WAPENDWA. NAHITIMISHA POSTI ZA MASIBA WETU HUU MZITO KWA PICHA HII YA MSAFARA WA MWISHO WA WALTER NA VONETHA JANA. BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI, AMINA.

PIA NATOA SHUKRANI KWA WOTE MLIOFUATILIA MATUKIO YOTE KUPITIA BLOGU YENU HII. NAFARIJIKA SANA KUFAHAMU KUWA WENGI MNATEMBELEA BLOGU HII AMBAYO HAKIKA KWA SASA SI YANGU TENA NA KILA SIKU NAJISIKIA NINA DENI LA KUWALIPA. NAOMBA MUNGU AIENDELEE KUNIPA NGUVU NA UVUMILIVU WA KUWARIDHISHA. SIDAI CHOCHOTE KWA YOYOTE ZAIDI YA STAHA, UPENDO NA UMOJA WA KUJENGA NA SI KUBOMOA UTANZANIA WETU KWA MAONI YASIYOJERUHI MTU AMA WATU AMA SEHEMU YA NCHI YETU KWA NAMNA YOYOTE ILE.

ASANTENI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 22 mpaka sasa

  1. Bwana Michuzi hata sisi wabongo wa Ughaibuni tunakushukuru sana kwa kutupatia hizi taarifa za msiba kutoka nyumbani TZ.

    ReplyDelete
  2. Bw. MICHUZI,Uungwana wako tunaupokea kwa mikono miwili,kwa sisi tuliopo UGHAIBUNI,wewe umekuwa kiungo muhimu,kati yetu na watu wa nyumbani,kwa kutupa picha na mambo yanayoendelea huko.Sina shaka kabisa kuwa umebobea vyema kwenye fani/taaluma yako.Tunakuombea mema na tupo bega kwa bega nawe,pale utakapohitaji msaada wowote ili kufanikisha AZMA yako ya kutupasha habari,na hata pia kutuongoza!Ni Binadamu wachache mno wanaokubali shutma na kuzifanyia kazi.We u mmojawapo.Kila la kheri Mheshimiwa!!

    ReplyDelete
  3. Bwana Michuzi-

    Mimi binafsi ninapenda kutoa shukurani nyingi sana kwa kazi nzuri unayoifanya ya kututaarifu na kutupasha habari kuhusiana na matukio mbalimbali yanayoizunguka jamii ya Kitanzania...ahsante sana.

    Tunashukuru pia kwa kutupostia picha lukuki tuu za kuhusiana na huu msiba wa marafiki zetu wapendwa Walter na Vonetha.

    Mungu akuzidishie moyo wa kutoa;vijimaneno hivi na mitusi kwenye hii blogu visikufanye urudi nyuma, kwani binadamu mara nyingine huwa tunaropoka tu kufurahisha genge.

    Ahsante sana!!!

    ReplyDelete
  4. Kaka ahsante sana kwa habari unazotupa. Nashukuru kwa kutupa step by step ya huu msiba huko nyumbani. Kwani tulikuwa tunasubiri hizo picha na kweli tumezipata kwa muda upasavyo. Kwaheri Walter, Kwaheri Vonetha tutawakumbuka siku zote. Michuzi you're more than a blogger now you're family. Mungu akujalie neema. Again Ahsante

    ReplyDelete
  5. Thanks zikuendee mzee Michuzi, u've made us feel involved through all this time even though we are not back home to witness mazishi ya ndugu zetu.
    Tunajua tungeweza kusema mengi lakini tutarudi palepale, so the bottom line ni kusema ahsante sana
    RIP Walter & Vonetha
    pEACE

    ReplyDelete
  6. Kidume kuwa dume basi, mambo ya kulia kila siku ni ya kike Rais ana watu milioni 30 and not just 2, Mimi ni mshikaji wa karibu wa both families but I understand that, we acha kuleta politics kwenye mambo mengine hapa tunamalizia hii issue kwa kumpongeza michuzi kwa kazi aliyofanya wewe na malalamishi yako sio nafasi yake hii

    ReplyDelete
  7. Hii ndio kazi aliyoisomea bwana Muhidin Michuzi.Tunashukuru kwa kuwa unawajibika kwa ajili ya watu wote kwa manufaa ya nchi.Endelea na moyo huo huo na Mungu atakujalia kheri.Kazi njema.
    N.B Tunaomba tarehe 14/10 utuwekee picha za mazishi ya Mwl Nyerere.Asante

    ReplyDelete
  8. NO, NO, NO, MICHUZI TUNATAKA UTUPE TAARIFA YA UKWELI YA VIOLETA UNAYOISIKIA LAKINI MNAWAFICHA FAMILY MAZULA KUWA:
    BIBIE ALIKUWA NA BWANA MMAREKANI MWEUSI ALIKUWA ANAMTAPELI ILI APATE KARATASI, HALAFU AMUOE WALTER ILI NAE APATE PAPER SIO. NAJUA NI KITU CHA KAWAIDA HUKU NG'AMBO, LAKINI UNAANGALIA NA WATU WA KUWATAPELI SIO?
    LAKINI YEYE NIGGER BABA YAKE HALINA NYONGO SIO, LINAWAFUCK WOTE NA YOU CAN DO ANYTHING ABOUT IT!


    NA KWA WALE WANAOTAKA KIKWETE AINGILIE, POLENI KWANI MNATAKA KUNIAMBIA WOTE WANIGERIA, GHANA UGANDA, BRAZIL, MEXICO, WAARABU, YAANI WAEUROPEAN, AFRICA, SOUTH AMERICA, CARRIBEAN, NA WAARABU KILA RAIA ANAYEULIWA U.S.A BASI RAISI WAKE LAZIMA AINGILIE?
    BASI ITABIDI WAHAMIE HUKO HUKO MAANA KILA LEO WANAULIWA, LAKINI U.S.A TUNAJUA JUSTICE YAO WENYEWE NDANI YA NCHI YAO NI VERY WEAK.

    ReplyDelete
  9. Sasa hapo juu unataka Michuzi ndio akueleze yeye ndio anajua ukweli? Kama ulichokiandika ndio ukweli sasa unataka kujua "ukweli" gani mwingine? Si ushaujua ukweli then stay with it. Why don't you get a life and move on with your life? Acheni vijiba vya roho visivyokuwa na msingi hata kwa marehemu.
    RIP Walter & Vonetha

    ReplyDelete
  10. If u argue with fools you gonna look like a fool too.
    Kama una akili yako timamu utajua mwenyewe kama unasikia story nne, tano kwa jambo moja what does that tell you? I dont know about you but mimi inamaanisha ni utunzi wa watu kwani kuna ukweli mmoja tu na kama unasikia mambo matano tofauti then use your brain if you got it
    RIP W & V

    ReplyDelete
  11. RIP Walter na Vonetha! Mzee Michuzi naomba ujue kuwa siwezi kuwasemea wengine lakini ukweli ni kwamba wengi taarifa nyingi tunapatia hapa. Shukrani kwa hilo ! Halafu nakutakia kila heri, na napenda ujue kuwa tukopamoja kama wana mablogu na pia katika kujitolea kwako ku endeleza kublogu ingawa watu wengi hawaelewi kuwa niswala ambalo ni la kujitolea tu. Nakutolea kofia Mzee kwa hilo na najua ni mtu unayefaa kuigwa. Tukopamoja na ninakutolea kofia Mzee kwa mambo mengine mengi tu ambayo nimeyajua kupitia katika blogu hii. Simon

    ReplyDelete
  12. White Angels rest in peace ... beautiful couples. You will be remember always. Sorry I couldn't see you off in Bongo but forever in my heat.

    Thank you Mr. Michuzi. God will pay you one day if not right now.

    For the rest who wants to know why , well my loved ones are gone, they truth will never bring them back. Lets leave with ""why's"" coz even though we know the truth, i'm sure it was too late to save them. So, lets join together to pray for their souls.

    ""Let kwangu kwesho kwako""

    ReplyDelete
  13. Huyo jamaa akifiwa asishangae yuko nyumbani pekee yake, espscially kama yuko ughaibuni. hivi watu mnaandika kutafuta sifa au ni kujifanya wajanja. Ni nini ndugu yangu najua kama wewe mtanzania hata kama umetokea sehemu ovyo kupita kiasi this is not a place kwa story za vijiweni. wewe sizani kama hata umelelewa na Baba na mama na kama basi wazazi wako ndio waliokulea huo mfano mzuri kweli wa matunzo yao. hii ni kwa yule aliendika kwa herufi Kubwa

    ReplyDelete
  14. anony.12.18 you have no right to say if you had not proof it or you cannot proof it by your self and truth will set you free je ulikutana na vonetha akakusimulia au walter au unalipika jungu tu wange kuwa ni ndugu zako wa damu unge sema yote hayo kwanza tokea awali walisema anayejua wauwaji apeleke taharifa michigan sasa unampa jaribu michuzi kakwambia ye ni police au mpelelezi uwe una fikiri muda mwingine sio kupeleka mikono tu ktk kibody watakuvisha kanga bure na umbea wako ujishuku mtu we.

    ReplyDelete
  15. poleni sana wakina Nkya na Mazula.Please wa tz ambao mpo marekani
    kaaeni mbali na wa nigger....hasa dada zetu(it does not mean that I am implying kuwa wanigger wanahusika na vifo hivi ingawa kuna possibility hio)
    pia napiga marufuku mtu mumuongelea Rupia, Ben Mulokozi au Irene.Hawa ni watu wema na ni ma star hapa mjini.Kwanini mnawaingiza kwenye issue hii ya majonzi
    Nyie ambao mpo marekani acheni kuteseka na kusota, bongo kuna opportunities nyingi sana, vijana tunaishi maisha mazuri hata tukija marekani yunakaa hoteli kama Marriots, Hilton, Hloiday Inn etc
    RUDINI BONGO, acheni kusota katika nchi za watu.mpende kwenu, hata wazungu wanapakimbilia sana nakuja wakijjita ma Investor

    ReplyDelete
  16. Michuzi,
    Umefanya kazi nzuri sana.Hongera na shukrani.

    ReplyDelete
  17. www.afrointroductions.com

    ReplyDelete
  18. Kwanza naomba samahani Mheshimiwa Michuzi kwani ni lazima nitukane. What a fuck are you talking about MSEMA KWELI, who are you to give advice about the life in the state or anyway in thatcase. Unawaonya kina Dada wawe waangalifu na manigger!!OK Hivi ao majambazi wanafanya uharifu huko nyumbani ni manigger? Umemuonya mamaako na shangazi zako kuhusu ilo jambo. Au sasa umeamua kuandika kwa herufi kubwa ukazani watu hawatakugundua I know your time is up kwenye huo mgahawa wa mtandao na hautarudi humu tena mpaka ulipwe but just incase your friends see this watakupa ujembe. kwanini watu ambao wako ughaibuni awawaambii nyinyi wa huko mnateseka you know why because wana mind maisha yao wewe mind yako kama yanakushinda nenda kuwa mganga wa kienyeji au mchawi

    ReplyDelete
  19. Kaka Michuzi,
    Asante sana kwa kazi nzuri. Hata sisi "Wa Bara" kwa maana ya nje ya Dar Es Salaam umetusaidia kufuatilia matukio kama hili la msiba wa ndugu zetu hawa. Kazi Njema!

    ReplyDelete
  20. Issa bin michuzi tunashukuru sana kwa kutuhabarisha kwa msiba wa ndugu zetu. Pia tunawapa pole wazazi wa ndugu zetu hawa! Mungu ametoa na mungu ametwaa, mwenyezi mungu walaze mahali pema peponi

    ReplyDelete
  21. MICHUZI UUNGWANA WAKO TUNAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI, ASANTE SANA KWA KUTULETEA LAIVU HABARI ZA MSIBA WA WATANZANIA WENZETU AMBAO WALIUWAWA KIKATILI.
    LAKINI TUNAKUOMBA UWAKOMESHE WATU WANAOTAFUTA UFEMASI, NA KUWA POPULA KWA KUTUMIA BULOGU YAKO HII. HASA KWA KUANGALIA HAYA MATANGAZO YA HUU MSIBA NI MUHIMU SANA NA WATU WOTE WANAINGIA HAPA BULOGUNI KUONA KINACHOENDELEA SASA WATU WENGINE WAMETUMIA HII NAFASI KUJITANGAZA WAO.
    UMESHASOMA MAONI YANAYOTANGAZWA NA LABDA NDUGU AU MARAFIKI NA WAPAMBE WA SHENA SINARE, HATUYATAKI MAONI YAKE YA KASHIFA NA UONGO AMBAO HAUNA MSIMAMO. AKISINGIZIA KOSA LA JINAI DHIDI YA ALIYEKUWA MPENZI WAKE PETER. WAKOMESHE HAWA WATU WA NAMNA HII. KAMA KWELI AMETISHIWA KUULIWA, KWANINI ASIENDE KURIPOTI POLISI? ANATUMIA TU WATU KUWEKA MAONI HAPA ILI KUMDHALILISHA PETER. WASOTI OUTI MAMBO YAO SISI WAUNGWANA HATUTAKI KUSIKIA MAMBO YASIYOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU HAPA. ASANTENI.

    ReplyDelete
  22. Kweli mpashe huyo shena na wafuasi wake wanaorusha maoni ya chenga hapa kumpaka kijana wa watu uongo. tena hawana adabu kutafuta kujulikana kwa kutumia nafasi ya maoni ya marehemu walter na vonetha. shame on you all. Wewe shena kama unataka kujiua jiue usibabaishe watu na kutishia hapa, halafu unageuza kibao. mwanga nini weye?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...