jk akiamkiana na baba mzazi wa jean pierre bemba fasi ya kinshasa juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo ndiye baba yake wa kiongozi wa Upinzani unaona alivyonawiri? Mwanae yuko fit na yeye fit.Ruzuku akipata anampelekea na baba yake. Michuzi tunaomba utulee picha ya Baba yake Mzazi wa kiongozi wa Upinzani Tanzania Augustino Lyatonga Mrema tuione.

    ReplyDelete
  2. Baba anasema moyoni: Usipofundishwa na wazazi utafundishwa na ulimwengu! Mtoto kanigeuka kawa mbogo. Zamani mimi wa Mobutu; nikaona mwanga na kumwuunga mkono Laurent Kabila...mpaka sasa mimi wa Kabila!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...