mhariri wa sasa wa deiliniuzi isaac mruma (kulia) akiwa na wahariri waliomtangulia wa gazeti hili la serikali. shoto ni charles rajabu na anaefuata ni joseph mapunda. kwa taarifa yako deiliniuzi linatarajia kuanza kuchapa gazeti la kila siku la kiswahili litaloitwa HABARI ZA LEO kuanzia mwezi ujao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mapunda aliua mtu akiwa Managing Editor was Daily News. True Story.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...