Home
Unlabelled
chonyonyonyooooo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Jamani hawa kasi mpya ari mpya nguvu mpya sasa noma.Taabu hii walisema mwisho novemba lakini madili feki!Kuboronga! Semina elekezi!Misafara mingii kwenda nje wakirudi wanasema si mafanikio hayo!Wakati watu wanasota!Haya tena waliowachagua watalia na kusaga meno!Masikini Tanzania!
ReplyDeleteGenerator aina hiyo ngumu kweli kuwasha.Mpaka iwake lazima mtu ajipinde hadi ajambe na kutoa ushuzi ndio iwake.Richmond mmesababisha uchafuzi wa hali ya hewa kutoka kwa watu wanaojamba wanapowasha Generator na moshi utokao kwenye mikundu ya hizo generator zenyewe zinapowaka.
ReplyDeleteInshallah siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu naye atawabana ninyi Richmond hadi mjambe maruhuni nyie.
Namshauri atumie na hiyo tukutuku hapo nyuma kuongeza uzalishaji wa umeme
ReplyDelete