Home
Unlabelled
kijiwe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama sikosei hiki ni kikao cha harusi.Bongo siku hizi jpili kila baa ni vikao vya harusi.
ReplyDeleteaaaaaaaaaahhhh michuzi umetukamata fresh.
ReplyDeletebahati nzuri mimi sionekani vizuri. sasa baadaye nitamwaga majina kamili ya washirika wote waliokaa hapa.
na huyu dada mwenye suruali nyeusi, sikufahamu kuwa ana taarabu safi kiasi hiki.
hii ngoma ni kwa octa contena kwa mbaaalii namwona Lengarivo Martin huyu jamaa sometyms bck alikuwa kibosile pale celtel ni masai huyu m2, na mchizi wangu wa bahati nacbu ya taifa kama kawa ndiyo kijiwe chake kama ckosei pembeni lazma atakuwa kashika mneli ila kuna mchizi flani anitwa willy bonge la m2 cmwoni coz hao wa2 hapo ni sitting rum yao.
ReplyDeleteohh yes we use to reside next building from this joint!!, I remember very well, my neighbourhood ! infront or behind this place there is a bus stop, across the street there use to be the Bombed U.S Embassy!! I heard these flats have been sold!
ReplyDeletenamuona shemeji yangu makongoro...na upara wake,....
ReplyDeleteMatawi ya juu!!!!mambo ya bongo bwana watu kula goodtime tuu.
ReplyDeleteHapa ni kwa Octar kweli!!!... Nimemuona LENGARIVO MARTI WA KISMATI SMS,RONNY MTAWALI WA TIGO,kama sijakosea namuona NARA CHEYO...nadhani wametoka ktk mazoezi ya kila Jumapili
ReplyDeleteHONGERENI SANA KWANI WOTE MPO FITI kutokana na MAZOEZI!!
Kama sijakosea jamaa anayeendesha hiyo baloon hapo pembeni ni huyo anaye irudi SAFARI larger, kwani huku bongo sisi twanywa na kuendesha gari ni RUKSA.
ReplyDeletekama vijana wenyewe ndiyo hawa wanapoteza muda wa kufanya kazi kwa kukalia kijiwe cha ulevi maendeleo bongo yatachukua muda sana, matokeyo ya hiki kijiwe ni magonjwa ya ukimwi na kisukari na moyo yakiambatana na umbeya na uvivu hakuna kingine.
ReplyDeleteHawa bwana ukisikia maveteran katika masuala ya full kujiachia,wanaonekana wote serengeti boys,I am single and ready to mingle maana ratio mmh haijatulia kabsaaa.
ReplyDeletehawa lazima ni mababa yeyoo, kina mama yeyoo sijui wako wapi?au kwenye kitchen party?
ReplyDeleteWeweeeee hiyo siyo Baloon hiyo ni TOYOTA CARINA Uswahilini yaitwa MATAKO YA NYANI!!!
ReplyDeleteWote hao wababishaji, wanajaribu kupunguza frstration za majumbani kwao
ReplyDeleteJambo ulimwengu. Inasikitisha kuona vijana wadogo hapo Bongo sasa ulevi wanafanya fassion. Vijana hawa 75% nawafahamu, wote ni vijana wa kipato cha kati ktk maisha ya Bongo, mavazi bring bring. lakini wote ni malimbukeni wa maisha na watu wasiojua kuwajibika. Kwa tabia zao za ulevi na kukesha Bar hasa Kona bar sinza, Meada, Contena nk, wametelekea familia zao na sasa wahudumiaji wakubwa wa watoto wao ni akina mama/wake zao. swali ni je, hawa akina mama anawahudumia nani?- nyanja zote. Yeye yote anayekana kutelekeza famila yake (pichani), akanushe hilo nami nitatoa data tangu ukiwa Shycom(S), Forodhani(N), Uchila (L), Umbwe, Tambaza, Bukoba sec. Vijana hawa sasa ni kiwanda cha ukimwi, ''Mungu apishe mbali''. Ushauri wangu - picha hiyo si ujiko bali kipimo cha ..... wenu'
ReplyDelete