familia za nkya na mazula wakati wa mazishi leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. Hiyo ilikuwa ARUSI au MAZISHI? Poleni sana wafiwa. Rest in Peace.

    ReplyDelete
  2. NEEMA YA MUNGU IWE NANYIE.

    ReplyDelete
  3. Kilio na upambe juu.......eh!
    Walichanga kiasi gani hao wapambe?
    Jamani hiyo sio culture yetu, tunazika tukiwa nyaka nyaka, ni ishara ya hudhuni.

    ReplyDelete
  4. Hakuna kosa lolote ku-dress wakati wa msiba. Kwani vazi halibadilishi ukweli kuwa msiba umetokea. Na pia haimaanishi ukivaa nguo yenye viraka ndio una huzuni sana, au ukinuka kikwapa, ndio mfiwa sana. The bottom line, watu wamefariki, mavazi hayatabadili ukweli. Tuamke jamani na kuachana na fikira POTOFU.

    ReplyDelete
  5. wewe hapo juu ni mwehu na mkichaa hii sio asili ya muafrica wala mtanzania kuzika namna hii hasa ukiwa lipstick juu hiyo ni jadi ya kizungu kwa sisi hatuna hiyo tena usinisikitishe kwamba tumekupoteza namna hii. kwanza uchungu wa kupoteza mtoto hukumbuki hata kofia kichwani tuulize sisi tulio zaa wewe unaropokw ahujui mtoto anauma vipi.sisemi kama hawana uchungu hapana ni wazazi ni mtihani mgumu kwao ila nakujibu wewe kibaka hapo juu unayetaka kuweka mambo kirahisi rahisi kw afikira zako.

    ReplyDelete
  6. Anon 1:17am Hii ilikuwa vyote harusi na msiba. Celebration of life and love!!

    ReplyDelete
  7. Serekali inabidi kuupressure ubalozi wa amerika watoe majibu ya kulidhisha sawa kama ambavyo wangeifanyia Tanzania pindi wamerekani wange uwawa katika mazingira ya kutatanisha hapo kwetu, kukaa kimya kama kondoo aliye nyeshewa mvua haisaidii cha msingi ni kuwa bana hawa jamaa watatoa tu majibu mazuri lakini ninavyo ona itaishia kimya kimya tu na viongozi wataona kama ni mapenzi ya Mungu tu!! Inasikitisha sana kuona hakuna ku push ili justice ipatikane na ikiwezekana itasaidia mimi na wewe tusije kuwa victim wa huyu jamaa aliye fanya huu unyama, kama hata julikana basi huenda aka attack another person and who knows? it might be either you or me? Kikwete alikuwa na chance nzuri tu ya kumwuliza rais mwenzake kulikoni lakini aliishia kuomba vyandarua na solar enegy za mahospitali which was fine but he should have questioned this shit too kuliko kutembea tembea na kupiga picha za mapose na mwanaye? Kama angekuwa ni kijana wake ange kaa kimya kweli na kutuma balozi ashughurikiye?

    ReplyDelete
  8. Nakubaliana kabisa na Mizzou hapo juu, hasa rais Kikwete alikuwa marekani kama alivyosema muungwana mmoja kwenye picha nadhani ya pili kutoka juu, kuwa marais na serikali za nchi nyingine huwa zinaweka pressure kwenye nchi waliouwawa raia wao na hii huwa inasaidia sana kwa serikali ya nchi hiyo kuangalia kwa undani na kutoa majibu ya maana lakini wameona wazi rais wetu mwenyewe hakujali na alikuwa marekani habari zilikuwa kila mahali kazi yake akiwa na group ya MICHUZI na kwa WAISLAMU kula futari. na huyu PETER RUPIA sasa kuna habari kuwa anataka KUMUUA dada ambaye alikuwa naye na hatimaye kumdanganya angemuoa SHENA SINARE kwa kuwa shena aligundua utapeli wake na ameanza kutoka siri zake maana alipokuwa kwa Peter alifanikiwa kuangalia some paperwork na kugundua vitu fulani AMETOA SIRI ZAKE NA KUWA WALA SI MWANAUME KATI YA WANAUME AKIWA UCHI UMBO LAKE SI ZURI. na mambo mengineyo alikuwa kama kawaida yake he is a user, using women, he was using Shena for sex and for her to cook for him, maana jamaa anakula kama punda milia. (zebra) NA ALIWAHI KUUWA HUYU NI MUUAJI.

    ReplyDelete
  9. Mimi nilianza kushindwa kuelewa mambo yanakwenda vipi nilipo anza kuona kikwete yupo na mara wakina Michuzi, mara Boston, mara Minesota, mara na mtoto wa miaka 19 wanapiga story wao wawili tu hotelini baada ya kikao cha UN kuisha, na hiyo gharama yote niya mlipa kodi mlalahoi, wakati msiba unaendelea mwenzake Michuzi naye anakuja na picha akiwa anafaidi Futali kwenye nyumba ya mshkaji wake sijui, hakuna mahali nilpo ona anasema Kikwete ana hoji kilicho wapata vijana wake huko Detroit. Kwa nini hakutumia muda wake huku walau kuwapoza na kuwapa ushauri watanzania wengine lakini alipata muda wa kumpa nasaha Hasheem jinsi ya kucheza basket na kuula hapo baadaye.wakati akijua waliokufa ni rika la mwanaye aliye kuwa anazunguka naye mitaa ya marekani na company yake ilikuwa akina Michuzi.Kupiga picha na kupose na kula Futali...Nashangaa hadi hivi sasa ametulia hajaweka picha za Jay Z? nadhani anaona noma alichemsha huku.

    ReplyDelete
  10. Wewe anonymous wa 5:29a.m. mimi nina mtoto. Ku-dress up kwenye msiba SI KOSA. Toa relationship kati ya kuvaa na msiba tuone argument yako kama ina point. Hizo ni fikira potofu, kwani vazi la mwobolezaji halibadili ukweli kuwa msiba umetokea. Pia hata marehemu wenyewe wamekuwa-dressed up. Huoni marehemu alivyopendeza kwenye jeneza lake? Pia huoni hao ndugu wa marehemu wamevaa nguo nyeusi, rangi ya msiba? Wewe huna point, pia ni mshamba. Ulitaka wavae nguo za viraka ndio uridhike kuwa wako msibani? Acha imani zako potofu ambazo hazina kichwa wala miguu. Unasema sio uAfrica? Mbona uzungumzii kuwa waafrika hao hao ndio wanateketea kwa magonjwa kuliko watu wa sehemu zozote duniani? Waafrika hao hao ndio wenye kuua wazee kwa kuwa tu wana macho mekundu, kwa kuwasingizia kuwa ni wachawi. Waafrika hao hao ndio wenye kukaa madarakani miaka yote kama wafalme, na kubadilisha katiba. Waafrika hao hao ndio wenye nyumba ndogo kadhaa, na watoto wa nje ya ndoa. Angalia facts, sio ushabiki wa kijinga, eti mavazi. Kama wangevaa magunia, au suit, the bottom line, msiba umetokea, na aina ya mavazi KAMWE hayatabadili UKWELI.

    ReplyDelete
  11. MICHAEL JACKSON LEAVES BAHRAINI LABEL


    It looks as though die-hard fans of Michael Jackson will have to wait even longer for the pop legend to release a new album. His last album came out in 2001 and, until recently, the scoop was that Jackson has been working on an album in Bahrain, with a company there called Two Seas.

    Now it seems the King of Pop has pulled out of the arrangement, and that a new album will be released under his new company called The Michael Jackson Company. Among the people he may work with is producer Teddy Riley.

    Two Seas was a partnership with Abdulla Hamad Al-Khalifa of the royal family of Bahrain, where Jackson moved in 2005 after a U.S. court found him not guilty of child molestation.

    Jackson’s album is planned for release in 2007. MORE NEWS

    ReplyDelete
  12. Mimi ndugu zangu siyo mtoa maoni mara kwa mara katika hii blog lakini nimestushwa sana kuona mzee Jk anakuja kwenye kikao cha UN na WATANZANIA wawili wanauwawa hapa hapa marekani Kikao kinaisha Mheshimiwa anawatafuta Kina Michuzi anauliza vipi kuna nini kinaendelea anamwambia kuna watanzania wameuwawa Detroit anamwambia mtoto wa Sokoine akashughurikie baadaye ana sema mpigieni hasheem aje tupige story, baada ya hapo akina michuzi wanamwambia mzee kuna bonge la party Minnesota washkaji wameandaa wanaenda mara tunasikia yuko Boston na kina Keenan na anaambiwa hata Sumaye amearikwa, hee hiyo haitoshi tunasikia michuzi anasema mzee kuna futali la shoka kwa mshkaji wanaenda na huyo Sokoine hadi leo hajatueleza what happened aliomba apewa week naona sasa inakimbilia mwezi nadhani Mzee Mazula afadhali uje mwenyewe ukisubili hawa jamaa uta toka kapa!

    ReplyDelete
  13. ebu na nyinyi pumbavu fungeni midomo yenu.mmekalia Raisi raisi,sasa huyo raisi ndo tayari hakwenda msibani,au mnadhani cheo cha raisi ni kama cha mabosi wenu huko mnakofagia fagia? mapolisi nao wanashindwa kutoa chanzo,na watu ndo waishakufa.gangeni na yajayo,mnakaa kushikilia mambo ya nyuma 2 ndo maana hamuendelei!

    ReplyDelete
  14. Wewe Dada sitaona ajabu ukiniambia umetaariwa kwa jinsi tu unavyo ongea inaelekea tabia yako ni sawa kabisa na wacheza mdundiko na ama wauza kashata...watu wanatoa point wewe umekalia umbeya umbeya hujui unachosema siajabu umekosa visa few days ago...

    ReplyDelete
  15. I think its high time michuzi u control the comments posted on the blog, ensure irrelevant comments dont make it in here. People you need to be civilized!!.
    All our prayers are with the Nkya and Mazula families.Allen and George keep your heads up.

    ReplyDelete
  16. wewe anoy 11;38 hapo juu kidogo unaongea kama watu walio lewa pombe za kienyeji inaonesha nyie ndiyo wale wanao kuwa raped na kesho unaamka unasema yaliyopita si ndwele tugange yajayo Sasa hujui kama tusipo cure hiki kitabia cha viongozi kuto wajibika kwa raia wao labda wewe na mabwana zako wanywa mbege hamta pata justice pindi pale mtakapo firwa na ama kulawitiwa na wasukuma mikokoteni?

    ReplyDelete
  17. Jamani mimi nimeongea kwa nia njema mnaopenda kukosoa kosoeni lakini sikufurahishwa na kitendo cha JK lakini najua kila mtu ana uhuru wa kufikiria anavyo penda, lakini matusi ya nguoni naona haya fai humu ndani tukosoaneni bila kutoa matusi ya nguoni. Jk alitakiwa kuonesha uzarendo alipokuwa huku. Minessota na Detroit siyo mbali vile kama aliweza kukaa na yule mtoto wakapiga story na kisha kwenda Boston na baadaye kwenda Minessota kwenye BBQ basi angeweza kwenda na kina Michuzi pia Detroit... I might be wrong but the FACT remain there, you know it so Do I!

    ReplyDelete
  18. Watu humu wanaongea kama walevi wa pombe za kienyeji. Na uliyesema Michuzi aangalie na kuchuja maoni yanayoingia humu naona unapoteza muda wako mpenzi maana it is obvious Michuzi mwenyewe enjoys the vibe. He enterntains this lakini kweli ana power ya kuchuja maoni ONLY kwa washkaji wake kama alivyosema muungwana mmoja mshkaji wake mkubwa ni PETER RUPIA maana anatoa mushki sio wa kawaida kama tulivyosikia maoni yanachaguliwa humu ndani, na kuna wakati waungwana waliwashambulia na kimwana wake Irene, toba waliingia watu humu jamvini kuwapaka na kupiga maswali na kumshangilia ati MHESHIMIWA MICHUZI POA SANA kwa kuyafutilia mbali maoni yale. Matare Nyerere akapakwa sana maana kwakweli ni looser fulani ambaye ana wivu tu na Rupia, kapakwa hapa na kuhisiwa kuwa yeye ndio aliyekuwa mrushaji wa maoni yale pengine ni kweli maana waungwana walivyomchamba hawa wapenzi wawili hatuoni maoni machafu juu yao. isipokuwa sasa tu kuna LATEST nyaraka mpya kuwa Peter ametishia kumuua ex-girlfriend wake Shena Sinare. Naona haya maoni ni muhimu kwenye humu jamvini kwakuwa tuko kwenye topic ya mauaji ya Walter na Vonetha LAKINI je hamna hiana kumwaga maoni ya namna hii? jee kimwana wake akisikia (Irene) na kama hamna uhakika na ukweli mnampakazia tu Peter itakuwaje. Jamani mjini hapa acheni umbea. Kama habari zinavyosema Peter ndio alimdampu Shena? sasa hamuoni kama haya yatakuwa ni maneno tu ya mkosaji? huyo Shena atakuwa anamtangaza tu vibaya, kumuharibia maana kama tunavyoona maoni ya waungwana wengine nikwamba Shena mwenyewe ndio alitaka kujiua. Get a life girl, just leave Peter alone. unavyomtangaza uongo na ubaya ndio unazidi kujipaka mavi mwenyewe, huu ni ushauri wangu kwako. Pole sana. Hapa duniani kufungua midomo michafu haisaidii kabisa waungwana huwa wanawashitukiwa watu kama hawa. NARUDIA"""" HAYA NI MANENO YA MKOSAJI.

    ReplyDelete
  19. THE 1ST GUY ON MY RIGHT HAND SIDE IS REAL HANDSOME..POLE SANA,ITS OUR WAY BAK TO OUR HEAVEN FATHER WE'VE TO AGREE WIT IT...

    ReplyDelete
  20. Napakaziwa tu huyu demu sijawahi kufikiria kumuua alikuwa mwingi sana na ndiyo maana tumeachana ni kweli nilimwua mlinzi wetu lakini huyu mama sijathubutu hata siku moja.Michuzi ni rafiki yangu wa siku nyingi sihitaji kumlipa ili atoe habari nzuri. Mimi ni Super Star hapa Dar siitaji kumuua huyu mwanamke nimemshit na kinamuuma tu ananipakazia ninauwezo wa kuchukua mwanamke/msichana yeyote unayeweza kumfikiria wewe leo huo ni ukweli na hata kama hutaki nipe jina la mrembo yeyote aliye kushinda nitamchukua. Michuzi usisikilize hao wanaotaka kutugombanisha tena basi naomba ukipata muda tuonane Sea Criff jumamosi jioni nina issue fulani tuongee, Tena please do not post mambo yangu hata picha please...

    ReplyDelete
  21. Jamani hebu tuwe na adabu kidogo, who cares about Rupia? yani msiba wa wengine mnaongea ujinga wa mpuuzi mwingine, kama hamna kazi mkalale.
    Na wewe unayejiita Rupia, hao wanawake wanaokukubali ni wapuuzi wenzako, urembo kwani ni nini? mtu mwenye akili hawezi kusumbuka na mjinga kama wewe. Be sensible.
    Na wewe anony wa 12.10 hivi kutahiriwa kunahusiana nini na maoni ya mtu? hebu tuwe na heshima. Halafu hii tabia ya kubabmbikiza wanawake lawama za post za kijinga mshindwe kabisaa! huu ni ufinyu wa kifikra kwani mnalinganisha maoni ya mtu na jinsia yake, there is no proved correlation...
    Finally, hivi jamani toka lini mkasikia rais anaenda polisi kufuatilia mauaji? hebu tufikirie kidogo, Kikwete anachoweza kufanya ni kusisitizia ubalozi wetu ufuatilie hili swala, na hapo tu ndipo ninapowalaumu, lakini siyo awe mstari wa mbele yeye mwenyewe. Kazi ya urais ina majukumu yake, hapa tutakuwa tumevuka mpaka.
    Na kwa wale wasemao tugange yajayo, sheria lazima ifuatwe ili haki ipatikane, hapo hakuna swali kabisa. I hope kesi yao haitabaki kwenye 'unsolved mysteries'.

    ReplyDelete
  22. nina piga marufuku mtu muongelea mambo ya Peter Rupia na mpenzi wake Irene au Ben Mulokozi.Matare wameachana na Irene.
    wenye wivu wajinyonge. Nataka tuwafariji wafiwa tu.uchovu wa kuosha vyombo na kufua chupi za mabibi ulaya msituletee wakati tunamachonzi
    Poleni wafiwa

    ReplyDelete
  23. ACHENI NYOKO NYOKO HAPA KUMAAMAE - WANYAMA TU NYIE, KWANZA HUYO ANAYEJIITA RUPIA HAPO NI MWONGO HAIWEZEKANI RUPIA MWENYEWE AKAINGIA HAPA KWENYE BLOG NA KUTOA MAONI KAMA HAYA KUANDIKA WAZI ANAKUBALI ALIMUUA MFANYAKAZI WAO LAKINI SIO KWELI KUWA AMETISHIA AU KUTAKA KUMUUA ALIYEKUWA KIDOSHO WAKE NA AKAMTOSA - SHENA SINARE- NAONA THIS GUY REALY ADMIRES RUPIA AND WANTS TO BE JUST LIKE HIM. NA KUNA MTU MWINGINE AMEJIFANYA KUTUMIA JINA LA MICHUZI NA KUTOA MAONI YA OVYO- MICHUZI MWENYEWE AMETOKA KWA KUCHAPISHA JINA LAKE KWA RANGI YA BLUE NA KUWAAMBIA WADAKU KUWA ALIYEANDIKA KWA MAANDISHI MEUSI SIO YEYE THE REAL MICHUZI. AAH! JAMANI ELIMU FUPI NI KITU KIBAYA SANA, INAONYESHA WAZI HAWA WATU HAWANA KAZI YA MAANA. KAZI KUINGIA MTANDAONI KUANDIKA UTUMBO.

    ReplyDelete
  24. kumamako wewe unayejiita software-b gates. ni mpambe nini wewe, maana umemtaja na beni mulokozi, sasa unapiga marufuku watu wasimwongelee Peter na Irene? pamoja na Beni? unajua taarifa za huyo Beni? ni fala fulani hivi ambaye anatomba nje wakati anamke nyumbani na najua naongea nini maana alikuwa anatombana na rafiki yangu akimsagia mkewe kuwa alikuwa potabo zamani sasa kajiachia ni mnene kama shangingi fulani hivi na kuwa sio poa tena kufanya mapenzi maana ana tumbo kubwa. (loh! yeye mwenyewe hajioni alivyokuwa na tumbo kubwa ka ana kwashakoo) kwahiyo anamwambia rafiki yangu kuwa anainjoy sana kufanya mapenzi na yeye kwani ni potabo. Si ushenzi huu si amwambie basi mkewe aende jim kufanya mazoezi na aache ulabu ili apungue awe potabo? badala ya kumsagia kwa wanawake wa nje. Huna akili wee.

    ReplyDelete
  25. ACHENI KUONGELEA MAMBO YA WATU YASIYOWAHUSU, KAMA NI KUMKOMESHA SHENA SINARE AACHE KUPAKAZA JINA BAYA NA UONGO KUHUSU PETER NI SAWA. KWANI SI HAKI, WABONGO SIKU ZOTE HUWA WANAJITOKEZA KUTOA UKWELI PALE PANAPOSTAHILI, NA NADHANI MPAKA SASA UKWELI UMEJULIKANA. SANA HUYU MSICHANA AACHE UONGO. IMETOSHA. KAMA ANATAKA KUJIUA HALAFU ASINGIZIWE PETER NDIO MAANA AMEGEUZA STORY AMEPIGA CHINI HOLAA MAANA UKWELI UTASIMAMA. TUWAOMBEENI MAREHEMU WALTER NA VONETHA JAMANI ACHANENI NA KICHAA HUYU, ANATAFUTA ATTENTION SASA, TUMECHOKA NA HIZI STORY.

    ReplyDelete
  26. Again, kwa familia za hao waliotutoka, poleni sana...Life goes on! Mungu awalaze pema peponi waliotutangulia.

    Baada ya maombolezo, tutafakari hili: Tangu tupate uhuru, ni Watanzania wangapi wamepoteza maisha yao wakiwa ughaibuni? Labda Wizara yetu ya Mambo ya Nchi za Nje na ushiriano wa Kimataifa utusaidie na takwimu.

    Watanzania na ninyi...wacheni kukimbilia maisha ya the "uselebriti" of the rich and famous! Hiki ndicho kiini cha mfarakano, kama upo, katika blogu hii. We all die as human beings in this one our world!

    ReplyDelete
  27. Sasa wewe anony wa 6:38 hayo matusi uliyomwaga hapo juu ndio akili ndefu? Kama ni hivyo ni afadhali kuwa na akili fupi kuliko hiyo akili yako ndefu yenye lugha za chooni.

    ReplyDelete
  28. Malalamiko meeengi ndugu zanguni. Mara mmemtaja Mh.JK, Nd.Michuzi, Bw.Peter Rupia, nk.
    Jamani huu ni wakati wa huzuni na maombolezo kwa wote sisi binadamu ;- vifo vya marehemu wapendwa vilikuwa siyo masihara, vya kikatili na kinyama! MUNGU awaweke pema peponi. AMINA.
    Kuhusu kumkosoa Raisi na wengineo viongozi waliopita: Mbona ikifika wakati wa uchaguzi mnapotewa na fahamu?!!! Chagueni basi watu au viongozi Waliosoma, Waliotembea(exposed) na wenye tabia za kujiheshimu ili waweze kuliongoza na kuliwakilisha Taifa letu kikamilifu na siyo kuwa na Taifa la Bendera Fuata Upepo.
    Wasalaam.

    ReplyDelete
  29. huyo kikwete hana mpango wowote bora angemtuma hata mwanae, limbukeni wa starehe na washamba wenzake kina michuzi.

    ReplyDelete
  30. NI KWELI KIKWETE HANA MPANGO, NA KWANZA HATA ALITOLEWA KWENYE GAZETI MOJA HAPA, KUWA HAONI HATA HAYA HAWEZI HATA KUFANYA SIRI JINSI ANAVYOPENDELEA NA KUWAPA VYEO VYA SERIKALI KWA WAISLAMU, NA GAZETI HILO LIKAORODHESHA MAJINA YOTE NA WIZARA ZOTE NA KADHALIKA. ONA ALIVYOFANYA MAREKANI WAKATI YUKO KWENYE ZIARA YAKE HIYO WATANZANIA WAMEUWAWA HATA HAKUJALI KAZI YAKE NI KUTEMBEA NA KINA MICHUZI KUPIGA PICHA NA KULA FUTARI. SHAME ON HIM.

    ReplyDelete
  31. oyaaaaa! nyie wabongo hamko-civilized ya kutosha tangu babu yenu Julius kufariki na nidhamu mmetupa kapuni, hii sehemu iliwekwa kwa ajili ya comments za wafiwa na famili na marafiki, sio watu hohehahe mnaotoa maoni yasiokuwa na kichwa wala miguu, shikeni adabu zenu, na adabu ziwashike! alaaa, msilete mambo yenu ya kihuni hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...