baadhi ya bidhaa zinazopatikana pale kwemnye nanihii ya mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. AMAA kweli huko nyumbani sasa mambo safi kama tulipo.SWALI wangapi wenywe kipato cha kuendesha baiskeli watamudu kuingia huko na kuyuyua hizo bidhaa!!najua kwa mwanzo cost lazima zitakuwa kubwa kwa kutaka kurudisha cost of production.

    ReplyDelete
  2. VYOTE VIMETOKA SAUZI HIVYO,CHUNGWA ,LIMAO, BAMIA NK WABONGO SIJUI TUTAUZA NINI MWAKA HUU, TUNASHINDWA KUUZA BIDHAA ZETU NJE NA SASA MPAKA NDANI YA NCHI. AMA KWELI TUMEKWISHA !!!!

    ReplyDelete
  3. Nunueni jamani kaburu sije funga mradi.....hakuna wateja!

    ReplyDelete
  4. UTAJUA TUU CHUNGWA LA SAUZI NJANOOO OVER LIMEPULIZIWA RANGI...
    YETU YA LUSHOTO YAMEPAUKA KIAINA LAKINI MATAMU NA NI ORGANIC TEHE TEHE TIHIII MAMBO YA UK NA ORGANIC....

    SASA KWELI SIJUI SOKO LA UBUNGO, TANDALE NA KWINGINEKO WAZAWA WATAPATA WATEJA AU NDIO SASA ALIYENACHO AONGEZEWE???? NA ASIYENACHO APOKONYWE HATA KILE KIDUCHUUUU.... JAMANI NCHI INABIDI IANGALIE PIA NAMNA YA KUWAINUA WAKULIMA WAKE... VINGINEVYO KWELI TUMEKWISHAAAA.... LAKINI KIPYA KINYEMI SISI WATEJA WA TANDALE NA UBUNGO HATUWEZI HAMA KWANI NYONGEZA, MKOPO, NK HATUWEZI PATA KWENYE MALL KAMA HIZI... SO NEVER MIND

    ReplyDelete
  5. Anon wa 3.38AM umenifurahisha hapo...watatuua miaka hii!
    Anyway, ukweli ni kwamba kila mtu anajua mfuko wake unaishia wapi, tuliozowea kwenda kinondoni sokoni tutakwenda kule kule Kinondoni sokoni, Tandale, Kariakoo n.k na wale matawi ya juu waliozowea kwenda Shoprite, Shoppers Plaza, O'bay shopping center etc etc na sasa Mlimani, wataendelea huko huko. Yote maisha tuu!

    ReplyDelete
  6. hahahahahahahahaha wewe KISURA mtoto wa geti na kwenu matawi ya juu unadhani hatujui hahahahaha eti unajifanya mtoto wa Tandale hahahahahahahahhaahhaha Tandale sidhani hata kama umewahi kufika unapasikia tu magazetini tuachie sisi watoto wa Uswazi.

    ReplyDelete
  7. Watanzania mlioko nje si mje muanzishe maduka kama haya.Hivi nataka niulize pesa zenu huko mnafanyia nini! AHAA nimejua wanaume mnahonga vibibi vizee vya kizungu ili muendelee kuishi huko!!!

    ReplyDelete
  8. michuzi nilitoa comment kuhusiana na bidhaa zinazouzwa hapo lakini ujaweka na sikuongea kitu chochote kibaya,naomba uwe unapokea mawazo ya watu as longer mtu ajatukana.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...