wabongo sehemu mbalimbali duniani waliungana na wa nyumbani kuitakia taifa staaz ushindi. hawa ni wabongo wa kwa mama wakiwa wanaangalia mchezo wa kirafiki kati ya brazili na ajentina uwanja wa imarati wa aseno

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Michuzi pls, give and tell us a meaning.

    ReplyDelete
  2. The caption explains everything, what more do you want?...Geez weez....

    ReplyDelete
  3. Mechi ya Argentina na Brazil, tena ya kirafiki, halafu bendera ya Tanzania, na maelezo yako yanazidi kutuchemsha hatuivi tu!

    ReplyDelete
  4. too bad....

    ReplyDelete
  5. teteh tupo tayari kuonekana kwenye blogu ya bwana Michuzi, Piga haraka bwana hiyo picha tu e-mail kwa michuzi watuone tupo kwa queen.

    ReplyDelete
  6. watanzania wivu wivu tu, siku ile ya mechi hata mimi niliwaona watu kibao wakiwa na bendera za nchi zao, acha JAPAN hata Wachina. mimi naona wanaopinga watanzania kuwa kupeperusha Benndera ya nchi yao ughaibuni ni wale waoficha utaifa wao. Watu wanastick hata bendera za Tanzania ktk Number plate za magari yao ughaibuni? sembuse mpirani? Kinachonisikitisha MICHUZI anatuletea picha hata za Harusi halafu watu wanaanza kusema eti yule ni mwizi sijui anabeba Ma-box Acheni hizo muwe kama wa-Kenya hawaoni aibu kutangaza nchi yao hata wanadiriki kutuibia mlima wa kilimanjaro. hongera michuzi zidi kutuletea picha za wabongo tufurahi.

    ReplyDelete
  7. hawa jamaa washamba kweli jamani!!
    Nia yao waonekane tu na washamba wenzao kuwa waliudhuria hiyo mechi na wasisahaulike kuwa Ni watanzania ingawa wamejilipua miaka kibao iliyopita.Ona walivyokomaa kwa kubeba Box??

    ReplyDelete
  8. MSIWAONEE WIVU, NAJUA WENGINE WANATAMANI KWENDA KUONA MECHI LAKINI HAWANA UBAVU. SI HERI WANABEBA MABOX? WENGINE WANATAMANI KUBEBA HATA HAYO MABOX HAWAYAPATI.

    ReplyDelete
  9. Hawa Wabongo lazima watakuwa WAHAYa!

    ReplyDelete
  10. ukabila!!! naona mtoa maoni bado una mawazo ya miaka ya 47. Tanzania tumeishasahau ukabila

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...