siku kaka dokta mwamoyo hamza wa sauti ya amerika alipotupa lekcha deiliniuzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. the lady in black...is she in love or trying to grasp something?

    ReplyDelete
  2. Kwa kuwa kuna mtaalamu m-Tanzania kutoka VOA, napenda kuelemishwa. Nasikia kuwa VOA si kwa wa-Amerika? Pengine ndio maana nasikia kuwa kwa miaka mingi inatangaza kwa masafa ya SW (radio zao nyingi hazina SW).

    Je, ni kweli kuwa VOA ni kwa ajili ya nchi za nje kwa minajili miwili:

    (a) Kupamba jina la USA nje ya mipaka yake (ni mfano wa publki relesheni ama propaganda, hasa katika nchi ambazo si marafiki, na kutangazia nchi ambazo ziko chini ya radio za serikali. Kama kuna ukweli, kwa nini nchi hizi sisikilize VOA ambayo ni ya serkali? Kwa nini USA inahubiri kwa nchi za nje jambo ambalo ni kinyume kabisa na u-USA? Eti ukiwauliza wa-USA kwa nini hawasikilizi VOA, watakujibu: Govt. propaganda!

    b) Kuhamasisha na kuchochea msimamo na mtazamo wa ki-USA, kwa kushirikiana Shirika la Ujasusi la siaee, kwa kuunda radio lengevu...kwa lugha ya kijeshi ama ki-medisini (surgical broadcasts) kwa sehemu fulani fulani muhimu, kwa mfano, Radio Free Europe: kuangusha dola ya Kisovieti; na Radio/TV Marti (José Julián Martí, m-Kuba kamambe): kuangusha Kuba na Kastro wake; na sehemu mbali mbali za dunia USA inakotaka yawepo mapinduzi ya fikra, utamaduni na itikadi.

    Je, ni kweli kuwa mitambo ya VOA ya kurushia sauti kwa Afrika (relay/booster stations) na kusikilizia vya Afrika (listening posts) bado vipo huko Liberia na Ethiopia, ama vilihamishiwa Uganda huko Milima ya Rwenzori ana Visiwa vya Sesse na huko kwa wa-Swazi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...