mfalme mswazi wa uswazi akielekea kuchagua jiko jipya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyu ni kiongozi mmoja nayechukiwa na viongozi wa nchi za kimaendeleo na Bush kuzidi Mugabe!
    Anawafanya watu wengi sana watumwa na kushusha thamani ya mwanamke wa kiafrica.

    ReplyDelete
  2. Huyu mjomba atakuwa anapata sana uroda, labda daily du!

    ReplyDelete
  3. huyu hata nguvu za kiume naona zitakuwa zinakaribia kuisha kabisa hata 40 years hajafika,we mtu gani kila mwaka unabikiri na kuoa upya,yaani simpendi kwanza anaweza akawa hana akili timamu,pia anaweza kuwa na ngoma maana nilimuona live kwenye tv midomo imechubuka na imekuwa myekendu.

    ReplyDelete
  4. Hawa wanaume wote wana matiti? Ila huyu Mswati itabidi hata kama siyo atakapokuwa hai, watu wapime akili yake kujua kama ziko sawa.

    ReplyDelete
  5. Mswati ataishia kukojoa kwa shida uzeeni.Kama hajui hasara za ngono za mfululizo na wanawake wengi amuulize Rashid Mfaume Kawawa ambaye anatumia mpira kukojoa na anatembea kwa taabu kubwa!!!

    ReplyDelete
  6. yani huyu ni tamaa tu mila gani hizi mbovu na zimeoza. Wanawake wote hao wanini kama sio uroho tu. Na hii inaonyesha fika kuwa huyu jamaa ni mwehu . Na nchi za hivi wanawake hawana dhamani kabisaaaaaa nawashanaga wamepanga foleni ni shida tupu na misifa tu hamna love kabisa !!!. MICHUZI tuwekee picha je alimchagua mke gani maana amejitia kutoka kifua wazi ova kama kinavutia kazi kunyesha manyonyo tu !!!hahahah

    ReplyDelete
  7. Yaani huyu Nyani ndio anaitwa mfalme Mswati? Tanzania ivunje uhusiano mara moja hatuwezi kuwa na uhusiano na nyani kama huyo.Ndio maana wazungu wanasema mtu wa kwanza alitokana na nyani!!! kumbe waliangalia picha ya mswati!sasa naelewa vizuri Somo la Historia.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...