Home
Unlabelled
game
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shikamoo baba,pole na ziara ya mtwara,unaonekana umechoka!si hawa xporters wanakuchosha!cjui wameanza kununua korosho!hebu tujulisheni.ila sasa mzee you want foreign currency through exportation ya cashewnuts,but hizo bidhaa za hill city si za kigeni?more demand for forex.kwanini tusitengeneze wenyewe?chek pooltable nini hatuna mbao?lkn imported,cheki mkitanda huo,nini hatuna,chek minyama hiyo ukiuliza southafrica,i wish waanze kuuza local products to strengthen our currency and provide maisha bora kwa kila mtanzania kwa kuwapa wazawa ajira,sory dad.bye
ReplyDeletebaba lakini unaangalia kama hawa wawekezaji hawaui uchumi? cheki nao mmana kwa kukwepa kodi ndo wenyewe,usikute huku dukani kwa mangi mtaani kodi inakula kwake tu.
ReplyDeletecheki mzee hawa richmond wasijetuletea mikataba ya ajabu umeipitia mwenyewe?maana mimi nakuaminia wewe tu na mzee lowasa hawa wengine hawakawii kukuhujumu,si sio watu wako?a different team plays different from different captain instructions yeah!
ReplyDeletevitu vingi humu bei ni ghali kushinda mtaani,sasa sijui ni product quality inayopandisha bei zao au nini? lakini bidhaa ni zile zile au hizi ni genuine hata ulaya huwezi kupata kama walivyosema wagosi
ReplyDeleteInatia huruma, mzee wetu anakagua maduka, maduka yenyewe yamejaa vitu vya below standard vingi vyao kutoka china.
ReplyDeleteWatanzaia kuweni macho na wachina sio watu wazuri, watawaliza.
Haya mafundi seremala polepole mnaanza kulamba chini, wauza mboga/nyama, maduka ya samaki hii biashara ikishamiri mtakula hewa...Wajanja wengine huwa wanaimarisha uzalishaji wao kabla ya kukaribisha wengine, yaani kwa maana nyingine wanalinda uchumi wao kwanza. Sasa ndo tumeanza kuchekeana na wachina, hao ndo watajaza vitu vyao, hadi mchicha utatoka shanghai.
ReplyDeleteEeeh hivi hapo city hill UMEME wao wanatoa wapi?
tumepigania kuondoa apartheid south africa ili tuweze kuimport pool tables, when are african's going to learn? Hii mall kama hatuko makini itakuwa burden badala ya advantage kwa uchumi wetu, but well, what do I know?
ReplyDelete