Home
Unlabelled
machozi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
very good JIDE, keep it up yoooh.....u always mean business
ReplyDeleteNimeiona hii bendi laivu - good stuff, they sing a mixture of Lady JD's songs and other cover songs. Wana contract kupiga Usiku wa Mtanzania every Wednesday nites at Peackock Hotel. (Great stuff at Usiku wa Mtanzania - Tanzanian food and hospitality at its best!!)
ReplyDeleteNaona kama ana zinga la tumbo, ama ni macho yangu tu? harusi imejibu?
ReplyDeletePengine lingekuwa jambo jema kwa wanamuziki hawa kama JD kuvaa kulindana na utamaduni wetu badala ya kuiga uvaaji kutoka magharibi.Hakuna kitu cha maana kama kujivunia utamaduni wako.Kuvaa kwa utamaduni wako hakukufanyi kuwa mshamba.Amkeni wabongo!
ReplyDeletehii inainyesha kiasi gani wanamuziki wa kibongo wameanza kuiva....gud girl keep it up!!
ReplyDeleteJide kwa mara ya kwanza umevaa vizuri na kistaarabu kama mke wa mtu KEEEP IT UP......na bro gard habaash muanza kujitahidi kuvaa kiungwana miaka inakwenda jamani we need to see u na pamba zenu lakini ziwe zimeenda shule. macho yanayowaangalia ni mengi. "BE YOUR AGE"
ReplyDeleteanony 11:07...acha ushamba kwahiyo kila ukimuona unataka awe amepiga kitenge...we hapo umevaa nini???...maybe if ppl like u started then the rest will follow...hapo unaweza kuwa umepiga mjeans wako mkuuuubwaaa wa sean john....halafu kazi kupaka
ReplyDeleteWapi chocholii na drums...?Nita
ReplyDeletehilo tumbo mimi naona ni kama KIPIPA AYUBU.
ReplyDeleteHuyu mtu anayetumia neno AMKENI WABONGO, KWAKWELI linanikela sana tumia njia nyingine ya kistalaabu kufikicha ujumbe.
ReplyDeleteSio ustaalabu kutoa ujumbe wa kudhalau taifa lako, unaweza ukasema na ujumbe ukafika, WATANZANIA WAKO MACHO, ni swala la kuelimishana tu.
ReplyDelete