leo niko na kaka dokta mwamoyo hamza wa sauti ya amerika ambaye katia timu bongo na kesho anakitoa. akiwa mwandishi mkongwe alieanzia deiliniuzi na kupanda kila ngazi ya uandishi katupa bonge moja la lekcha juu ya hii fani na kutupongeza kwa kuwa njia moja kuzindua 'habarileo' gazeti la serikali la kiswahili linaloanza desemba 5 mwaka huu, habari njema ni kwamba makala ya blogu itakuwemo na mwandishi atakuwa mimi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Hoyyaa, bro Mwamoyo. Naona unachangamkia bongo. Ukirudi DC naomba unibazz mshikaji ili unipe michapo ya Tz. Mimi father C hapa, Spfld,Mass. Good luck bro.

    ReplyDelete
  2. Eha! much love!

    ReplyDelete
  3. Na mimi niko Bongo! Nitakuja kuwasalimia!

    Msalimie sana Kaka Hamza!

    ReplyDelete
  4. Mnataka kuanzisha gazeti jingine wakati hata hi la dailynes online mmeshindwa kuli update kwa muda karibu week sasa. yaani habari zilizomo ziliwekwa takriban week imepita..

    ReplyDelete
  5. ANONYMOUS kaka tunajua hupo DC haina haja haja ya kusema kwani huko sisi tumekaa mpka tumechoka tupo viwanja vingine kuwa makini kaka Ulaya jakuna kitu Jina tuu na mabox yako!11

    ReplyDelete
  6. Hivi nyie watanzania mnaoishi DC mbona mwatia aibu!! Sasa nyie Hamza mwapapalikia akiwa Bongo.... Ho nibazz, ho niletee Yunus ho fänya hiki etc. Je akiwa huko huwa hamuonani?? Au ni mtangazo tu tujue kuwa nanyi mpo huko?? Au huko kwenu mwakutana mtu akitwangwa RISASI bila hilo hakuna cha kujuana hali? Kwasababu hii safari ya Hamza bongo imekuwa kama nini sijui kwenu nyie wana DC. Pendaneni, huu ndo wosia wangu kwenu.

    ReplyDelete
  7. we fadhili ni mshamba tu! na huu ni ulimbukeni wala sikufichi! wewe kama unataka kutuonyesha kuwa una fahamiana sana na Mwamoyo Hamza basi si ungemuandikia huo ujumbe wako kwenye private email yake! sio humu! acha bwembwe wewe

    ReplyDelete
  8. Bado haujaongea kitu Bw. Fadhili! point ni kwamba hamna sababu yeyote ya msingi kumuagiza Mwamoyo Hamza hivyo vitu unavyotaka humu!na wala hatuna haja ya kujua uhusiano wenu! kwa mara nyingine naungana tena na Revd.EVM kukueleza ukweli, na wala usitake kujua jina langu ila ujumbe wangu ukiuzingatia utakusaidia zaidi kuliko kutaka kujua jina langu! malumbano haya saidii kwani tuna taka kujenga na si kubomoa!!! DC MPOOOO!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi umehamasisha huyu kaka yako arudi Bongo au unawachhuza watoto wa walala hoi tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...