Home
Unlabelled
vichwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Vichwa?...Mbona vitambi..tu? Pombe, ufuska na maneno mingi tu. Wamekula zao kiasi gani rushwa toka kwa wawekezaji?
ReplyDeleteHuyo wa kati ni Prof. Mayunga Nkunya.kulia Mshana na shoto mosha wanajadili nini ndani ya jumba lao la mradi? Vipi nasikia vijana wao wa UD wamegomea kununua vitu hapo mlimani City eti wangejengewa hosteli hapo.hivi hosteli zitawatosha wanafunzi wa UD kweli?
ReplyDeleteKweli, michuzi,kushoto ni Prof.Materu, mpare huyo.
ReplyDeleteNilipata course ya eng. Mechanics kwake, lakini kwa sasa ni CADO(Chief Admin. nahisi.
Hivyo vichwa vingine si vikumbuki vile au ni 'NGUIN' nini?
Mhandisi Luhanga kaweka Wahandisi wengi sana Utawala, nahisi siku si nyingi Bongo kutakuwa na Raisi MHANDISI.
Kwanza Prof. Mwandosya ni Mhandisi.............
Huyo mwenye nywele in Prof Mosha nilisoma na mtoto wake Subira
ReplyDeleteHuyo Prof upande wa kuli namkumbuka sana nilipokuwa mwaka wa kwanza alikuwa akifundisha tutorial za mechanics , huyo mzee anajua kuresolve force jamani acheni matani ...
ReplyDeleteprof. Mosha anajitaidi ana rose garden Moshi inachanganya kweli
ReplyDeleteJamani mbona mwajifanya mwawajua huku hamwajui?? huyo mwenye manywele ni pro Mushi, nimesoma na mwanae Maua Mushi Mlimani primary.
ReplyDeleteanon 6:15 unachemsha mwenye manywele sio prof. Mushi ni Moshi ndugu yake na Mama Msuya aliyekuwa Headmistress wa Weruweru
ReplyDeleteNyie wote naona kama hamuwafahamu hao.Kutoka kushoto huyo mwenye manywele ni Prof.Mosha yeye kwa sasa ni Principal chuo kikuu sehemu ya chang'ombe kile cha ualimu,katikati ni Prof.Mayunga Nkunya yeye ni Chief Academic Officer(CACO) na fani yake ni Mkemia,na mwisho kulia ni Prof.Mshana yeye ni Chief Administrative Officer(CADO)na fani yake ni mwanasheria na pia huwa anafundisha kitivo cha sheria.
ReplyDeleteNadhani nimewasaidia vya kutosha.
Karibuni tena!!
nafurahia na wanablog make wa mwisho amemtajwa kama mwanasheria sijui kwa sababu ni mtawala (CADO)
ReplyDeletenimemaindi sana make huyo jamaa najua anafundisha sana FORCES za dynamics, Engineering Mechanics na Mechatronics na amesoma Nairobi University first degree (Mechanical Engineering) na anajua sana kuchora vyuma sasa kuwa tena mwanasheria inakuwa kituko.
labda kwa sababu sasa kuna open university na open commonweathth(englis matatizo)University inawezekana akawa mwanasheria