kiti alichokuwa akikalia mwalimu kwenye kanisa la butiama kinaemziwa hivi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Wakati ni ukuta na ama hakika ukishindana nao utaumia mwenyewe.Wakti wa Mwl.kututumikia watz uligonga tamati na hatimaye aliitwa na Jalali kwenda pata pumziko la milele.Kuelekea maadhimisho ya miaka saba tangu kifo cha mwl,leo hii tunashuhudilia kiti chake kikiwa kitupu hapo kanisani na hii inatoa picha ya kwamba kuna mambo mengi tu aliyokuwa akiyafanya mwl bado hayajapata warithi.Ama kweli huenda kiatu cha mwl kisimpate mrithi wake kitakae muenea bila tatizo.Pumzika kwa amani mwl"AMIN.

    ReplyDelete
  2. Kwa wanaoijua imani ya Mwalimu je kufanya hivi kwenye nyumba ya kuabudia ni sahihi naomba maoni!!!

    ReplyDelete
  3. imani ya mwalimu namaanisha UKRISTO

    ReplyDelete
  4. sina uhakika na swali lako chief Burito. Ni navyojua kamam mwistu hatutakiwa kusoma misa za kuwaombea wafu, in a sense that there is no prayer we can say that will change the state on how they were before they have passed to the other realm. Though i belive its ok to have a thanksgiving mass of a person who have died, in sense that we appriciate there life and give God the praise, but not to pray to take away their sin, kila mtu atabebaq mzigo wake mwenyewe mbele ta Mungu. Kama swali lako ni kuhusu hiyo picha ya mwalimu kwenye kanisa, as long as they dont worship it, and they have put it there as they were giving a thankgiving service, i dont see any wrong with that.,,,YOU SHALL not worship/idolise other God, that what we are told to do. Jina la Mungu libarikiwe milele---kutoka lwa dada anayemtumikia Yesu

    ReplyDelete
  5. Maaaaaaaaaaaaaaaaaaaaan!! People are still very stupid. Utamuabuduje mtu, that guy made so amny mistakes as he did heroics. GET OVER IT PEOPLE, THE MAN IS DEAD. No need for commemoration living in US imenifanya nijue kuwa all human beings are equal, hakuna haja ya kumwabudu mtu just because he KNEW ENGLISH BEFORE OTHERS DID

    ReplyDelete
  6. Wazungu wanasali makanisani ndani na makings na queens zao....so what?

    ReplyDelete
  7. We anony hapo juu what u talking about jaribu kufafafnua. I think you have a good idea but elaborate

    ReplyDelete
  8. Nyie wabongo vipi? Yaani hamwezi kutoa maoni bila kuhusisha Wazungu, wazungu wanafanya kile, mbona Wazungu wanafanya hivi, mbona Wazungu wanalala hivi n.k Ni lini nyie mtaacha mambo hayo?

    ReplyDelete
  9. We wa juu yangu,
    waambie kwanza viongozi wako Africa waache hayo mambo ya wazungu na sisi tutaacha.
    Bila mzungu ungukuwa hapo wewe?
    Maadviser wote wa viongozi wa kwenu wazungu, kuanzia Kikwete mpaka Mandela, Mugabe tu.
    Lakini wote we can do by ourself without wazungu lazima tukubali.
    Walivyotuachia bara letu toka tujitawale wenyewe tumefikia wapi?
    Si mpaka leo tunaombaomba bado tu.

    ReplyDelete
  10. I meant...wanasali na makaburi ya 4fathers wao.

    ReplyDelete
  11. YAANI INACHEKESHA KWA KWELI,UONGO DHAMBI.NI MISUSE OF RESOURCES,KITI KIKALIWE NA PICHA?NAJUA KAD.PENGO ANASOMAGA HIZI BLOG SASA NASHANGAA ANAKAA KIMYA.KAKOBE UNASEMAJE KUHUSU HILI?

    ReplyDelete
  12. Tatizo la wewe trio kaka unalea vizee, soma shule acha kuchambisha vizee. US is the best country, believe that. We just make wrong choices, picking wrong jobs, imitating African American accent, and pretending we just here to find dollars.

    ReplyDelete
  13. Nakubaliana na anoy 10:03 ni ni kufuja rasilimali naamini makanisa mengi ya kwetu watu wanasimama nje kwa kukosa mahali pa kukaa kwanini mama maria asibebe picha ya mumewe mtu akalie kiti. sio poa hata Nyerere mwenyewe nafkili hapendi huko aliko.

    ReplyDelete
  14. A Blessing is Coming

    When I woke up this morning, I saw an Angel standing in front of me
    looking directly into my eyes; saying what is your morning prayer?


    I said, I want my loved ones to be Blessed, and He said to me again;
    how many days do you want your friends to be Blessed?


    I looked at Him. Directly into His eyes, just the way He was looking
    into mine. I said FOREVER AND EVER, and He said your wish is my COMMAND!
    Then I saw Blessings coming down from Heaven in your direction.

    Mbarikiwe!

    ReplyDelete
  15. Kuweka picha Ni makosa makubwa kwa sababu tatu:

    Kwanza Biblia inasema ndoa mwisho wake ni kifo.Mume akifa ndoa imekufa.Mtu inabidi avue hata pete na aacha kujiita Mrs.Nyerere.Sasa kama kifo kilishawatenganisha picha pale anapokaa nayo ana maana gani?

    Pili,Ni vibaya kiti kukaliwa na picha badala ya mtu.Hasa kiti cha mbele picha inakosesha watu wa maana kukaa mbele.

    Tatu,Biblia inasema wajane Vijana watafute waume waolewe.Mimi naona mama Maria Bado yuko fit tu akitangaza kuolewa mimi niko tayari Wallahi!na ukizingatia kaachiwa mali kibao kwa nini asiolewe.Achana na kuitafakari hiyo picha tafuta mtu wa kukaa naye penye hiyo picha akuliwaweze na kukupunguzia Upweke kwenye sala Mama Maria.Sala nazo kusali ukiwa peke yako ngumu kumaliza hasa ukiwa huna mume.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...