hapa ni tabata makuburi ambapo ndugu yetu mmoja ambae ni mfanyakazi kwenye gari hili la kuuza maji nyumba hadi nyumba amepoteza maisha baada ya kunasa kwenye waya hai wa umeme akiwa anamimimina maji kwenye hizo tenki juu ya hiyo nyumba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. ina lillahi wa inna illahi rajuun.

    ReplyDelete
  2. Inasikitisha sana, hii gari ya mshikaji wangu na aliyefariki ni kijana wake. Kesho mwili unasafirishwa kwenda Singida kwa mazishi. Poleni sana kwa msiba.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...