wahitimu wa shahada ya juu wa imf wakiwa kwenye mahafali yao dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. nafikiri ni ifm siyo imf

    ReplyDelete
  2. sasa wana kazi baada ya kuhitimu hapo???

    ReplyDelete
  3. wasomi tu lakini wengi wao hapo ni akili za darasani tu na kupata digrii lakini kwa maswala ya elimu nyingine hususani za maisha na kuelimishwa na jamii kwa releshenshipu, kichwani pumba maana hawasikii la waungwana naweza nikatoa mifano hapa kama mke wa cathbert mbowe, katonywa ufuksa wa mumewe lakini yumo tu, hata aliyekuwa mke wa matare nyerere, mumewe noma sana na poa sana alipojitoa kwenye ndoa hakubabaikia uroyo famili na jina kubwa. lakini bwana totos inalipa hii halafu amekubali kuopolewa na peter rupia, katonywa ufuksa wa peter na lakini duh peeeeeeter kaukata bwana chati anayo maana the totos amestand bai him. kwahiyo elimu si hoja hasa kwa dada zetu hawa.

    ReplyDelete
  4. HONGERENI SANA WOTE MLIOHITIMU. LAKINI PIA MZINGATIE NA ELIMU ZA UNYUMBA SIO ZA DARASANI TU.

    ReplyDelete
  5. HONGERENI SANA WAHITIMU MASOMO, LAKINI BWANA PIA MUELIMIKE KWENYE ELIMU NYINGINE HASA ZA MAMBO YA UNYUMBA NA JAMII KWA UJUMLA, SIO AKILI ZA DARASANI TU LAKINI KWENYE MAMBO MENGINE NI PUMBA TU VICHWANI

    ReplyDelete
  6. anonymous wazo zuri sana mliloliongea la ulimu ya familia.hii tunaikosa sana Bongo hasa ukizingatia kuwa sisi ni wakali wa euphemism.tupeane changamoto ya kuanzisha blog ya elimu ya familia na mahusiano.

    ReplyDelete
  7. hongereni sana wote mliohitimu ifm kuanzia stashahada za juu mpaka digrii za uzamili(masters and postgraduate)ila nawapa pole sana wadogo zangu wa undergraduate maana pamoja na kuwa ifm inajulikana kwa kutoa elimu ngumu ila bora lakini mwaka huu kazi itawawia ngumu sana baada ya uongozi wa chuo kuamua kuwabadilishia vyeti na kushusha daraja hadi waliokuwa na pass kuishia kupata certificate of attendance,nasikia mnaenda mahakamani nawaunga mkono maana contract haikuwa hivyo lasivyo haina haja ya kuwa na prospectus!professor Doriye angalia sana mzee ds wako atakushushia hadhi yako hivihivi,wapeni madogo haki yao wakahangaike na ajira mbele kwa mbele lasivyo haitakuwa na maana kama watu watasoma halafu wakose kazi kwa sababu za kijinga kama hizo hapo ambapo hata mtu wa form two asingeweza kufanya licha ya madokta na maprofesa.kwani lazima maksi za term ziwe sawa na za semister?so waliorepeat kwa kupata alama chini ya hamsini ila juu ya arobaini miaka ya nyuma mtawalipiaje?au mtawapa vyeti?maana mnawatreat term kama semister!poleni madogo rudini kwa mkono atawatetea tu yule mzee.ndo shule ya bongo njooni masters huku nje kidogo mambo mwake,hakuna kubaniana kiivyo.

    ReplyDelete
  8. We Anonym wa Nov 29 2006 5:32 pm;unashangaza sana;umeeanza kuwabonda wasomi wetu mara unarukia mifano kuongelea watu;sijui mke wa Cuthbeth Mbowe sijui Mke wa nani;aren't you ashamed of yourself?? am sure for people like you;if you dig down through your life history utakuta lazima ina walakini;either you were abused as a child or you just suffered some serious mental imbalance ndio maana unaropoka tu;shame,no wonder at times bora mtu tunaoishi huku majuu tu,wenzetu wazungu wako tofauti sana;nani ana mind maisha ya mtu? anaangalia ya kwake tu;sasa waswahili oh,sijui mke wa fulani anatoka na nani;sijui kamwacha mumewe;sijui anatoka na nani.Yaani ni aibu at times kuitwa mtanzania;maana utakuwa associated na "majungu". Na hata k.m ni kweli;huyo mwenye mke mwenyewe aliyekimbiwa wala hana taimu;anaendelea na shughuli zake as if nothing has happened;hujasikia watu wamepigana kwa ajili ya mke au nini,lakini wanaoumia wengine! ama kweli bongo;kazi ipo kubwa sana!

    ReplyDelete
  9. wewe anonymous of november 30, 2006 12:12:07 PM, nadhani huwajui wazungu, mbona wazungu wanapenda sana kukujua mambo ya watu especially privacy za watu wengine ila wewe inaelekea kuwakumbatia

    ReplyDelete
  10. Ndugu anonym of Nov 30,2006 12:12:07 PM,mimi naona tutabishana hadi asubuhi,but I'm still in the opinion kuwa wenzetu muda wao wa ziada wanautumia vizuri zaidi;ndiyo maana wana maendeleo makubwa sana, i.e. they have creative thinking na kufanya mambo ya maendeleo kuliko sisi waswahili;mara nyingi utakuta mtu anajikalia na kujisomea vitabu;ila waswahili k.m siyo baa basi kwenye kupiga umbea,na baa umbea k.m. kazi kum-discuss jirani yako siku hizi anaishije;oh sijui ni mwizi sijui nini! jamani,unajua aibu kubwa kweli kuwa mbeya na mchimvi,hivi watu hamuogopi kusutwa ukubwani?yaani nishai!KAZI KWELI! KWELI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...