tiketi za mwisho mwisho za jei zii ataepiga ukumbi wa dayamondi jubilii holu jumatano hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 29 mpaka sasa

  1. Wema Sepetu: Gundu lilianza mapemaa!

    2006-10-02 17:30:16
    Na Majuto Omary, Jijini


    Mwakilishi wa Tanzania alipeperusha bendera ya Taifa katika mashindano ya kusaka mrembo wa dunia, Wema Sepetu, anarejea Jijini leo huku akiwa mikono mitupu.

    Wema ameshindwa kung’ara katika kinyang’anyiro cha kumsaka mrembo wa dunia na bahati mbaya zaidi, hata taji la Mrembo wa Dunia Kanda ya Afrika tulilolitwaa mwaka jana kupitia kwa kimwana Nancy Sumari limeangukia mikononi mwa mrembo Stiviandra Oliveira wa Angola.

    Wema aliyeshiriki kinyang’anyiro hicho mjini Warsaw nchini Poland ambako alichuana na warembo wengine 103, anatarajiwa kutua Dar mishale ya saa 1:00 usiku pale kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere.

    Atawasili na ndege ya Shirika la Ndege Uswis, Swiss Air ambapo atakuwa ameambatana na Mratibu wa Kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga na Watanzania wengine kadhaa waliokwenda kumpa sapoti huko nchini Poland.

    Katika mashindano hayo, Tatana Kucharova, 18, kimwana toka Jamhuri ya Czech alitwaa taji la dunia huku mrithi wa taji la mrembo wa Dunia Kanda ya Afrika lililokuwa likishikiliwa na Mtanzania Nancy Sumari likitua kwa mrembo Stiviandra Oliveira toka Angola.

    ’’Mambo yamekuwa kinyume na matarajio yetu. Ndio kawaida ya mashindano. Kuna kushinda na kushindwa ... hivyo ninawaomba Watanzania wajitokeze kwa wingi katika mapokezi ya mrembo wetu Wema,’’ alisema Majaliwa, Katibu wa Kamati ya Miss Tanzania.

    ’’Amejitahidi kufanya vyema lakini tukubali kuwa safari hii bahati haikuwa yetu. Tumuonyeshe kuwa sote tuko nyuma yake na tumeridhika na jitihada zake katika kutuwakilisha, tusiache kwenda kumpokea kwa wingi,’’ akaongeza Majaliwa.

    Kabla ya fainali hizo zilizofanyika juzi usiku, tayari kulishakuwa na utabiri mbaya juu ya ushiriki wa Wema katika mashindano hayo.

    Licha ya Watanzania wengi kuwa na matumaini tele juu yake, hasa kutokana na urembo wake jamili, mwanya wake wa kupagawisha na uwezo mkubwa wa kujieleza aliouonyesha katika fainali za kumsaka kimwana wa Bongo, bado ’gundu’ lilianza kumuandama mrembo huyo kungali mapema.

    Kabla ya fainali za juzi usiku, Wema na warembo wenzie walioshiriki kinyang’anyiro hicho walikaa pamoja kwa kipindi cha mwezi mmoja huku wakichuana kwenye mataji mbalimbali.

    Dalili mbaya kwa Wabongo kibao ambao baadhi walikuwa wakikesha kwa maombi na kumpigia kura za kwenye mtandao kwa wingi ili ang’are kama Nancy mwaka jana, Wema hakuambulia taji lolote lile.
    Mataji manne yalimtimulia vumbi.

    Mrembo wa Canada, Melgorzata Majewska alitwaa taji la Michezo, Catherine Jean Milligan wa Ireland akatunukiwa taji la kuwa kimwana mwenye kipaji zaidi, Alexandra Federica wa Venezuela akaibuka kidedea wa taji la kuwa mrembo bomba wa ufukweni huku Ivana Ergig wa Croatia akibeba taji la mrembo mwenye malengo.

    Kana kwamba hiyo haitoshi, watabiri wa ’kizushi’ katika mitandao mbalimbali isiyo rasmi, wakamtaja Wema kuwa ni miongoni mwa warembo sita watakaofanya vibaya zaidi kwenye mashindano hayo.

    Wengine wakadiriki kutangaza uwiano wa kichovu wa kura moja kati ya 20,000 zilizomtabiria kushinda.

    Kwa bahati mbaya, matokeo ya juzi yameendana kwa kiasi fulani na watabiri hao wazushi kwani hadi sita bora ikitajwa, Wema alikuwa tayari keshatupwa mbali.

    Kushindwa kwa Wema kunaongeza orodha ya Watanzania waliowahi kushiriki fainali za mashindano hayo na kurejea mikono mitupu.

    Warembo hao ni Faraja Kotta (2004), Sylvia Bahame (2003) na Angela Damas aliyeshiriki fainali za mwaka 2002.

    Pia katika orodha hiyo ya waliowahi kushindwa wapo akina Happiness Magese (2001), Jacqueline Ntuyabaliwe (2000), Hoyce Temu (1999), Basila Mwanukuzi (1998), Saida Kessy (1997), Shose Sinare (1996), Emily Adolf (1995) na Aina Maeda (1994).

    ReplyDelete
  2. Jamani elimu ya nyakati na matukio ni muhimu.Sasa wewe anony wa 17:30 ndio kusema huelewi ulifanyalo au ni ushamba tu unakusumbua.Hilo gazeti kila mtu kalisoma na Michuzi hapakaweka picha ya advertisement ya ticket wewe una-copy na ku-paste mambo ya Sepetu.Jamani bongo ni muhimu kuitumia katika kuchekecha na kuchanganua mambo na matukio.

    ReplyDelete
  3. jay z alikuwa hapa AMSTERDAM alihave fun sana je DAR mnajua nyimbo za JIGGA MAN ... jamaa ana mtindo wa kuwachai CROWD kuimba je watanzania tutaweza au mambo ya AIBU ....

    ReplyDelete
  4. 7:49 PM guy... must be feeling nice... you would probably feel even better if you too came from brooklyn. i think you should feel the shame

    ReplyDelete
  5. Ngoja nikaangalie ticket yangu kwenye kabati kama bado ipo au panya wameshaitafuna nini?

    ReplyDelete
  6. wewe hapo juu unaishi sehemu gani tanzania . panya waiisha siku nyingi....twambie tukutumie watu waje kupiga dawa..........

    ReplyDelete
  7. jAMANI MSITUTIE AIBU HUKO BONGO AKIJA HUYU DOGO JAY Z BASI NDUGU ZANGU TUKUMBUKE KA DEODORANT AMA KUPIGA MSWAKI MAANA NASIKIA KILA MARA VIJANA HUKU WANALALAMIKA KUHUSU WABONGO HAWAJI TAKE CARE VIZURI SASA NAOMBA KABISA TUSIANGUSHANE HAKA NI KAUSHAURI TUU. PIA ANGALIENI MSIMALIZE KA HAKIBA KA BANK NAJUA WENGI MTAISHIA KUACHA FWEDHA ZA KUTUNZA KITABU TU KISA KWENDA KUMWONA JAY Z. JIWEKEENI KAHAKIBA HAKO KADOGO MLIKO NAKO WALE AKINA KINJE MSIJILINGANISHE NAO.

    ReplyDelete
  8. Toa upumbafu wako wa maoni ya kijinga we Bendera na mawazo yako ya kimaskini juu ya akiba jifikirie mwenyewe kwanza.

    J is a hustler he know waz up na bongo, na kwa watu wanakwenda just have a whole lot of fun coz I've been in sum of his shows in NY he knows how 2 rock the show, cant wait 4 his new album in Nov, he is back.HOVA

    ReplyDelete
  9. Wewe unafikiri Jay Z mjinga amekuja kumrusha Cynthia maana huku Paparaz wengi na kuna kutapeliwa sana kama alivyofanywa Kobe. Kwa hiyo akija huku atamla fresh bila hata kina Beyonce kujua. Wewe unaona Jay Z ni mtu wa kuja kujilusha na kina Kinje? Hamna akili kabisa nyie, Tena Baa One? Viti vya plastic Mbu kila corner, ka harusu ndiyo basi tena...Hamkumbuki ya Michael Jackson kuziba pua? na kuondoka ghafla? Sasa Jay Z kaja kuposa Toto Masasi tu. Mwulizeni dad wangu anajua vizuri yuko jikoni hapo bongo

    ReplyDelete
  10. jamani nakumbuka MICHUZI aliongea siku moja kwamba diamond jubiree inatia aibu kwa jinsi ulivyo ndani na nje. Sasa huyu bwana akija si ndiyo itakuwa aibu hiyo? Kinje ama Jack Pemba masupa star wa Tanganyika hamwezi kujenga kaukumbi kazuri zuri jamani?

    ReplyDelete
  11. Mbona watu mnaua bongo kiasi hicho? ndio tunamatatizo lakini tunasonga hivyo hivyo, we kama upo nje unaishi vizuri basi poa haimaanishi ndio uanze kuiua bongo. Sijui watanzania tutaendelea lini, kwanza mnafikiri wanayataka matako yenu huko? kama hamjui fanyeni research na mjue nyie mnachukulia kama ma citizen wa class gani.

    ReplyDelete
  12. Mbona watu mnaua bongo kiasi hicho? ndio tunamatatizo lakini tunasonga hivyo hivyo, we kama upo nje unaishi vizuri basi poa haimaanishi ndio uanze kuiua bongo. Sijui watanzania tutaendelea lini, kwanza mnafikiri wanayataka matako yenu huko? kama hamjui fanyeni research na mjue nyie mnachukulia kama ma citizen wa class gani.

    ReplyDelete
  13. NAMSAPOTI MAKENE MTOA MAONI WA PILI KUTOKA JUU. WASHAMBA SIJUI AU NI ELIMU FUPI AU TU HUYO ANONY WA KWANZA KABISA ALIKUWA HANA KAZI YA MAANA. MHESHIMIWA MICHUZI KATOA PICHA NA MAELEZO YA KUUZA TICKET KWA AJILI YA SHOO YA JAY ZEE. SASA UNAANZA KUTOA MAELEZO YA WEMA SEPETU NA MAMBO YA MISS WORLD YANAHUSU NINI HAPA? WATU WALULUGA KWELI NAONA TUMEWAKOMESHA WENGINE KATIKA BULOGU HII WALIOKUWA WAKIINGIZA MAONI YAO CHINI YA PICHA AMBAZO WALA HAZIUSIANI NA MAONI WANAYOTOA KWA MFANO KULIKUWA NA MAONI MENGI SANA YALIYOKUWA YAKIMWAGWA KWA KASI KUWACHAMBA KINA ANNA KAHAMA NA UMALAYA WAKE KUSHINDANA NA MUMEWE ALIPOANZA UFUKSA NAYE AKAANZA KUTOMBWATOMBWA SASA AMEBAKI NA AIBU--HAYA MARA KUHUSU UFUKSA WA MAMA YAKE JINSI ALIVYOWEKA LAANA KWENYE FAMILIA BAADA YA KUVUNJA NDOA YA DADA YAKE WA DAMU NA KUOLEWA YEYE NA KUZAA HAO HARAMU KINA ANNA.--MARA KINA CATHBERT MBOWE JINSI ALIVYOKUWA MALAYA WA KIUME INGAWA ANA MKE NA MKEWE KAGANDA TU KAMA KUPE MAANA HANA AJIRA--MARA JAMES RWEHUMBIZA NA UMALAYA NA KUSHINDWA HATA KUSAPOTI KUNUNUA CHUMVI NDANI YA NYUMBA MKEWE TU NDIO ANAHANGAIKA, --MARA ANDREW MINJA KUTOMBATOMBA ONVYO NA KUWA NA AFFAIR NA HUYO ALOKUWA MREMBO MISS TANZANIA MWAKA JANA NANCY SUMARI, MPAKA MKEWE IRENE KIDA WAMEMTONYA KAMPIGA BUTI AMEMKIMBIA NA MTOTO. YAANI NIKIENDELEA VITUKO AMBAVYO TUMESOMA HUMU MWENYE HII BLOG NI VICHEKESHO NA VYOTE HIVI SIKU ZOTE HAVIHUSIANI NA PICHA INAYOWEKWA JUU NA MHESHIMIWA MICHUZI. AHHH WABONGO MMEZIDI BWANA. IMEBIDI NITOE HII MIFANO KUMSAPOTI NDUGU MAKENE KWANI MAONI ALOTOA NI SAFI SANA.

    ReplyDelete
  14. wewe Tengo ndio pumbavu namba moja halafu unataka kufanya watu wote kama wewe, ulikuwa tu unataka kuwataja hao mabwana zako ukachukulia hiyo opportunity, na maandishi makuuuubwa mijitu mingine bwana!!

    ReplyDelete
  15. MHHHHH kuna walakini kwa maoni hayo hapo juu.Ni kweli umeanza vizuri kwa kumsapoti Makene lakini sasa vipi tena mbona unawatajataja watu tofauti na mada yako ya kusapoti?Siamini kama kweli unatoa sapoti kwa Makene ila naona kama una lako jambo na wote uliowataja.

    ReplyDelete
  16. waTZ tunahitaji counceling, hatuna kitu cha kujadili zaidi ya maisha ya watu, na kwa hao watu wote na uhakika maisha yao yako very duni kwa sababu hamtumii mida yenu kiakili, Shalow minded people will keep in duscuss bout other people all their lives wakati wenye akili zetu tunatafuta cha kuongeza mfukoni kesho

    ReplyDelete
  17. Nakubaliana kabisa na Bendera kwamba wabongo hawajitake care kwenye usafi hasa wale wanaobeba mabox, hawa huwa hawaogi kisa wanaogopa baridi. Na yeye anafahamu vizuri kwa sababu ni mmoja wao ndio maana hata yule mume wake wa kizungu alimuacha kwa sababu ya uchafu wake

    ReplyDelete
  18. karibu jigga man!

    ReplyDelete
  19. huyu mdada nilikuona naye newala

    ReplyDelete
  20. HEBU ACHENI USHAMBA HAPA NYIE WOTE MLOVALIA NJUGA MAONI YA KUMSAPOTI NDUGU MAKENE. HUWEZI KUSAPOTI MADA BILA YA KUTOA MIFANO NA NINGETOA MENGI NA MAJINA MENGI KAMA KWELI NYIE NI WANA BULOGU HII BASI MNAJUA NAONGELEA NINI, KAMA WATU NILIOTAJA WANAWAHUSU BASI POLENI SANA HAPA BULOGUNI HAMNA KITU PERSONAL WATU WANAMWAGA UKWELI TU. NA WENGINE KAMA HUYU NDUGU WA JUU KUINGIZA MAONI AMBAYO HAYAHUSIANI NA PICHA ILIYOWEKWA NA MHESHIMIWA MICHUZI WOOOOOOOOOOOOOTE WALIKOMESHWA NA KUUMBULIWA HAPA BULOGUNI NA WAMEKOMA KUTAJA SIRI ZA WATU KWA KUJITIA ATI WANATAKA KUWATONYA WAPENZI WAO AU KUWAUMBUA.

    ReplyDelete
  21. Tatizo ni kwamba mijitu mijinga imejazana katika hii blog,ndiyo maana watu kama kina Makene wenye fikra Pana wanapojaribu kuwaweka sawa hawa wajinga inakuwa ni kaziyabure. Hivi nyie wajinga mnafikiri mtafika wapi na huu upumbavu wenu??

    ReplyDelete
  22. Wema Sepetu....Get a life!

    ReplyDelete
  23. KIBUSHA thank you very much. Watu kama ndugu Kibusha ndio wanatakiwa katika blogu hii, maana anasema ukweli na anasapoti watu wanaostahili kusapotiwa nimecheki maoni ya watu wengi hapa nimeamua kuminya lakini imebidi niibuke maana ndugu huyu amenifurahisha sana.
    Watu wa ajabu sana badala ya kumsapoti ndugu MAKENE washenzi wengine wameamua kuanza kumkandia wakati ametoa point ni ndugu TENGO tu aliyeona sense na kumsapoti Makene kwa kutoa mifano kwa majina. halafu watu hawa anony wameanza kumkandia pia ndugu Tengo. Naona hamna kazi ya maana kweli kama alivyosema ndugu yetu mpendwa hapa. Kibusha asante sana.

    ReplyDelete
  24. That's right Wema Sepetu get a life. ona hata round ngapi hukufika kati ya shindano hili. You are the ugliest Miss TZ we have ever seen. Na kama walivyokutoa kwenye magazeti kuwa mchawi alibakwa nyumbani kwenu unaamini nguvu za giza na kufanya uchawi ndio maana ukachaguliwa katika nya'nganyiro hili, kila mtu including majaji wenyewe walisema walipigwa na butwaa maana walitegemea mrembo has wa pili au wa tatu ndio angekwaa umiss TZ. just go get a life huko uswahilini na uendelee na uchawi wenu na kukazwa kazwa tu. Shenzi wee.

    ReplyDelete
  25. mi nafkiri baadhi ya watu humu wana psyche problems,wako depressed, hivyo wanatumia projection kuondoa anxiety zao. hii utaona kwa watu wenye majigambo na kashfa za kitoto, wanayoongea yote ni kioo kinachoreflect matatizo yao. watu bongo siku hizi wanaangaika, kwanza mi nashangaa bado wengine wana ujanja wa zamani wa matusi, wakati bongo ujanja ni kumake money, kunba watoto wadogo tu wana maisha mazuri balaa kwa kutumia rasilimali za nyumbani sio nyie mnaenda kukaa nchi za watu mkitegemea kuolewa tu si wanawake/wanaume na kazi kupiga picha kwenye magorofa ya wanaume, na kutuma kwenu. mi nawashauri mbaki hukohuko mana mkirudi mtakufa kwa presha jinsi vijana wanavyojituma under the JK leadership na walivyooendelea. kazi kula baga tu, wanaume wazima mnajisifia kushindia baga kwa siku,kazi mnafanyaje jamani, ndo mana mnauliwa kama kuku hamuitajiki huko. Nawasifia baadhi wanaofanya mambo ya maendeleo. We si umeona akina Hashim wametoka bongo wamekuja huko wanatesa tu, wanawaacha nyie mnashangaa. ujanja sio kuvaa tu na madem wapuuzi nyie. Wakina michuzi wametoka bongo na mkuu wetu JK wanakaa kwenye mahoteli fresh wanawaa cha nyie mpo tu, af wanarudi bongo kuendelea na kazi. Tatizo huko ulaya bado mnakaa sehemu za watu wenye akili finyu kunakowafanya mshindwe kujifunza kutoka kwa wazungu na blacks walioendelea. we umeona wapi mzungu anapenda kuvaavaa ovyo, anajali kazi kwanza. mchek bill gates ana mke mmoja na mtoto mmoja. yani ndo mnazidi kuwa primitive tu.yan i nyie ndo cycle ya poverty ishawaua, huko mko maskini, bongo mkirudi hamtaiweza spidi 360 ya Jk na raia wake. poleni sana. ila mnaweza kujifunza kutokana na makosa.

    ReplyDelete
  26. Masaiko wako wengi humu kwenye hii blog uwiii kai kai uuuu. Jamani hata nawewe hapo juu umeongea point lakini nakutoa auti kabisa uliposema eti "mmeona wapi mzungu anapenda kuvaa ovyo" acha mambo ya kijinga wewe kuna wazungu kibao ambao wanavaa ovyo hawajui kuvaa. kuna wanaovaa smati na wanaovaa ovyo, kama watu weusi pia kuna wanaojua kuvaa smati na kuna wanaovaa ovyo pia. kwahiyo to maoni lakini sio upuuzi, sawa dogo. na hao awali wanaoongelea mambo ya watu ndio mnaweza kumsapoti ndugu MAKENE hapo awali lakini MIFANO iliyotolewa ya kina ANNA KAHAMA hapa hatuyataki kwani ni washenzi tu ambao wamechukua tabia za kishenzi za familia wazazi wao. Kwanini mnawaingiza watu wa kishenzi hapa kwanza MLEVI TU HUYU ANNA KAHAMA na hapa mjini kulikuwa na story kuwa ana MIMBA NA HAIKUJULIKANA MIMBA NI YA NANI MAANA ANAVYOKUNYWA POMBE OVYO SIKU MOJA KAKA YAKE ALIKUTA AMETOKA KULALWA NA MTU AMBAYE WALA HAYUKO CLOSE NAYE, Kwahiyo hata hiyo mimba haitajulikana ni ya nani maana tangu MZUNGU AONDOKE huwa akiwashwa anatiwa kisirisiri tu. ACHENI KUWAONGELEA WATU AMBAO HAWAFANYI KITU CHOCHOTE KUBORESHA UCHUMI WETU WA KITANZANIA ACHENI, KUWAONGELEA HAPA NI KUWAPA UMAARUFU TU. ACHANENI NAO HASA FAMILIA YENYE LAANA HII. HABARI ZAO ZINAJULIKANA KWAHIYO HAMNA HAJA YA KUZIWEKA HAPA KWENYE MTANDAO. kwenye sherehe ya kumuaga dokta Ely Mosha mmeona alivyokuwa anakunywa mpaka mama yake mwenyewe aliyekaa meza ya pembeni akawa anawauliza watu wamwangalie binti yake anakunywa nini na kuhakikisha asijitie aibu, kwahiyo hata mama yake anajua anakunywa kama komba.

    ReplyDelete
  27. hapo juu tumia critical thinking kuelewa paragraph na sententesi sio unakurupuka na kutumia emotins zaidi ya rational mind, nilikuwa namaanisha hawajali kuvaa sana kama tunavyotoa priority sisiwabongo.nilikuwa namaana kama hiyo yako. asante.

    ReplyDelete
  28. BINTI UPO WAPI HAPA DAR???????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...