jide na bendi yake ya machozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. very good JIDE, keep it up yoooh.....u always mean business

    ReplyDelete
  2. Nimeiona hii bendi laivu - good stuff, they sing a mixture of Lady JD's songs and other cover songs. Wana contract kupiga Usiku wa Mtanzania every Wednesday nites at Peackock Hotel. (Great stuff at Usiku wa Mtanzania - Tanzanian food and hospitality at its best!!)

    ReplyDelete
  3. Naona kama ana zinga la tumbo, ama ni macho yangu tu? harusi imejibu?

    ReplyDelete
  4. Pengine lingekuwa jambo jema kwa wanamuziki hawa kama JD kuvaa kulindana na utamaduni wetu badala ya kuiga uvaaji kutoka magharibi.Hakuna kitu cha maana kama kujivunia utamaduni wako.Kuvaa kwa utamaduni wako hakukufanyi kuwa mshamba.Amkeni wabongo!

    ReplyDelete
  5. hii inainyesha kiasi gani wanamuziki wa kibongo wameanza kuiva....gud girl keep it up!!

    ReplyDelete
  6. Jide kwa mara ya kwanza umevaa vizuri na kistaarabu kama mke wa mtu KEEEP IT UP......na bro gard habaash muanza kujitahidi kuvaa kiungwana miaka inakwenda jamani we need to see u na pamba zenu lakini ziwe zimeenda shule. macho yanayowaangalia ni mengi. "BE YOUR AGE"

    ReplyDelete
  7. anony 11:07...acha ushamba kwahiyo kila ukimuona unataka awe amepiga kitenge...we hapo umevaa nini???...maybe if ppl like u started then the rest will follow...hapo unaweza kuwa umepiga mjeans wako mkuuuubwaaa wa sean john....halafu kazi kupaka

    ReplyDelete
  8. Wapi chocholii na drums...?Nita

    ReplyDelete
  9. hilo tumbo mimi naona ni kama KIPIPA AYUBU.

    ReplyDelete
  10. Huyu mtu anayetumia neno AMKENI WABONGO, KWAKWELI linanikela sana tumia njia nyingine ya kistalaabu kufikicha ujumbe.

    ReplyDelete
  11. Sio ustaalabu kutoa ujumbe wa kudhalau taifa lako, unaweza ukasema na ujumbe ukafika, WATANZANIA WAKO MACHO, ni swala la kuelimishana tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...