wabongo wakipeperusha bendera ya bongo uwanja wa imarati siku jamaa walipotufuma...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Haimake sense, Brazilian tshirts! then Tanzanian flag???MMmmmhhh!

    ReplyDelete
  2. kweli kabisa anony hapo juu! upuuuzi na michuzi nae anaiweka hii foto bila tathmini!kua makini na kazi yako mzee!

    ReplyDelete
  3. hao sidhani kama kweli wanasapoti tanzania sasa hizo tshirts za brazil kulikono mbona mchanganyo! mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh

    ReplyDelete
  4. kweli huu ni upumbuwazi kabisa...tee ya brazil bendera ya Tanzania....hawa watu vipi!?

    ReplyDelete
  5. SASA HAWA JAMAA NI WASHABIKI WA ARSENAL,BRAZIL,AU TZ?MBONA HAILETI MAANA WAKUU AU VIPI?AU WANATAKA KUTOONYESHA NAO WAMEFIKA UWANJANI ULAYA HUKO?

    ReplyDelete
  6. mimi nitakuwa na tofauti ya maoni, ninachoweza kusema ni kuwa nyinyi jamaa mnaowasagia jamaa eti wataka kuwaonyesha kuwa wako ulaya ni wivu tu, nimepata kupitia web za wakenya na waganda, picha kama hizi zikitokea hakuna msagaji hata mmoja ila kujivunia wenzao walio ulaya na Marekani na hata Japani.nadhani michuzi usiache kutoa picha za namna hiyo maana utawafurahisha wachache na kuwaudhi wengi. kumbuka hata wewe mwenyewe wanakusagia eti unajidai kwa kutoa picha za safari yako, ingawa wanapenda kuziona. Wana wivu hao michuzi na ndiyo kitakachotuangusha waTanzania. nadhani wangepeta nafasi kama hizo sidhani kama wangeziacha, ila fulani akienda Marekani wivu, ulaya wivu, na hata akienda na raisi wa nchi wivu, kwenye mpira ulaya wivu. ACHENI WIVU

    ReplyDelete
  7. cheki na hawa matozi,wananipa kichefuchefu,sidhani kama wametoka na hiyo flag nyumbanu kwao nadhani walikuja na ya brazil walipokutana na mtu ana flag ya bongo wakaona wazuge nayo ila kimsingi ni aina ya wale watu wakishaingia nchi za watu wanaukana uraia wao,wanazuga i am a jamaican,kweli wapo sana hao huku ulaya,showgem nyingi sana na kujifanya muchknow,kumbuka kurudi nyumbani wewe alishasema sugu mjanja anaeenda na kurudi sio kuzamia kwa watu,tasha anawachoora!

    ReplyDelete
  8. Hii picha maelezo yake yana utata, siku za nyuma ilipostiwa picha za wa TZ waliohudhuria international friendly kati ya Brazil na Argentina kwenye moja ya sherehe za ufunguzi wa Emirates,HII PICHA INAWEZEKANA ILIPIGWA SIKU HIYO, Arsenal wana wachezaji wa Brazil ambao mmoja wao ndio kwanza alikuwa kasainiwa, Baptista, na lazima tukubali BRAZIL ndio timu ya taifa pekee yenye wapenzi kutoka nchi karibu zote duniani, kiasi kwamba hata Waghana pamoja na kutolewa na Brazil waliendelea kuifagilia hadi walivyo self destruct, HAO wajomba inawezekana kabisa walikuwa uwanjani siku hiyo kama watanzania wanaioisapoti brazil, jambo ambalo sio kosa wala ajabu, sababu hai make sense kabisa mtu avae jezi ya BRAZIL katika mechi ya ARSENAL na LIVERPOOL especially mbongo, food for thought.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...