Home
Unlabelled
mjomba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ha michuzi gurumo tena anaumwa?kwani hii bendi wana nini?msinihisi nina imani haba ila ishakua too much jamani.wakati huohuo wenyewe wazee wa ngwasuma ndo aaah,the best band in tz at the moment big up jozee mara.
ReplyDeleteMhhhh MICHUZI NAUMIA SANA SANAA KUSIKIA HABARI HIZI ZA KUHUZUNISHA KWAMBA MZEE GURUMO ANAUMWA UMWA NINI JAMANI MSONDO KIMEWAKUTA? NILIUMIA SANA KUHUSU MAINA IKAJA MBWEMBWE AMBAYE KWELI ALINIUMIZA ZAIDI HAIKUTOSHA HIYO MAUTI YAKAMKUTA TX JAMANI NIKAKATA TAMAA SASA Gurumo ANAUMWA NA ETI INABIDI AACHE KUIMBA MSONDO IKO WAPI TENA JAMANI? MASKINI Mungu ambariki ampe afya bora na maisha marefu...AMEN
ReplyDeleteAnony hapo juu usimchulie Joseph Maina. Yu ngali hai na anadunda. Nadhani ulimaanisha Athuman Momba aliyemtangulia Seleman Mbwembwe kabla ya TX.
ReplyDeleteWenzetu Mimi naona uandishi wako wote ktk kila topic umekaa kiudaku nyinyi ndo watoa semina endelevu huko tanzania au ndo watu wa tabloid maana naona unatafuta taarifa ukiwa tayari ushajenga hoja yako yaani hapo unangoja mtu aseme Ukimwi huo halafu muanze sakata sikushutumu lakini comments zako zinaelekea huko sasa mimi ntakupatia tuu mukutasari wa ukaribu wangu na Mzee Ngurumo na tatizo lake kubwa la kuzorota kwa afya yake ni maradhi ya kisukari na Moyo vilevile usisahau yeye sasa ni mtu mzima hivyo kuwa na matatizo kama haya ni sehemu ya utu uzima wake kama walivyosema hapo juu kuwa yuko jukwaani kwa takribani miaka 42 sasa si midogo kwa ufupi anapiga muziki tuko kaka yangu Michuzi akiwa na miaka 2 sasa si mdogo huyu hata sisi tuliko ughaibuni muda mrefu tutakwambia kuwa amepigika kama akina Paul Mc cartney wa the beetles na hata huku ulaya wote waliokuwa jukwaani muda mrefu wamestaafu, sifa apewe Bi Kidude na yeye anaendelea kwa sababu muziki wake unahusisha ukunga kazi aliyoiridhi kutoka kwa wazazi wake
ReplyDeleteGHMM muonee huruma huyo ANONYMOUS anaongea sana pumba tuu kwa kitu hakijue,kijana mchamba kwiingi mwishowe hushika mavi ok!!!Tafuta kazi huwe busy kidogo wacha kuwa KK!!
ReplyDeleteJAmani Baba Ngurumo eeee!!nini tena jamani kinakusibu baba,usiache tena mama OTTu siyo kitu kama siyo ww,pole sana na mungu atakupa afya njema ndugu!1
ReplyDelete