Home
Unlabelled
shaaban robert
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi,
ReplyDeleteMahudhurio yakoje kwenye hayo maonyesho ya vitabu?
WASIFU WA BI AMINA MKEWE HAYATI SHAABAN ROBERT
ReplyDelete"..Sura yake ilikuwa jamali kwa kimo cha kadri. Uso ulikuwa wa mviringo wa yai, nywele nyeusi za kushuka, paji pana, nyusi za upindi, macho mazuri yaliyokuwa na tazamo juu ya kila kitu, kope za kitana, masikio ya kingo yasiyopitwa na sauti ndogo, meno ya mwanya yaliyojipanga vizuri mithili ya lulu katika shaza, ulimi wa fasaha na maneno ya kiada yaliyotawaliwa kila wakati, midomo imara isiyokwisha tabasamu, sauti pole na tamko kama wimbo, kidevu cha mfuto katikati yake palikuwa na kidimbwi kidogo, shingo kama mnara ambyo juu yake paliota kichwa cha mawazo mengi, chini ya shingo mabega yalikuwa kama matawi ya maua, kifua cha madaha, mikono ya mbinu, tumbo jembamba, miundi ya kunyooka na miguu ya mvungu. Uzuri wake ulikuwa kamili. Kwa tabia alikuwa mwaminifu na mfano wa kuiga katika nyumba.
Wanawake ni wengi kama walivyo wanaume lakini wenye sura kama iliyoelezwa ni adimu sana kukutana nao katika dunia. Kabla ya kuoa nilitafuta umbo namna yake muda wa miaka kumi. Kwa maisha mafupi tuliyo nayo sasa miaka kumi si muda mdogo; basi kutafuta kwangu kulikuwa si rahisi.."
Sijifagilii wala nini lakini mimi pia nilikuwa na kitu changu chenye wasifu mwafaka na wa Bi Amina.
F MtiMkubwa Tungaraza.
Nikifika Bongo lazima ninunue collection yote. Vitabu nilivyonavyo sasa vimechakaa hasa.Nafurahi kuona zimekuwa reprinted.
ReplyDeleteUnaweza kuvipata vitabu hivi katika maduka yote ya vitabu Dar es Salaam. Kama uko nje ya Tanzania unaweza kwenda www.mkukinanyota.com kwa ajili ya katalogi nzima ya vitabu na jinsi ya kuvinunua nje ya nchi.
ReplyDelete