Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. H.E M.S. Maajar, has just lost a child. Can pple give her a break and let her mourn in peace?

    ReplyDelete
  2. katika hiyo shughuli yao ingawa ni ya kitaifa, nahisi Balozi maajar atahutubia tu na kuwaacha wenye furaha wakiselebuka huko ughaibuni na midundo ya nyumbani kwa kuwa alifikwa na msiba wa mwanae hivi punde na bado ana majonzi. si unajua akina mama wanavyokuwa na uchungu kwa muda mrefu

    ReplyDelete
  3. Wewe anonymous 9:40:01 AM sijui kama ushawahi kufanya kazi katika maisha yako au ndio kula kulaa!?,ruhusa ya kuomboleza kwa mfanyakazi wa serikali kwa mtu wa karibu wa familia akifariki si zaidi ya siku saba kwa taarifa yako. Huyo mtoto wa mheshimiwa balozi amefariki lini, sio mnayaparamia mambo wakati hata miongozo ya kazi yenyewe hamuijui. NEnda kajifunze halafu ndio uje utoe maoni mengine..........sawa?

    ReplyDelete
  4. Balozi mwanaidi hamumujui atasakata Dance siku hiyo hadi mzimie anaitwa Mwana Idi siyo Bibi idi kwa wale msiomjua.Yeye siyo bibi kiasi ashinde akiweweseka kwa kifo kilichopita.Ana uwezo hata wa kuzaa mwingine akipenda.Bado mbichi kabisa!Wallah nasikia mate ya hamu yananijaa mdomoni.Ngoja niishie hapa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...