mfalme mswati akiwa na mama yake na mama jk siku ya ngoma ya manyasi ya kuchagua mke mpya. wanaharakati wamepiga kelele sana kwa nini mama jk alihudhuria sherehe hiyo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. 1st Lady alikuwa ngomani sio?

    ReplyDelete
  2. Hivi si vitu vya kushabikia, huu ni uzalilishaji wa wanawake, binadamu gani anayeweza kuwatosheleza wanawake 16, wanawake 70 kama baba yake, mama JK ametia aibu kuhudhulia huu upumbaf, na nina muomba mwenyezi mungu ausambaratishe.

    ReplyDelete
  3. Yes kwa usema kweli kachemsha ila watu hatutaki kukubali ukweli!!Kila mtu anakosea na uungwana ni kunyamaza kwa mtu kama yeye au wengine ni kuomba radhi!!!Kwenye ukweli uongo huwa unajitenga!Nashangaa sana eti kuna watu wanamtetea wakisema ni mila!Jamani si kila mila ni nzuri!!Kama ni hivyo basi tusivae nguo sababu babu zetu hawakuvaa na ilikuwa mila yao.Hapo kwa kweli kama si yeye binafsi basi pia washauri wake hawafikiria "the impact ya hiyo safari".Iwe fundisho next time wakumbuke kuwa huyo sasa ni image ya Taifa!

    ReplyDelete
  4. mama kikwete kajaaliwa sura.

    ReplyDelete
  5. Hiyo empire ni wanyoyaji wakusifika dunia nzima makanisa na viongozi wengi wanawapinga, sasa yeye kama 1st lady anafuata nini huko?
    Ina maana anasupport sio! Wakati tunamtegemea kwa maendeleo ya MWANAMKE na yeye anasupport KUANGUSHWA kwa mwanamke.

    ReplyDelete
  6. Wajinga nyie hamjui ni muhimu kuheshimu tamaduni za wenzenu? Mama mtu mzima kama huyu akikualika kwenye sherehe yake unatakiwa ukubali. Siyo uafrika kukataa mwaliko ambao mwenzako anaona ni muhimu kwake.

    ReplyDelete
  7. Aliyeuliza swali hapo juu kuwa kwanini mama jk alihuzuria sherehe hii. lazima ahuzurie kwani jk ndio zake ni kwamba tu wabongo hairuhusiwi si mila zetu kufanya wazi kama waswazi. mmesahau kata alipokuwa hapa wizara ya mambo ya nje mashangingi walishikana ngumi hapa. labda baada ya kuwa rais atakuwa ameacha ngono. lakini laa.. sizani lazima atakuwa sasa hafanyi tu wazi atakuwa anafanya kinyemela.

    ReplyDelete
  8. kikwete mwenyewe alihudhuria sherehe ya inti yake salama huko bagamoyo alibebwa juu juu(kunemwa)mkoleni maziwa nje na baba yake yupo mila ni ngumu kama dini

    ReplyDelete
  9. Mfalme Mswati, kijana anakula nyama tofauti kwa kwenda mbele. Well, huyu jamaa aliyesema babu zetu hawakuvaa nguo, basi na sisi tusivae nguo; amemiss the whole point. Mababu zetu walivaa ngozi, sio kwa sababu ni utamaduni wao, bali walikuwa hawana nguo. Hii mambo anayofanya Mswati ni utamaduni, na utamaduni ambao hauna faida, una-fade away slowly. Sasa hivi baadhi ya wake zake ni higly educated with respectable professions, a medical doctor and a holder of MSc. Computer Science. My collegue, a holder of MEng. Chemical Engineering was planning to go and be one of the girls, "wives to be" but could not qualify. It is more than just 3/4 naked girls, it is cultural thing, a dream for every girl, a tradition wealth and respect for the family. We can critisize all we can, but we won't understand the feelingof being a Queen number 17. Everygirl wants to the next queen in line. Why shouldn't first lady attend such a ceremony. Trio Kaka remind them, nani pale bongo hana nyumba ndogo? The worst thing is they hide their nyumba ndogos. In a developed world they call it a bootcall, night stands, chupi mkononi and more, come to the basics, it all mean sleeping with multiple women. Mswati anaongeza one at a time a year, wewe unangeza wangapi in a week? Even the girls, how many guys screws you in a month? je hao hawakudhalilishi?. Think about it. Big up first Lady, lakini usikae kimya sana na wewe wasaidie kina mama kiaina bongo pale, kulekwetu Ndandavyonga na MpigiMagohe tunahitaji msaada wako mama.

    ReplyDelete
  10. We wa juu yangu na huyo na huyo picha zenu mmetoka matakoni kwa mama zenu am sure, au mlizaliwa guest house.
    Watu duniani wanafight na civilization ya mwanamke nyie mnasupport utumbo. Muulizeni mama Migiro kila leo yuko wapi na kina nani kuzungumzia nini?
    Wote nyie maridha ya mkundu ya mama zenu yamefumuka kama sketi ya jangwani au zanaki.

    ReplyDelete
  11. WEW PICHA ZENU ETII "MAMA KAMA HUYU" HUYU MAMA NI MAMA WA KAWAIDA TU KWA WATU WOTE WOTE ZAIDI YA WATUMWA WAKE! HAKUNA CHA LAZIMA KWAKE.
    WACHA MAMBO YA 1206 TUKO MILLENIUM SASA HAKUNA KUABUDIANA NI HESHIMA KWA WOTE WATOTO KWA WAKUBWA.

    ReplyDelete
  12. watu wanapanga maendeleo wao wanapanga yupi nikalale nae duuh !!

    ReplyDelete
  13. We Trio kaka na huyo picha zenu, mana akili timamu au mnafanya utani? Hivi huyu mama first Lady siku nyingine akialikwa kwenye harusi ya mashoga na Lesbians aende tu kwa sababu ni mila za hao wanaofanya hivyo? Huyu mama tatizo ni mshamba kaingia Ikulu na ushamba wake. Kwamba kuna watu bongo wanafanya ujinga haihalalishi ndio Watanzani tu-ssuport ujinga huo.

    ReplyDelete
  14. We Trio kaka ulikuwa unachangia hoja za maana, naona ulipotea kwa muda, sasa umerudi na pumba, au ulevi umekuzidi?

    ReplyDelete
  15. Mimi sioni cha ajabu. Mswati anapata mke wa 17. na kuoa wakje mwengi kwa mfalme sio kitu cha ajabu.

    Hawa wanaharakati wanamatatizo na wengi wao hata ndoa zimewashinda. Wanapigania haki kwa kiwango cha kusema kwanini mboa iingie kwenye kuma zao na ndo maana hawawezi kuishi na waume. Angalia TGNP, TAWLA N.k ni vikundi vya ma feminist ambao hawataki kumuona mwnamume.

    Mama kikwete achana na hawa wanaharakati. Kwanza wewe ni mrembo sana yaani umekamilika. Yawezekana hawa wanaharakati wanakuonea ndonge

    ReplyDelete
  16. Jamani Mama Kikwete anajua kupangilia mavazi yake sana anapendea kwelikweli kama first laddy tofauti na alivyokuwa Mama Mkapa. Ila mama Kikwete ana dosari moja hatoi hotuba yake kwa kiingereza hata siku moja, akihutubia mkusanyiko wa watu wasiojua Kiswahili, yeye atasoma kwa Kiswahili, inabidi apate tution ya Kiingereza ili aweke mambo sawa.

    ReplyDelete
  17. Uwii!!Uwii!!! Jamani Msaidieni Rais Kikwete ona mama kikwete anavyomrembulia macho ya ngono mfalme Mswati na ona Mfalme Mswati anavyomkodolea jicho la uzinzi Mama kikwete.Kikwete mwanangu yasije yakakukuta ya Graca kuolewa na maraisi wawaili Samora Machel na Mandela.Wanawake wa kusini wanawapenda sana wanaume wanaoyaweza majambo vitandani. Mswati ana uwezo wa kutembea na wanawake zaidi ya 16 non-stop.Akikutana na mama Kikwete nakuhakikishia Mama Kikwete hatarudi Ikulu ataishia huko huko kwa utamu.Hatajali kama uli.Shauri yako Kikwete na sasa Mama Kikwete kaanza kumsaka Mswati kakuletea hadi Ikulu Mama Mswati,Mama mkwe wake kigereshageresha na wewe Kikwete umetoa macho unacheka cheka ovyo kama mcheza ngoma ya mdumange.Mwanangu mkeo anaibiwa na Mswati huyo!!! kalaga baho.Humjui Mswati wewe!Na hujamjua Mama Kikwete na wanawake wa kusini au (KUZINI)kama wazungu wanavyokuita.Shauri yako.

    ReplyDelete
  18. Kikwete hata kipesa humzidi Mswati,Mswati akiamua kumhonga Mama kikwete dau lake hutaliweza.Aweza honga bajeti ya wizara na asiulizwe na mtu.

    Siku ingine Mama Kikwete atakuaga kuwa anaenda kumtembelea mama yake mzazi Mswati aliyeitembelea Tanzania kumbe anaenda kulala na Mswati nyumbani kwa mama yake.Mkataze mkeo asiwe karibu na huyu ngedere na kenge anayeitwa Mswati.Ni mbwa koko asiye na haya.

    ReplyDelete
  19. Kwani Kikwete anakatazwa na nani kuzurura na kufanya mambo yake? hebu acheni double standards.
    Besides, this is not the point, hakuna cha TAMWA kumwonea wivu Mama Kikwete, upuuzi ni upuuzi tu. Na kama wanaume wa bongo ( na wanawake) wanaendekeza nyumba ndogo, si sababu ya kuhalalisha vitendo vya Mswati, ndo maana ukimwi utatumaliza, tamaa mbele kifo nyuma! haya na angalia watoto yatima au wasio na baba wanavyojazana, mkiambiwa muwatunze kelele nyingi, mpaka muabishwe kama Mahita.
    Na hao wanawake wanaokubali kuolewa naye kwa taarifa yako ni pesa na status tu, hakuna cha skill za mswati wala nini, yote tamaa ya ukubwa unataka kuniambia hao wanawake wanampenda?. Na anamaliza pesa za maendeleo ya nchi kulisha familia kubwa, Swaziland maskini, ukimwi tele yeye anajiolea tu, hata sijui akili huwa tunatupa wapi saa zingine. Na offcourse mama yake akili fupi tu, ndiyo maana akaolewa na baba yake...halafu ndo rafiki wa mama Kikwete, kamkuta mjinga mwenzake.
    Na mnaomsagia Mama Mkapa, sawa labda hakuwa presentable mnavyotaka, lakini she had good judgement, she would never do such nonsense.

    ReplyDelete
  20. Maoni ya wanaharakati ni unafiki mtupu na yanalenga kuusaka umaarufu. Si busara hata kidogo kuponda mila za wenzako wakati na wewe unazo mila kibao zinazoweza kutafsirika kinyume na unavyodhani.
    Kwa maoni yangu waswazi wanayo haki ya kudumisha mila na tamaduni zinazowatambulisha kama jamii na taifa.
    Si lazima kila kinachoonekana duni machoni pa wazungu (Wafadhili wa TAMWA na Waganga njaa wanaojitambulisha kama wanaharakati wengineo) kiwe kweli duni. Mbona sisi hatuzikosoi mila zao za kupigana mabusu hadharani hata mbele ya watoto waliowazaa, kuficha matiti na kuacha nyeti nje, kuogelea wakiwa watupu wao na watoto waliowazaa wenyewe n.k.
    Wakati umefika sasa kwa watanzania kuwashtukia wajanja wanaounda NGO's zenye nia ya kuzitukuza tamaduni za wazungu kwa gharama za kuponda zetu. Kuna ubaya gani nchi kuendeleza mila inayowahimiza mabinti kuutunza ubikira hadi wanapotimia umri fulani ambapo wakifaulu hufanyiwa sherehe maalum ikiwa ni pamoja na mmojawapo kuchaguliwa kuwa 'mke' wa Mfalme ambaye mara nyingi huwa mke wa alama(Symbolic) tu? Hao TAMWA wanaweza kutupa idadi ya mabinti wetu waliofaulu kujitunza hadi kufikia umri wa miaka 21 hapa kwetu? Au wanawaonea wivu wenzao waliofaulu kutunza utamaduni wao?

    ReplyDelete
  21. I Vanessa,
    na umasikini wangu huyu mtu wenu mimi, in my dead body! Nitambaka yeyote yule mbele yangu kama ukame umenizidia, lakini huyu...please...kichefu chefu....puh!
    He is NOT a MAN! 4 me anyway...sorry others.

    ReplyDelete
  22. Hakuna mila duniani unayoweza ita ya wazungu,waafrika,waswazi n.k wanaharakati tunachojua kuna aina mbili tu za mila.Mila nzuri na mbaya basi.Watu msio wanaharakati mlifahamu hilo.Mila za waswazi mbaya.Kabla ya sherehe vibinti huanikwa uchi na vibibi hupita vikiwapekenyua pekenyua sehemu za uchi wao,kabla ya kuvianika matiti nje mbele ya Ngedere mkware anayeitwa na Machizi wa Kiswazi kuwa ni mfalme Mswati. Mila za kutembea uchi hadharani mbaya.Na ndiyo maana mama Kikwete tunamshambulia bila kuogopa kwa sababu anashabikia mila mbaya akiwa mke wa mkuu wa nchi aliyeshinda kwa asilimia 80.Hatuna tatizo na waswazi kama waswazi sisi agenda yetu ni kushambulia kila mkaa uchi hadharani awe Mama Kikwete au wewe unayetetea upuuzi wa Waswazi au mpenda uchi na mshabikia wakaa uchi yeyote awe mama kikwete au wewe unayetetea waswazi kwa kuita eti ukaa uchi ni mila.Kweli wewe kahaba.

    ReplyDelete
  23. Hakuna mila duniani unayoweza ita ya wazungu,waafrika,waswazi n.k wanaharakati tunachojua kuna aina mbili tu za mila.Mila nzuri na mbaya basi.Watu msio wanaharakati mlifahamu hilo.Mila za waswazi mbaya.Kabla ya sherehe vibinti huanikwa uchi na vibibi hupita vikiwapekenyua pekenyua sehemu za uchi wao,kabla ya kuvianika matiti nje mbele ya Ngedere mkware anayeitwa na Machizi wa Kiswazi kuwa ni mfalme Mswati. Mila za kutembea uchi hadharani mbaya.Na ndiyo maana mama Kikwete tunamshambulia bila kuogopa kwa sababu anashabikia mila mbaya akiwa mke wa mkuu wa nchi aliyeshinda kwa asilimia 80.Hatuna tatizo na waswazi kama waswazi sisi agenda yetu ni kushambulia kila mkaa uchi hadharani awe Mama Kikwete au wewe unayetetea upuuzi wa Waswazi au mpenda uchi na mshabikia wakaa uchi yeyote awe mama kikwete au wewe unayetetea waswazi kwa kuita eti ukaa uchi ni mila yao nzuri.

    ReplyDelete
  24. ANONY WA OCT, 10. 3:51 NAKUUNGA MIKONO!! HILO VANESSA NDIO JINA LAKO? WEWE NDIO UNAYEFANYA KAZI YA KUCHEZA SINEMA ZA PORNO DENMARK NA PIA UMEAJIRIWA BUNGENI KWAO?
    SORRY KAMA SIO WEWE, KWANI KUNA MMBONGO HUKO DENMARK CYNTHIA NYUMA, LAKINI YEYE KWA STYLE YAKE MWENYEWE!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...