea kitu hapa, maana hii si kampuni yake alichofanya ni kuomba kupiga picha kwaa jili ya publicity huku nyumbani, kwanini afanye wakati huu na siyo kabla ya kuboronga hapa Bongo,UNAMSAFISHIA JINA SAWA.

    ReplyDelete
  5. Anon wa kwanza umenichekesha sana. Kwahiyo ma critics wa JK nao wanasema hawajakaribishwa Ikulu. Na kisa cha mzee Seya kufungwa ni yeye pia. Kweli Tanzania kuna ma-critics.

    ReplyDelete
  6. Huyu jamaa baada ya kushtukiwa sasa anataka kujifanya ana akili sana na kukanusha kuwa sio yeye? Mbona ile topiki nyingine alipost imekaa kama miezi miwili hivi hakukanusha kama sio yeye? Duh! naona mambo yamefika shingoni baada ya kutukana anaona azuge zali na kusema sio yeye..kweli dunia tambala bovu

    ReplyDelete
  7. michuzi kuda data ambazo alikuwa akijibu huyu jack pemba katika hizo massage za pemba feck Nanukuu
    "Huyu Tenga nimemleta hapa London na kumtembeza kila sehemu ili aone ninavyofanya shughuli zangu na nilimuonesha hadi sehemu ambazo timu ingefikia na kila kitu na nimemualika nyumbani kwangu ajue sehemu ambayo ninaishi"
    Hiki kipengele ni cha kweli kwani ni kweli Tenga alifika London na kuonana na Pemba na hata mwenyewe tenga alikiri hivyo.Je kama siyo yeye iweje hizo data za ukweli azijue huyo Jack pemba feki?
    Tena alidiliki hata kusema nanukuu "Huyu Tenga amenigeuka kwani tulipanga kila kitu na ndie aliyekuwa akitaka kocha wa timu ya taifa atoke ktika kampuni yangu y GSB, lakini tatizo lilikuwa watu wa wizara" hivi mtu ambae hajui lolote iweje ajue mambo hadi ya ndani ya kampuni yake wakati ni keli GSB ilitaka kumleta kocha wa timu ya Taifa baada ya serikali kumkataa ndio maana walikataa hata kuileta taifa Stars UK na badala yake wakaitaka timu ya vijana tu.
    Wee Jack Pemba umeshajiona kwamba ulikuwa ukisema upumbavu na ulikurupuka kuanza "ku-critise".hivyo unapaswa kukfikiri kwanza kabla ya kusema chochote kwenye public kwa watu kama nyie mnaotafuta umaarufu ambao uwezo nao huna.
    Kumbuka unaweza kutumia miaka 30 kutafuta umaarufu tena kwa mapesa mengi, lakini umaarufu huo unaweza kutoweka kwa siku moja tu kama viongozi wa TFA walivyokumaliza hapa bongo na kuonekana tapeli tu.
    Jitahidi nyie mnaotafuta umaarufu kuwa na washauri kabla ya kutenga jambo kwani uwezo wenu wa kufikiri ya kesho ni mdogo sana.Basi kama ni kama yake ndio aliyekuwa anakushaueibasi nae husimweke katika ambo yako, lakini kama alikuwa anakushauri na kuuweka pembeni ushauri wake basi mkubuke sana na muone kama mungu mtu kwako kama sisi Watanzania tunavyoyaona yale aliyokuwa akisema nyerere kama mwongozo mzuri wa taifa letu.
    Ushauri wa bure kabisa kwako JACK PEMBA

    ReplyDelete
  8. Kwa taarifa yenu Michuzi ni basha na alimtia sana Jack Pemba pale Regency hotel kwa hiyo hata msishangae

    ReplyDelete
  9. Kaka Kassim ya kweli hayo. Sikujua kuwa Michuzi ni gay.

    ReplyDelete
  10. Duh hapo wazee sasa mmeenda mbali. Heri mimi sijasema.

    ReplyDelete
  11. Jamani wengine tuko mbali sana na nyumbani, na hii blog ndio sehemu yetu ya kujua baadhi ya mambo muhimu....Tujaribu kuheshimiana. Natakuliza shukurani!

    ReplyDelete
  12. huyu jamaa ametiwa sana na yule mindi azim dewjisijui yuko wapi na ndo maana alikuwa akimbeba sana wakati simba iliposhiriki mashindano ya kobme la caf mwaka 1993, si uliona mwenyewe alituwekea picha aliyopiga nayo wakati wapo nice, france mwaka 1993? hilo senge kubwa hapa dar watu wote tunajua na jamaa anapenda sana misifa.

    ReplyDelete
  13. hahaha!

    jack unaona mambo hayo. mie ningekuwa na roho ndogo ningefunga hii kitu. lakini huwa sisumbuliwi na waswahili wenye inda, hivyo ushauri wangu usipaniki wala nini. kip kam na endeleza libeneke.

    anony 12:07 asante kwa kuniongezea sifa. hahaha hahaha!

    ReplyDelete
  14. Naomba ushahidi kua hiyo ni Tottenham Academy

    ReplyDelete
  15. Ndugu yangu Michuzi ni ya kweli hayoooo!! mbona unanitisha hahahaha!!

    ReplyDelete
  16. Michuzi,
    nimeweka maoni pale kwa Jeff kuhusu suala la watoa maoni. Katazame.

    ReplyDelete
  17. LADIES AND GENTLEMEN....amekoma kama alivyosema Q-CHILLA

    ReplyDelete
  18. Michuzi ni BASHA wala si uongo nilimshuhudia twangapepeta akiondoka na mhindi mmoja ambae ana sifa za usengeusenge sema ndio hivyo sasa ni rumours tu na hiyo photo point mnajua ameianzishaje? Ila Bongo mambo yanabadilika huenda tukaja kukuta siku moja kwenye blog hii ameamua kuanika mwenyewe na kusema wazi 'im gay please accept me'maana hata kujifichaficha huku mimi naona Michuzi unajitesa tu

    ReplyDelete
  19. mbona mnaitana mabasha tena?jamani....

    ReplyDelete
  20. Maisha humu ndani kuna visa,vibweka ,na mafinyufinyu usipo kaa vizuri unawezaletewa polisi kwa kelele za vicheko kwa waleo wanaokuzunguka)majirani)
    Ama kweli dunia duara

    ReplyDelete
  21. sio vizuri lakini....hii blog nzuri sana.hasa kwa sisi wavivu wa kusoma habari inatusaidia lakini watu wengine lazima watukane.watanzania tumeshajizoesha vibaya lakini.kuna watu haiwezi kupita siku hawajatukana nanihii za mama zao.na mimi huwa siogopi kuuliza unamtukania mtu utupu wa mamake je wewe ulitokea wapi?au hujui unatukana mama yako?it is just uncivilised!

    ReplyDelete
  22. michuzi hiyo team inaitwa haringey town U15 and have won the waltham forest league. sasa huyo pemba kaingilia wapi hapo na anayehusika nayo si yeye, though ni timu ya north london kwenye council ya haringey ambapo pia tottenham spurs ipo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...