tishatoto ndogondogo za masnepu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Honey!!!!!!! Yaani picha zako nzuri sana na sisi wa huku ughaibuni imekua kama sal tena siku haiishi bila kuingia kwenye blog yako. Lakini hii mara A-town, mara madenti,sasa sijui hii nini ni tena??? Please nakuomba sio kuwa tunajifanya kuwa tumesahau kiswahili but...hiki kiswahili chako kigumu sana hatuelewi kabisa...inaondoa raha yote ya kusoma. Please tunashukuru kwa blog yako sana tu lakini tupe raha wote basi....!!!!!!!!! It is so hard to understand you sometimes

    ReplyDelete
  2. unamaanisha nini tafadhali fafanua.

    ReplyDelete
  3. Hiyo tulifanya kwa kutumia mabo na mishumaa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...